REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

Status
Not open for further replies.
Wewe ni nani kuanza kuwashutumu wengine juu ya uhalali wa vyeti vyao. Wewe mwenye cheti original una(me)lisaidiaje taifa ili
 
Kwa mujibu wa official CV ya Waziri mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, yeye alipata degree ya BA (International Studies & Diplomacy) kutoka chuo cha Washington International University - USA.

CV ya Lukuvi inapatikana kwenye website ya Bunge hii hapa:

Parliament of Tanzania

Ukienda kwenye google na ku-search chuo hicho cha Washington International University unakumbana na taarifa zifuatazo za kushtusha:

1. Chuo hicho hakiko accredited popote duniani, hivyo degree zake ni feki
2. Chuo kinatoa degree fasta kwa mwaka mmoja tu!
3. Wanafunzi wake hawatakiwi kusoma vitabu, kufuata mitaala yoyote au kufanya mtihani wowote.
4. Chuo hakina campus wala professors, kina washauri tu wa elimu
5. Chuo kinamilikiwa na kuendeshwa na mtu na mke wake
6. Mmiliki wa chuo anasema: "Sisi ni wajasiriamali, si watoa elimu."
7. Marekani inasema degree za chuo hiki ni "substandard." Hazitambuliwi popote.

From Wikipedia, the free encyclopedia

Washington International University is an unaccredited institution of higher education founded in 1994 and currently incorporated in the British Virgin Islands. It describes itself as a "university without borders," serving clients from around the world via distance education. The university website states that WIU's graduates have come from 112 countries.

The name "Washington International University" is used in promotional materials for other unaccredited distance learning institutions. There are no known accredited institutions by this name, but at least four accredited Washington universities exist: the University of Washington, Washington State University, Washington University in St. Louis and George Washington University (see "Similarity of names" section, below).

Academic programs

The school offers bachelor's, master's and doctoral degrees in business, liberal arts and engineering.

The school offers "traditional" and "accelerated" degree programs. The traditional programs require students to complete just ten courses for a bachelor's degree and eight for a master's, along with a senior research project. The accelerated degree program allows completion of any degree within one year. For the accelerated program, according to the university's website, "There are no textbooks to read, curriculum to follow or formal exams to take." For either a bachelor's or a master's degree, a student must submit three book reports on books selected by the student's advisor and a research paper on a topic related to the student's field of study. For the doctorate, students must complete a thesis under the guidance of an instructor.

The university points out on its Web site that its course materials "use simple language so that an average person can understand what is written."

The school's website lists seven faculty members, including two with doctorates, one with Ed.D, three with master's degrees and one with a J.D. degree. According to a newspaper report in 2002, Karademir (the school's owner) called the faculty "advisers", not "professors."

Accreditation status and recognition of degrees

The university has not sought educational accreditation and does not have a campus. As of March 2010, the Oregon Office of Degree Authorization states on its website that WIU is located in the British Virgin Islands and that its degrees are not recognized.

Lack of accreditation has consequences for WIU degree holders in some circumstances. For instance, the Michigan Civil Service Commission lists WIU among unaccredited institutions "from which degrees will not be accepted [...] to satisfy educational requirements indicated on job specifications."

The Texas Higher Education Coordinating Board (THECB) lists degrees awarded from WIU as "substandard," meaning according to the THECB in this case, "a degree... conferred outside the United States by an institution that the Coordinating Board determines is not the equivalent of an accredited or authorized degree." The THECB describes WIU as having "[n]o accreditation from a CB (Coordinating Board) recognized accreditor. British Virgin Islands does not have postsecondary oversight capability."

History and locations

The school was founded in the mid-1990s and, as of 1998, was incorporated in Hawaii and the British Virgin Islands, although it was based in Pennsylvania and owned by Yil Karademir, of Lower Merion, Pennsylvania, who ran the university with his wife. According to The Philadelphia Inquirer, the Hawaii location was meant for forwarding mail and telephone calls to the school's location on the mainland. As of 1998 a building pictured on WIU's website was "where the head of Washington University receives mail and messages", but a two-story house on a residential street in Bryn Mawr was the school's registrar's office where a staff of four took calls from students. Karademir explained to the Inquirer that we "We are entrepreneurs, we are not educators."

Before 1998, the institution now called "Washington International University" used the name "Washington University," but Karademir added "International" to the name in June 1998 as part of the settlement of a lawsuit filed by Washington University in St. Louis. Lawyers from the latter institution had accused Washington International of being "nothing more than a diploma mill", but Mr. Karademir of Washington International University disputed this characterization.

The institution's incorporation in Hawaii was dissolved March 1, 2000. Earlier, the state of Hawaii had brought legal action against the school, alleging that it had deceived consumers by failing to disclose its lack of accreditation. The parties settled the case in 1999; one of the requirements of the settlement was that Washington International dissolve its Hawaii corporation and not promote itself as being incorporated in or registered by the state of Hawaii.

According to Bears' Guide to Earning Degrees by Distance Learning, Washington International started listing a South Dakota mailing address in mid-2000. In 2002 the Argus Leader in Sioux Falls, South Dakota reported that the school had a "small, broom closet-sized office" in that city but no employees. The school used a local secretarial service to answer the telephone and forward mail, and a local lawyer as an agent. For some period thereafter, completed applications to the institution were requested to be forwarded the Student Communication Center in Pennsylvania. Similarly, as of February 2008, the university asks prospective students to forward completed application forms to the Washington Educational Organization in Wilmington, Delaware, and the form states that it is incorporated in British Virgin Islands.

