Kwann Ni Dr slaa pekee ndio ameachiwa?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,401
15,980
Jana kamati kuu ya CCM,cc iliketi dodoma na Cha kushangaza Zaid leo asbh Dr slaa ameachiwa bila mashart magumu

Ila wale wengine kina mwabukusi na kijana mtukutu mpaluka mdude wao wameendelea kusota sero

Swali

Ndio tuseme kuwa kamati kuu ya CCM ndio mahakama yenyewe ,dpp,. Au ndio majaji wa kesi zote ngumu nchini

Lini nchi hi itafata utawala wa sheria kila kitu, vitu serious kbsa inafanywa kichamaa

Inafika mahali mkurugenzi analipwa milino 3 anakwenda kufunga bar wenye wafanyakazi 45 bila kujali adhari yoyote
Nao hii pia Hadi kamati kuu cc ndio wakubali ndipo biahara iachiwe

Samahani nimefurugwa Hadi nimeamua kuleta hbr zingine za ze cask
 
wameachiwa pia, be current please
 
Back
Top Bottom