wanapewa ulinzi kutokana na threat level...escort ya magari matatu ni no no...mara nyingi wanapewa dereva na mlinzi na gari moja, huyo kikwete ana watoto nane sijui sasa kama wote wanapewa same treament si mzozo huo.
si ulinzi tu hata kuendesha nchi inapobidiNijuavyo mimi watoto wa marais wengi tu duniani(wanaounda first family) hupewa ulinzi na ama polisi,jeshi,secret service ama chombo chochote kinachosimamia usalama wa viongozi kwa nchi husika(ikiwa ni pamoja na kuwa na motorcade yenye escort ya walinzi) so Ridhwan kama mmojawapo wa watoto wanaounda first family ulinzi ni stahili yake...
Hata Gamal Mubarak ni mwezi jana tu alikuwa akisindikizwa hivyo hivyo sasa yuko uhamishoni UK dunia ni mzunguruko..Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??
Q1. Anaandaliwa kuzoea uongozi ili siku akishika nchi asibabaike, Mubarak pia alikuwa anamwandaa mwanae ila waandamanaji wamemwahi..,
Q2. Kamati itaundwa na RAIS kwa maagizo maalum ya kulipachika hilo ukizingatia wa tz hawasomi neno kwa neno.
Q3. Hili lilijibiwa na JK kwamba Urais ni wake na Familia yake.
Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??

Acha uongo memba wa JF wanazidi kuongezeka bcs JF ni jukwaa la kiukweli (hamna forum inayoisogelea hata kwa mbali), watu wanapotoa mawazo yao yakapingana na ya kwako usidai wivu unawasumbua.ndio tatizo la jf nowadays!
Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??
Asante sana kwa kutujuza, maanake sisi ambao hatujui ni rahisi kukimbilia kulalamika kuliko kutaka kujua ukweli wa mambo. Nadhani familia ya mkuu kupewa ulinzi si kwetu au kwa Bush tu bali ni utaratibu wa dinia nzima, wale mnaojua zaidi mnaweza kutupa mifano zaidi ili kusaidia kuachana na chuki zinazotokana na uelewa wetu mdogo
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.
Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.
Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE