residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
Kwa sababu mbio za kupokea kijiti zitachafukia hapo.Mzee Kikwete sijui kwanini hataki Mwanae awe hata Naibu Waziri?
Kwa sababu mbio za kupokea kijiti zitachafukia hapo.Mzee Kikwete sijui kwanini hataki Mwanae awe hata Naibu Waziri?
Alieandika heading alitakiwa aseme ni telemeeting.Poleee,usirudie tena,unatuaibisha tunaokuaminia.
Wala haina bahati mbaya. Jiwe aliweza urais na mambo yakaenda sembuse hata binti wa chekechea?Rizione ni presidential material? Nchi hii ina bahati mbaya sana
Huyu naye alikuwa ana jiona sana anawatishia watu kwenye utawala wa baba yake. Ukigombana naye anakutishia kukufukuza kazi wafanyakazi wengi wameenda kuomba msamaha kukubali ya ishe.
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."
#Tunajifunza #RK
Kaa kwa kutulia ww....Kaanza tena biashara ya Ganda. Ila JPM alikuwa kiboko ya hawa. Sasa hivi Rizi moko anaanza kwenda tena China.
Baraza likifanyiwa mabadiliko kidogo tena dogo yumo ndani......Kazi imeanzae,naona wanaanza kumsogeza
Povu limekutoka jingi.....Kauli yako inaonyesha uko kwenye kundi la walio wajinga wengi ! Mliokuwa mnadanganywa eti Magufuli ni mtetezi wa wanyonge wakati Paulo Makonda anatembelea Vogue Sports na Lamborgin na kukatiza haki za watu kuishi ( Watu wasiojulikana) hadi Mike Pompeo kwa niaba ya Marekani akatoa tamko! Magufuli kimya huku akiimbiwa mapambio kuwa yeye ni Mungu na wajinga waliowengi! Acheni chuki kwa Kikwete! Watu walijenga maisha chini ya Kikwete! Kwa Magufuli hata choo hatukujenga!
ba
Ndiyo mwana nenda Mtoto wa nyoka ni nyoka tuko nyuma yako! kijana walikubania hatimaye wameachia usiogope wanga, Nenda mbunge wa chalinze bana!! lkn hallow wee jamaa na Baba yako ni maraifiki sana! endelea ivo ivo!!"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."
#Tunajifunza #RK
km ulivo nufaika kwa jiwe!!! ngoma drooo!!! sasa unalia nini?Povu limekutoka jingi.....
lazima utakuwa mnufaika ww
Ina maana katika watanzania wengi mitaani Mimi Simo?! Kwani ndio nakusikia wewe leoHabari za mtaani ni kuwa mtoto wa kikwete alikamatwa na madawa ya kulevya china ,adhabu ni kifo ila kwakuwa ni mtoto wa rais basi tunapeane dili la ujenzi wa bandari ya bagamoyo yenye mikataba ya kinyonyaji .hizo ni habari za watanzania wengi mitaani ndo wanajua hivyo.
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."
#Tunajifunza #RK
Mchango wako ungeanzia jimbo la Chalinze mkuu na sio kubwabwaja tu kwenye vyombo vya habari."Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."
#Tunajifunza #RK
😂😂😂😂😂Labda kuna chenji ilibaki kaenda kuimalizia...
Huo lazima ni mtego huenda usirudi kabisa, we haya.
Mkuu sijui watu huwana wanafikilia nini kabla ya kukaa nyuma keyboard na ku-type. leo hii Rizione amekuwa presidential material, kweli hii ni TZ ambayo watu wake wanakuwa kama wamechanganyikiwa
Ndo kinachotaka kuwepo hapa.Kikwete anataka ku balance equation kule Mwinyi junior huku kikwete junior!!!