Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

Hivi tanzania hakuna wakujitoa mhanga pale magogoni alipue lipue kizazi chote cha kikwete ........ mi niko tayari kujitoa sema 2 sina vifaa.
 
mhhhhhhhhhhh
anajipenda kweli
haya tunasubiri watu wamwage docs tu
si anafikiri hizi ni zama za ujima.
 
Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea

Rais King Cobra Sata, Zambia, ana miaka 74, Rais Wade, Senegal miaka 80 na ushee, Mugabe Zimbabwe 80 na ushee, Mutharika zaidi ya 60, Kibaki ana zaidi ya 70.

Kati ya hao na Slaa nani kazee? Acha chuki Mkuu.
 
anataka kumwondoa dr slaa kwenye siasa angalau kwa sasa. Dr slaa alikwenda mbali mno kuhangaika na haka katoto. Hii kazi angewapa akina wenje tu.

asee na kweli bana haina haja ya mkuu kuhangaika na haka kajizi katoto nadhan ndo maana anampotezeaga
 
rithiwan fisadi mkubwa ww jiangalie sana dogo usije ukaishia jela angalia Gaddaf na utajiri wake wote yupo wapi sembuse ww kushindana na MZEE WA DATA thubutu
 
Huyo bwana aliambiwa aende kitambo Mahakamani!! Mbona kachelewa sana!!! Sasa tusubiri mengine mengi yanayomhusu Ridhiwani toka kwa Dr na Mtikila!!! Watu wanamjua kuliko anavojijua yeye...
 
Riz1 atuambie km mke wake alistahili kupata 100% ya loan frm HESLB while watoto wa walalahoi wamekosa na wamefaulu na kudahiliwa sasa sijui ada nani atawalipia,HUYU MTOTO FISADI,MBINAFSI NA ALAANIWE.
 
MASHAVU YAKE! huyu mtoto fisadi kabisa, sijui kanatoa wapi ujasiri huo!
 
si alisema hana biashara yeyote zaidi ya kudandia magari ya watu

Cha msingi Dr. Slaa aombe mahakama kumruhusu kuwasilisha ushahidi wa kielectronikia ili wajumbe tumrushie mawasiliano ya dogo huyu na wakuu wa kampuni ya ujenzi inayofanya kazi sasa kupanua bara bara pale mtava na kuanzia uwanja wa ndege kwenda gongo la mboto kijana huyu analalamika kuwa gawio lake limechelewa na yeye ndiye aliyewekeza fedha nyingi ndani ya kampuni hii SKOL building contractor

acha ushabiki huyo ridhiwani hana akili ya kuinvest kwenye building contractor.msitake kuwaharibia kampuni za watu majina.skol ipo siku nyingi kabla ridhiwani hajamaliza chuo na wanafanya kazi zao bila wasiwasi na ni watu wazima kwa hiyo haiiningii akili mtoto kama ridhiwani kuwekeza pale.kama una ushahidi tumwagie usijekuta umetumwa na wale wahindi wenye kampuni ya estim kuchafua watu.
 
Wakimweka Dr wa ukweli KEKO watoto wa maskini waliokosa mkopo wa chuo watamtoa kwa nguvu.
 
Ni Jaji gani/nani aliepangiwa kusikiliza hio kesi?, Mimi mashaka yangu kwanini Ridhiwan amechelewa kufungua hii kesi??!!, kuna kitu/mipango imesukwa hapo katikati, i doubt. Ni lazima Dr Slaa aandae Mawakili mahiri katika hii kesi.
 
Huyo bwana aliambiwa aende kitambo Mahakamani!! Mbona kachelewa sana!!! Sasa tusubiri mengine mengi yanayomhusu Ridhiwani toka kwa Dr na Mtikila!!! Watu wanamjua kuliko anavojijua yeye...

Alikuwa anajipanga kwani mahakamani kunahitajika ushahidi na si siasa. Ok Tuiache mahakama ifanye kazi zake pasi na kuingiliwa nasi katika utendaji wake.

Kwani siku zote kesi au shauri likiwa mahakamani inakuwa si vizuri kulijadili kwa aina oyote kwani tunakuwa tunaingilia uhuru wa Mahakama.

Tuwape muda na kila la kheir pande zote.

 
Mtoto wa mama kujtoa muhanga unadhan mchezo,mwanao akitumbukia baharin kumfuata huwez mtu mwnywe unavypenda zinaa
Hivi tanzania hakuna wakujitoa mhanga pale magogoni alipue lipue kizazi chote cha kikwete ........ mi niko tayari kujitoa sema 2 sina vifaa.
 
Riz1 huyo ni fisadi tu hata afanye nini kapata wapi mapene ndani ya muda mfupi na biashara gani alizonazo anazotaka zipewe protection na mahakama wakati alisema yeye hana kitu?
 
Kumshitaki Dr Slaa umetushtaki sisi walalahoi wote wakati Tunajua Ridhiwani na Baba yako Jakaya nyie ni wezi sasa nguvu ya kwenda Mahakamani umetoa wapi? HAUNA CHAKO TANZANIA NI YETU NA MUNGU ANAJUA.

Nchi ya wote hii,hata hao tunaowapigia debe hatujui dhamira zao
 
Back
Top Bottom