Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Huwa hawaaminiki hawa
 
usicheke mkuu mambo mengine yanaumiza kinyama watu wanasahau tulipo toka hapahapa JF tukifukua makaburi kuazia 2009-2014 kwa upande wa siasa unaweza sema hatukua TZ tulikuwa nchi ya ajabu sana
Magu namapungufu yake ya kuwaweka kwenye ungozi bashite type alijitahidi sana kuinyosha inchi, mimi nilikuwa natamani atuongoze hadi 2030, hawa wakina moko, january n.k walikuwa wanafanya vitendo yya ajabu kutumia kodi za wananchi na maliasili, ufisadi ulikithili hadi sio vzr, afu mtu moja sijui katoka wapi (gwaji voice) kwa lugha nyepesi eti moko ni president material kweli
 
You have said it all! Kwa kweli tulianza kunyooka Mungu wangu!
 
Hopless kabisa. Hivi jamani Urais mnauelewaje. To think about Tanzania- Nchi yenye ukubwa wa zaidi ya eneo la mraba KM 10,000, watu zaidi ya milioni 60. Akili kama ya JPM ndio inahitajika kwa kweli!
Usinitajie watu wa ajabu ajabu. Dikteta uchwara
 
Chinese are “smelling blood now”.

Wanataka kuanza michezo yao tena now they know mzee wa Msoga ana direct access 102% mpaka Ikulu. Nchi imeshikwa na mafisadi papa.
 
Huo lazima ni mtego huenda usirudi kabisa, we haya.
Hapana,huyu anaandalia na mshua aje kua mtu mkubwa,anasahau kujikuta yupo kaa Huseni Mwinyi ni hekima kubwa sana alikua nayo Huseni...huyu ujana ni mwingi tu
 
Hapana,huyu anaandalia na mshua aje kua mtu mkubwa,anasahau kujikuta yupo kaa Huseni Mwinyi ni hekima kubwa sana alikua nayo Huseni...huyu ujana ni mwingi tu
Taxi hilo la ukubwa asahau na huyo mshua wake anaweza mipango ya sirini tu,wao watajirike tu muda unaruhusu.
 
Back
Top Bottom