Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.
Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.
Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE
Mambo mengine ni siasa tu, mtoto wa Rais kupata escort ya watu wa usalama na magari ya Ikulu, bila nembo wala bendera ya baba yake (ambaye ni Rais) ni jambo la kawaida duniani kote. Ningeshangaa tu kama Ridhwan angetumia nembo za Ikulu kwa maana ya nembo ya Rais kupita barabarani lakini hili halina tatizo kwenye mambo ya ulinzi wa Rais na familia yake kokote duniani..
Kisidumu chama cha majambaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiKwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??
udaku mtupu. Tuwekee picha hapa na si story za kitchen party.
<br /> Kumbe ulikuwepo siku iyo nilishuhudia hili mkuu..Ndugu yangu, wewe leo ndio umeona kuwa Ridhiwani anasindikizwa na motorcade ya gari zisizopungua tatu, mimi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu nimekutana nae mara kadhaa akiwa na msafara wa magari ya ikulu matano (nissan patrol nyeusi). Tena wakati fulani walinitimua barabarani nikaegesha pembeni, kufika Korogwe pale magari ya DAR Express yanaposimama kwa chakula nikashangaa kukuta yale magari yote matano yamepack na wapambe wakiwa wanachokonoa meno tu wanamsubiri mtoto wa mkulu amalize waendelee. Pembeni kila mtu ananong'ona Ridhiwani, Ridhiwani. Mie ninachomwomba JK leo kwenye jukwaa hili ni kwamba na yeye alipe P.A.Y.E. Kama sisi walalahoi tunavyofany sio atafune tu tunachozalisha sisi..
wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka uwanja wa kimataifa wa ndege wa mwalimu nyerere (jnia), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda dubai.
Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na mungu wanajua...kapelekwa uwanja wa ndege na escort akiwa katika gari ya ikulu, lenye ngao na polls mbili lakini halikuwa na bendera. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.
Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. Inaskitisha jama, this is extremeeeeeeeee
Face The reality Bro, First family wanazo hizo Privilege INGAWA sina uhakika kwa mtoto ambaye ni mtu mzima na anayejitegemea anafall under those privileges. Ebu Pata angalizo hapa:
1 of 3 http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/OGbEFL4f-yO/Malia+Obama
See All Malia Obama Pics »
Obama Daughters Are Dropped Off At School
In This Photo: Malia Obama, Sasha Obama
Sasha Obama (L) and Malia Obama (C), daughters of U.S. President-elect Barack Obama, are dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)
http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/4R2YCjsAqlM/Malia+Obama2 of 3 http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/niP_zRBOLr2/Malia+Obama
See All Malia Obama Pics »
Obama Daughters Are Dropped Off At School
In This Photo: Malia Obama, Sasha Obama
Sasha Obama, daughter of U.S. President-elect Barack Obama, is dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)
3 of 3 http://www.zimbio.com/photos/Malia+Obama/Barack+Obama+Holds+Election+Night+Gathering/jPYfXCSkZmMSee All Malia Obama Pics »
Obama Daughters Are Dropped Off At School
In This Photo: Malia Obama, Sasha Obama
Sasha Obama (L) and Malia Obama (C), daughters of U.S. President-elect Barack Obama, are dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)