Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

Hata sisi huku kwetu hakuna umeme tokea saa 7 za usiku, na hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na Tanesco ya huku! Si mchezo aisee
 
Ukweli ni kwamba hata mbinu za kupiga chini usomwaji wa cag report zikifanikiwa, waliohusika kufisadisha bilion 321,watakufa vifo vibaya labda watubu kwa Mungu..nipo muhimbili hospital this time,hali ni mbaya sana,hasa kwa wanaolipa cash utawahurumia... Haf wachache wanaenjoi haki za wengine
 
Hawa wanatuchanganya kama mtu mmoja ana bajeti ya Halmashauri tano mapato ya ndani si wangesapoti ujenzi wa maabara!
 
Hawa wanatuchanganya kama mtu mmoja ana bajeti ya Halmashauri tano mapato ya ndani si wangesapoti ujenzi wa maabara!Serikali ya Chaguo la Mungu!
 
Jioni Wabunge wakemee kwa niaba yetu Wananchi hujuma wanayotufanyia Tanesco ya kutukatia umeme wakati tufuatilia Bunge.Sijui wametumwa na Mafisadi?
 
Iisomwe tu hakuna cha kuficha hata kama majina ya mama na baba mkwe wangu yamo
 
ha haaaaaaa, ingia msituni, ukione mmeshindwa kuandamana mtaweza msitu Jaribu.
 
Jamani wana jf wenzangu tusidanganywe na upuuzi huu unao endelea bungeni Kwa mtu mwenye akili timamu ameshajua kwamba hii riport haisomwi , huitaji kufika darasa la nne ili kutambua huu mchezo unaochezwa . Pinda ndiye anaye haha usiku na mchana kuhakikisha riport haisomwi na mpango wake umefanikiwa hadi sasa
 
sawa sawa marando na mnyele wote lao moja. ndiyo kusema CCM na CHADEMA wote wamepiga pesa hizi sijamsikia mwenyekiti na katibu wa CHADEMA wakiongelea hili na CCM vile vile

Hawa watu wanne si zaidi ya million 44.
 
aiseeeeee sisiem kiboko sana kiongozi mkuu wa mawaziri naye yumo kweli tanzania imekufa kabisa
Jamani wana jf wenzangu tusidanganywe na upuuzi huu unao endelea bungeni Kwa mtu mwenye akili timamu ameshajua kwamba hii riport haisomwi , huitaji kufika darasa la nne ili kutambua huu mchezo unaochezwa . Pinda ndiye anaye haha usiku na mchana kuhakikisha riport haisomwi na mpango wake umefanikiwa hadi sasa
 

this country is rotten,kama majaji ni baadhi ya watuhumiwa wa Escrow saga wanawezaje kutoa amri ya kuzuia bunge wakati they have an interest in the issue. tabia hii ikiruhusiwa basi serikali itakuwa inatumia mahakama kuzuia bunge kujadili kila issue inayogusa maslahi
ya viongozi. kinacho fanywa na CCM kugonganisha mihimili mikuu ya inchi kutaigalimu nchi hii, nina wasi wasi kama reporti hiyo itajadiliwa inaweza kusomwa tu........EX NIHIL NIHIL SUNT.....FROM NOTHING NOTHING COMES......
 
huna habari kuwa TANESCO ni CCM DAMU wewe unafikiri hawataakata umeme thubuttuuuu ngoja ikifika saa 11 ujioneee mwenyeweee mambo yatakayojiri, ccm kiboko sana sasa imefika mwisho wake lazima ing'oke tu
Jioni Wabunge wakemee kwa niaba yetu Wananchi hujuma wanayotufanyia Tanesco ya kutukatia umeme wakati tufuatilia Bunge.Sijui wametumwa na Mafisadi?
 
Mimi naomba kuelimishwa,CAG hajashitakiwa na mtu ye yote,report itakayosomwa bungeni ni report ya ukaguzi sasa mahakama inaingiaje,wakati report ile sio kielelezo mbele ya mahakama?
 
Twitter account ya JamiiForums wana updates Mvutano unao endelea kuhusu kusomwa au kutokusomwa Kwa Ripoti ya Escrow. Fuatilia twitter Acount ya jamiiforums Kupitia JamiiForums

B3WEB9PIEAApwi1.jpg:medium


*Yabainika: Serikali imesisitiza amri ya Mahakama itekelezwe ili #TegetaEscrow report isisomwe Bungeni

*UPDATE: Serikali (Lukuvi na wenzie) wanadaiwa kutumia mabavu #TegetaEscrow Report isomwe tu bila kujadiliwa!

*UPDATE: Watu wa PAP na hati yao ya mahakama wapo getini Bungeni wakitaka kutoa hati kwa BUNGE. BUNGE limegoma kupokea! #TegetaEscrow

*UPDATE: Spika & Katibu wa Bunge wamejifungia ofisini kwa spika kujadili kabla ya Kamati ya Uongozi. Wenyeviti wengi
hawajafika #TegetaEscrow

*UPDATE: Wenyeviti Waliofika mpaka sasa ni Ngwilizi, Msola, Mbowe na Serukamba #TegetaEscrow

*UPDATE: Wabunge wamepewa nyaraka bila hata kuwasilisha kwa kusoma. Kamati ya Uongozi inajadili amri ya mahakama! #TegetaEscrow

*UPDATE: Taarifa za sasa zinabainisha Bunge litaahirishwa hadi jioni! #TegetaEscrow

*UPDATE: Hati hii ndo imeleta kasheshe Bungeni na kupelekea #TegetaEscrow report kuwa kaa la moto!

B3WZUqMCIAAQVKf.jpg:medium

*UPDATE: Katika Kikao cha CCM jana usiku, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mangula alitaka wahusika wajiuzulu, wao hawataki! #TegetaEscrow

*UPDATE: Bunge limekataa kupokea order ya mahakama. Ripoti ya PAC itasomwa jioni na si asubuhi tena #TegetaEscrow

*UPDATE: Katika kikao cha jana usiku cha CCM; Muhongo alitoa maelezo kwamba pesa si za umma na kwamba taratibu zilifuatwa #TegetaEscrow

*
TIP: Kuna mgawanyiko ndani CCM juu ya #TegetaEscrow; Mizengo Pinda anatakiwa abaki Mawaziri na watendaji waliohusika wang'oke!
mimi sina imani na uongozi wa BUNGE tena hasa baada ya kugundua kwamba wanataka kulinda UOVU NA UOZO wa viongozi na watendaji. Hata hiyo jioni sina imani kama itasomwa hiyo ripoti ya PAC NA CAG!!
 
Huwa nina tabia ya kulala mchana leo nimeipotezea hadi nione Pinda anachomoka kutoka kwenye ofisi zetu na bado jimboni kwake ni tieni tieni kwa moyo mmoja.
 
Back
Top Bottom