Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

JAMII FORUMS HII HII. niliwahi kukutana na haya mambo.

by BONGOLALA
Mali za Riz1 zipo katika kampuni ya mafuta KOBIL na nyingine anamiliki malori ya mafuta kwa kupitia mpambe wake Davids Mosha hilo halina ubishi!!!
by Wakati
i dont remember Mtikila losing a battle in court, is this going to be his first loss?. I dont think so!
by Shark
Anamiliki kipande cha ardhi bagamoyo ambacho amekikodisha kwa watu wa tigo kwa $1,000.00 kwa mwezi,
the same charge to what tigo is paying for plot/land at masaki/namanga/mikocheni n.k.
by Maandamano
anajenga hotel ya kimataifa pale kibaha mailimoja,...ana petrol station ambayo ni imegharimu fedha nyingi za walipa kodi kuliko petrol station yoyote dsm..
by Takeurabu
sio hivyo tu ndugu yangu inasemekana pia hata yale magorofa yanayojengwa morogoro msamvu riz1 ana hisa! wafuatiliaji wa mambo wananena kuwa huwa anakwenda mara kwa mara ku-visit!.
by Wizzo
nasikia anahisa tanzanite one mererani
by reformer
Safi sana..naona dogo sasa kaamua kabisa kummaliza babake na chama chake.Hata ukishinda hiyo kesi mahakamani, hutashinda umma wa watanzania walio na hasira na ww kilaza uliyedisco UD mara 2 ila ukamailza kwa kubebwa.Hakuna asiyejua kwamba una trucks 150, vituo vya mafuta, hotels, nyumba kibao za kifahari, viwanja, magari ya kifahari...kwa kazi gani unayofanya.
 
acha ushabiki huyo ridhiwani hana akili ya kuinvest kwenye building contractor.msitake kuwaharibia kampuni za watu majina.skol ipo siku nyingi kabla ridhiwani hajamaliza chuo na wanafanya kazi zao bila wasiwasi na ni watu wazima kwa hiyo haiiningii akili mtoto kama ridhiwani kuwekeza pale.kama una ushahidi tumwagie usijekuta umetumwa na wale wahindi wenye kampuni ya estim kuchafua watu.

wewe wacha kushabikia vitu usivyovijua nafahamu nini kinaendelea na nani wahusika kwani toka inaanzishwa na kuanza na mradi wake wa shs mil 800 , na usizani huyu mzee skol (mhasibu) ndio mwenye kampuni ukiweza funua pazia utawaona walio ndani ya kampuni hiyo.........na wapo wengi mpaka mbunge wa segerea mbona wao wamenyamaza na wewe unakimbilia nimetumwa na ESTIM

Kama mmemwaga mboga wananchi tunamwaga ugali na kukanyaga kabisa
 
Baba yake katoa rai kwa Sekretarieti ya Maadili kuwachunguza watu binafsi ambao si wafanyakazi wa serikali kuona uhalali wa mali walizonazo. Nafikiri kijana wake pamoja na mkewe watakuwa watu wa kwanza kusombwa na huo upepo iwapo hiyo sekretarieti itaamua hivyo.
 
Washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd, mhariri mtendaji wa Tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pPintech ltd. Kesi imefunguliwa jalada namba 109, ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam Amir Msumi.

Ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2, pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudia tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la Tanzania daima. Kwake binafsi na BIASHARA ZAKE, na wamwombe radhi bila masharti yoyote.

Kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu. Kesi itaahirishwa mpaka 2015 halafu Dr. Slaa anatiwa ndani miaka kadhaa wameshausoma upepo wa 2015 kupitia Igunga
Wakuu nilikuwa kwenye daladala moja(Mwanza) Konda akapita kwenye petrol station ya Lake oil akaanza kumpondea Riziwan ndani ya daladala.Akuishia hapo nakusema siku CCM wakitwibia kura zetu lazima hiki kituo hichi tukichome moto.Abiria rika lake wakasema dogo Riz ni fisadi balaa.Simpendi huyu mtu...............
Watanzania vijana wamejenga chuki na huyu Riz one kiasi kwamba wakikutana nae chocho lazima wampe kitu inauma,maana wanaamini yeye antumiwa na babake, Jk kukwiba rasilimali za nchi huku maisha yakizidi kuwa afadhali ya jana.
 
Washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd, mhariri mtendaji wa Tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pPintech ltd. Kesi imefunguliwa jalada namba 109, ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam Amir Msumi.

Ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2, pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudia tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la Tanzania daima. Kwake binafsi na BIASHARA ZAKE, na wamwombe radhi bila masharti yoyote.

Kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu. Kesi itaahirishwa mpaka 2015 halafu Dr. Slaa anatiwa ndani miaka kadhaa wameshausoma upepo wa 2015 kupitia Igunga

Kwa nini Dr. atiwe ndani ni kesi ya mauaji?
 
Mtoto wa mama kujtoa muhanga unadhan mchezo,mwanao akitumbukia baharin kumfuata huwez mtu mwnywe unavypenda zinaa

Napenda zinaa nimemlala mkeo?! ........hii inaonyesha jinsi gani ulivyokua na hayba za kishoga!
 
Ridhiwani utaumbuka wewe ni billionea na fisadi,utajiri ulioupata umeupatajepataje ndani ya mwaka mmoja ni millionea,ebu tuambie kuna mwanasheria gani ndani ya miaka mi2 tu akawa bilionea na hizo fedha umezipataje? Weka vielezo vyote,maghorofa yako ya magomeni, mikocheni, oysterbay, masaki, arusha, iringa, pia weka wazi semi trailer 100 umezitoa wapi?

Asas, lake oil, machimbo ya mchanga na mawe Iringa hela metoa wapi?? Kwa nini ujawashtaki kama ulivyoahidi ndani ya wiki 2? Kama ushafuta ushaiidi wa mali zako au uliowamilikisha tutaanza na wao hizo mali wamepata wapi na wawe na vielelezo vyote, hadi TRA tutaenda tujue kama kweli walilipa kodi kama hawajalipa tunawafungulia kesi ya kuujumu uchumi

Haya mambo hayo !! Jana baba yake alisema tume ya maadili iwachunguze watu binafsi pia sio watumishi wa umma tu. Awaelekeze waanze na mtoto wake.
 
Riz one ni mwizi mkubwa wa mali za watanzania ni heri angekufa hata leo maiti yake tuitupe baharini
 
Riz1 atuambie km mke wake alistahili kupata 100% ya loan frm HESLB while watoto wa walalahoi wamekosa na wamefaulu na kudahiliwa sasa sijui ada nani atawalipia,HUYU MTOTO FISADI,MBINAFSI NA ALAANIWE.

Taarifa ni kwamba hiyo taarifa ya mke wa Riz si ya kweli. aliyepata mkopo amemaliza Kifungilo mwaka jana (Fact) na mke wa Riz amemaliza Chuo hata kabla hajaolewa (fact). Tuanzie hapo na mjadala unaweza kuendelea katika mambo mengine si hili kuhusiana na mada ya thread hii ili kujenga hoja.

Jambo la pili, kujadili hoja juu juu na kwa jazba ama kwa hisia za chuki na kuwa na upande kunapoteza maana halisi na kunaharibu hata heshima na hadhi ya JF. Hoja ni kesi na nini msingi wa kesi husika. Kwa baadhi ya wanaohusika ama kujua ni vigumu kuchangia maana kesi iko mahakamani na wanaweza kuharibu ushahidi. Hata Riz mwenyewe nadhani kama mwanasheria hawezi kusema chochote maana itaharibu msingi wa kesi, kwa maana hiyo hapa tunaweza kujadiliana mambo ya juu juu tu, kwa kuwa pande zote mbili, Slaa na Riz hawataweza kusema chochote hata kama wako humu JF kwa kuhofia kuharibu kesi hapo baadae. Hilo ni changamoto kwetu pia hapa JF. Mfano Slaa akiingia na kueleza ushahidi alionao itamharibia, ama Riz ama mtu wake akiingia na kutoa maelezo naye ataharibu kesi yake.
 
Hawa watoto wa viongozi Africa wanapotumia mali za umma kujitajirisha halafu wanakuwa na kiburi wakidhani nchi ni boma la baba zao. Mfano huyu Riz1 hizo mali amezichomoa wapi, vijana wanamaliza chuo miaka na miaka hawajashika 100 MILION HUYU MTOTO AMEMALIZA MWAKA MMOJA SAIV ANAONGELEA BILLIONS AKIULIZWA HASEMI AMEZITO WAPI, ANAKOMAA TU KUFUNGUA KESI. Bila shaka hiki ni kiburi kwa kuwa ana pesa za kuendesha kesi na Babake ameshika dola ni rahisi akamsaidia kwa hali na mali ashinde hiyo kesi. Hapa tunaona ukweli huyu mtoto ana jeuri ya pesa mpaka anakosa heshima kwa watu wenye rika la baba yake wanao mweleza ukweli. Hivi Riz1 haoni watoto wengine wa marais Afrika waliodhani nchi ni yao wanavyo taabika, hakika Riz1 anastahili adhabu. Nashauri Dr Slaa na Mtikila wakomae nae labda anafikili yuko juu ya sheria sababu yeye ni mtoto wa rais na ana fedha kibao ndo anaamua kuwafungulia kesi basi kama ameamua kulianzisha wasimwache atazoe vibaya.
RIZ1 I HATE YOU.
 
mtikila ana full infor kuhusu malori 100 ya asas iringa kwa wakwe za babako!! utaumbuka lazima
 
Riz one ni mwizi mkubwa wa mali za watanzania ni heri angekufa hata leo maiti yake tuitupe baharini

Huyu Riz one anajipiga mkuki mwenyewe na ataomba ardhi ipasuke aingie huko kwa ajili ya kiburi chake. Amwangalie Lowassa alipofikia ni pazuri vilevile.
 
Kuna kila dalili atawaharibia ugali wao na watoto wao!!! Chama chenyewe kimekuwa kama MONARCHIC REGIME....baba akiachia ngazi mtoto anachukua mkoba..sijui tutafika lini!!!
Sijui ni kwa nini watu wa CCM mnamchukia Slaa namna hii...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom