Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

Huyu naye alikuwa ana jiona sana anawatishia watu kwenye utawala wa baba yake. Ukigombana naye anakutishia kukufukuza kazi wafanyakazi wengi wameenda kuomba msamaha kukubali ya ishe.

Mpaka Makonda akafikia hatua ya kumfungia kamba za viatu ..!
 
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Bandari ya Bagamoyo tulishasema China watahonga kila mtu ili wapate hii base yao ya kijeshi
 
Kauli yako inaonyesha uko kwenye kundi la walio wajinga wengi ! Mliokuwa mnadanganywa eti Magufuli ni mtetezi wa wanyonge wakati Paulo Makonda anatembelea Vogue Sports na Lamborgin na kukatiza haki za watu kuishi ( Watu wasiojulikana) hadi Mike Pompeo kwa niaba ya Marekani akatoa tamko! Magufuli kimya huku akiimbiwa mapambio kuwa yeye ni Mungu na wajinga waliowengi! Acheni chuki kwa Kikwete! Watu walijenga maisha chini ya Kikwete! Kwa Magufuli hata choo hatukujenga!

ba
Povu limekutoka jingi.....
lazima utakuwa mnufaika ww
 
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Ndiyo mwana nenda Mtoto wa nyoka ni nyoka tuko nyuma yako! kijana walikubania hatimaye wameachia usiogope wanga, Nenda mbunge wa chalinze bana!! lkn hallow wee jamaa na Baba yako ni maraifiki sana! endelea ivo ivo!!

Ridhiwani unakumbuka siku ileeee kwa sherehe!! ''Baba Bongo fleva wanataka kupiga picha na wewe! daaa! na wewe familia yako uifanye ivoivo! km mzee kikwete! dadadekii!
 
Habari za mtaani ni kuwa mtoto wa kikwete alikamatwa na madawa ya kulevya china ,adhabu ni kifo ila kwakuwa ni mtoto wa rais basi tunapeane dili la ujenzi wa bandari ya bagamoyo yenye mikataba ya kinyonyaji .hizo ni habari za watanzania wengi mitaani ndo wanajua hivyo.
Ina maana katika watanzania wengi mitaani Mimi Simo?! Kwani ndio nakusikia wewe leo
 
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Nimemkumbuka sana Jasonbourne wa jamiiforums enzi zilee
 
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Mchango wako ungeanzia jimbo la Chalinze mkuu na sio kubwabwaja tu kwenye vyombo vya habari.
 
Kuna kitu sio bure, Chinese are the worst ever to cooperate with. Mama yetu Samia, kuwa machoo machoooo machooo hasa hawa wachina na Serikali awamu ya 4.
 
Mkuu sijui watu huwana wanafikilia nini kabla ya kukaa nyuma keyboard na ku-type. leo hii Rizione amekuwa presidential material, kweli hii ni TZ ambayo watu wake wanakuwa kama wamechanganyikiwa
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom