Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

huyu kijana ni mdogo sana , arudi darasan kwanza, sina uhakika kama ameshinda kihalali, tutamchunguza hata matokeo yake tangu drs la kwanza hadi leo hii.
 
si alisema hana biashara yeyote zaidi ya kudandia magari ya watu

Cha msingi Dr. Slaa aombe mahakama kumruhusu kuwasilisha ushahidi wa kielectronikia ili wajumbe tumrushie mawasiliano ya dogo huyu na wakuu wa kampuni ya ujenzi inayofanya kazi sasa kupanua bara bara pale mtava na kuanzia uwanja wa ndege kwenda gongo la mboto kijana huyu analalamika kuwa gawio lake limechelewa na yeye ndiye aliyewekeza fedha nyingi ndani ya kampuni hii SKOL building contractor

Muache kwanza utamstua asiende:::kuna vijana tutawataja kawapa misingi ya bishara kibao kwa njia ya mkopo ,wewe ni kwenda na mchakato anatoa hadi mil 300,Huyu dogo ni Billionea
 
Ni Jaji gani/nani aliepangiwa kusikiliza hio kesi?, Mimi mashaka yangu kwanini Ridhiwan amechelewa kufungua hii kesi??!!, kuna kitu/mipango imesukwa hapo katikati, i doubt. Ni lazima Dr Slaa aandae Mawakili mahiri katika hii kesi.
Riz1 anajipa matumaini kwasababu ya wale Majaji 5 walioteuliwa na JK walikuwa wote pamoja kwenye kampuni ya kifisadi ya IMMA.
 
Hii kesi inafunguliwa mara ya ngapi????????? Maana imewahi kuandikwa tena humu ndani kwamba kesi imefunguliwa some 2/ 3 months ago!
 
riz1 atuambie km mke wake alistahili kupata 100% ya loan frm heslb while watoto wa walalahoi wamekosa na wamefaulu na kudahiliwa sasa sijui ada nani atawalipia,huyu mtoto fisadi,mbinafsi na alaaniwe.

teyeri keshalaanika,ndo mana wizi
 
Kama hii serikali hajawahi kusikia machafuko wamweke Dr.Slaa ndani ndipo watajuwa Tz ikoje.

Mbona aliisha wekwa ndani mkuu hamkufanya kitu, ya arusha umesahau mara hii ? usifanye mchezo na dola ! ukimwagiwa tu maji ya washa washa unakimbia mpaka uvunguni kwa mkeo
 
Pia aseme lile gari alilokutwa nalo (hammer) kwenye mida ya saa mojamoja usiku na polisi gari likiwa halina namba akawapa polisi mshiko wasimchukulie hatua kalipata vipi. Pia kuna hii kampuni ilyopo Arusha inaitwa RIZJKONE niya nani. Tunaona malipo yake benki ni ya kutisha sasa sijui hata tra wanajua au watasema mmiliki hajulikani. Nasubiria tu tuweke vielelezo hadharani.
 
Tehe tehe akipumzishwa Keko Dr Slaa na Kikwete pale Magogoni itakuwa mwisho wake. Kwanza huyo JK anamwogopa Dr wa ukweli ndio maana kamwongezea ulinzi, kucheza na Dr Slaa unacheza na maisha ya wa TZ wote.

KUNA OPERESHENI SAFISHA JAMVI MWEZI HUU,MKUU ANGALIA USIJE UKALA PERMANENT SERVER BAN

Umesema vyema mie sitaki kuongeza .Wacha niendele kusoma maana comments zako mwanzo mwisho .
 
TSN supemarkets, KOBIL,trucks za kubeba mafuta DELINA GROUP mpambe davis mosha vya riziwan kikwete na ushahidi upo
 
Mbona aliisha wekwa ndani mkuu hamkufanya kitu, ya arusha umesahau mara hii ? usifanye mchezo na dola ! ukimwagiwa tu maji ya washa washa unakimbia mpaka uvunguni kwa mkeo

wee mwehu, sema lini slaa alihukumiwa kuwekwa ndani? lini arusha aliwekwa ndani, gereza gani?
 
Dah hii mpya!!!

Kucheza na Dr. Slaa ni kucheza na maisha wa waTz woote - hilo ni siri iliyo bayana. Halafu huyu mtoto hamnazo kweli au niseme ni mwoga fulani vile mbona hakumshtaki Mchungaji? Si alimtishia naye pia?
 
Bwana Mdogo Ri1 anaisadia CHADEMA kujitangaza bure na kumjega DrSlaa kisiasa zaidi.Lakini Mbaya zaidi anamweka Rehani Baba yake kwani yale ya Chiluba yanaweza kumkuta yeye na Baba yake hapo 2015 yetu macho na masikio.
Tahadhari kubwa kwa majaji wanaosikiliza Kesi hizi wasije tuingiza kwenye janga kubwa wanaweza dhani kushitakiwa na kutoa hukumu za kipuuzi kama za Dowans/Richmonduli kwa Dr Slaa
na wa Tanganyika kimya sijui!!!
na tusubiri.
 
sawa hakimu Rejao!
Asante kwa kunielewa

Ni kweli aisee!Lakini aende na MKAPA,KINGUNGE,SITTA,MANGULA,MWINYI,KINANA NA WEWE MWENYEWE
Wamefanya makosa gani? hawaropoki hovyo!

Keko siku hizi watu wanapumzika? Mbona sijamsikia JK akienda? Maana yeye anaongoza kwa kupumzika
kakupumzikia? hebu tujuze...labda utakuwa na taarifa zaidi

Alimwita JK fisadi, hakufikishwa mahakamani unafikiri wewe na huyu dogo mtapona?, kwanza CCM na serikali yake hawafiki 2015 wanaondoka madarkani na Dr Slaa anakuwa Rais. Kama huamini subiri.
Ndoto za mchana hizi...Labda TZ igeuke kuwa Libya

Rais King Cobra Sata, Zambia, ana miaka 74, Rais Wade, Senegal miaka 80 na ushee, Mugabe Zimbabwe 80 na ushee, Mutharika zaidi ya 60, Kibaki ana zaidi ya 70.

Kati ya hao na Slaa nani kazee? Acha chuki Mkuu.
Slaa kachoka zaidi ya hawa...kwanza ni mgonjwa..hivi ule mkono umepona?

Bwana green guard kama hujui kitu tafathali usichangie, Kesi ya Defamation haina cha keko wala segerea, ni kulipa fidia.
Akishindwa kulipa je inakuwaje? Kumbuka ruzuku yote imeishia Igunga

Kucheza na Dr. Slaa ni kucheza na maisha wa waTz woote - hilo ni siri iliyo bayana. Halafu huyu mtoto hamnazo kweli au niseme ni mwoga fulani vile mbona hakumshtaki Mchungaji? Si alimtishia naye pia?
 
Washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd, mhariri mtendaji wa Tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pPintech ltd. Kesi imefunguliwa jalada namba 109, ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam Amir Msumi.

Ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2, pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudia tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la Tanzania daima. Kwake binafsi na BIASHARA ZAKE, na wamwombe radhi bila masharti yoyote.

Kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu. Kesi itaahirishwa mpaka 2015 halafu Dr. Slaa anatiwa ndani miaka kadhaa wameshausoma upepo wa 2015 kupitia Igunga

siajawahi kuona mtu mpumbavu kama riziwan, sifa na kuburi havita mfikisha kokote.. saif bin islam yuko wapi??? watoto wa Mubarak wako wapi.. sikupendi riziwan lkn naomba nikushauri ukae kimya kama alivofanya MKAPA.. itakusaidia
 
Back
Top Bottom