Prominent graduates

* Joseph Kabila, President of the Democratic Republic of the Congo

* Linda West, private health-care activist and political candidate in Manitoba, Canada

Usishangae sana FAREED hizi Degree ambazo waheshimiwa wa bongo walizonazo zote sio halali mkuu! Si unaona hata JK anaitwa DR.KIWETE?? Hata mimi nasomea DEGREE ya mwaka mmoja 2015 nagombea mtanipa kura zenu za ubunge!!:whoo:
 
Ule msemo wa Kihiyo au Vihiyo itabidi sasa ubadilike na kuwa Lukuvi au Vikuvi. Nawasilisha

Kihiyo ni yule, kwa kutumia cheti cha nduguye/jamaa yake na kughushi jina lake katika cheti cha huyo nduguye anasema anaelimu fulani kumbe hana.

Kikuvi ni mtu anayepata shahada ya kwanza -Bachelor (iliyobatili) tka chuo/vyuo visivyotambulika.

Kikulo ni yule mtu anayepata shahada ya uzamili -Master (iliyobatili) toka vyuo visivyotambuliwa

Kichimbi ni yule anayepata shahada ya uzamivu -Doctor of Philosophy(iliyobatili) toka chuo kisichosajiliwa.

Naomba kuwasilisha.. kwa msisitizo
 
Duuh, ndiyo maana Mkulo ana uwezo mdogo sana wa kazi. Kila kitu alikuwa anamtegemea Gray Mgonja. Hata kwenye mikutano na donors Mgonja ndiyo alikuwa msemaji mkuu badala ya waziri. Hivi Kikwete ana akili kweli kumuweka waziri kihiyo kama huyu kwenye wizara nyeti namna hii? It's just a matter of time bomu litalipuka tu

JK anajua aweke wapi 'jembe lake'...!
Si mnajua ukimuweka mtu ambaye ni kikwazo inakuwa mzozo pale unapotaka ku-sepa au kudakua kwa mahitaji yako?

Elimu ni muhimu sana kwa decision making ila kama hiyo haipo then wewe ni wa kusema ndio mzee....
 
Hiyo thesis siyo issue maana alimfanyia kijana mmoja anaitwa ngasamiaku kipindi hicho huyu dogo alikua assistant lecture pale department of economics university of dar es salaam.
Kwa sasa ngasamiaku nadhani amegraduate phd UDSM mwaka huu.
Mama Nagu kipindi hicho alimlipa hela nzuri tu huyu kijana kwa ajili ya kuandika hii thesis from the scrach so sidhani kama Nagu anajua hata kilichoandikwa ndani.
VYETI VYA VIONGOZI WENGI WALIVYOVIPATIA UKUBWANI NI FEKI

Vipi kijana hakuvuta chupi? :shut-mouth:
 
..i wont be concerned that much with Lukuvi. after all his portfolio is not that important.

..the real scandal is the appointment of Mustapha Mkulo who holds an MBA degree frm a fake univ to become the min for finance.
 
Huu ni wakati muafaka wa kutambua na kukiafiki kile kitabu alichokiandika bwana mmoja, Mwanasheria Kijana na machachari kabisa asiyeogopa mtu - Kainerugaba Msemakweli, kuhusu "VIONGOZI MAFISADI WA ELIMU TANZANIA"

Kile kitabu ni muhimu sana kwa JK na alitakiwa akitathmini kabla ya kuunda Baraza lake lakini, may be hakumbuki kama kulishatoka kitabu kama hicho ktk nchi hii....!
Naomba mtu yeyote mwenye ile copy yake aiwasilishe hapa kwa wanajamii waweze kujiwekea kumbukumbu zao sahihi...

Ntawasilisha tu ile copy ya Jalada kwa juu kama ilivyo chini.
Mafisadi wa Elimu.jpg

Jamaa kawakalia kooni.jpg
 
yaani hao ndio viongozi wetu,kwa nini wanapenda heshima wakati heshima hazitafutwi kwa nguvu? hili ndilo janga la taifa..nasikitika kuona jamaa amechaguliwa tena ....lol
 
Vikuvi aka Vihiyo Ni wengi tutawatambua kwa matendo yao.
 
jk anachosha sana.. mi nadhani ameshachoka na hii nchi, mi nadhani hajali tena yanayotokea wala yanayoendelea, mi nadhani anatamani term iishe tu. im sure kajipanga kuishi nnje ya hii nchi mda wake ukiisha.
 
usijekuta hiko cheti chake kilipita hadi T.C.U na kuwa recognized, halafu tunamlaumu Lukuvi...
 
Ni kweli viongozi wengi wana vyeti feki vya kuungaunga na ndio maana kumekuwa na usanii mwingi serikalini hii ni hatari kwa taifa letu!
 
Bosi wao mwenyewe
ana phd feki,unategemea wanawe watafanyaje
zaid ya kumwigiza?????
Lool
 
Kuwa na degree haina maana ya kuwa na uwezuo wa kuongoza. Ukiwa na degree hiyo sana sana umefuta ujinga wa kutokujua kusoma na kuandika, kitu ambacho hata mtu wa elimu ya kati anaweza. kuongoza kunahitaji busara na kipaji. Kulazimika kupata vyeti feki eti uonekane una uwezo ni upuuzi wa sisi WaTZ. Ndio maana matunda ya kazi zetu yanakuwa finyu kwani tunaangalia makaratasi badala ya hekima, busara na IQ.
 
Mrema alipata degree iyo kwa wiki moja na akafanya tafrija kubwa. Kikwete washauri wako vipovu

Vipofu nchi hii ni wengi tu. Tulikuwa na Higher Education Accreditation Council ambayo ilikuwa replaced na Tanzania Commission for Universities. Hii taasisi moja ya kazi yake ni accredit vyuo na shahada zitolewazo na vyuo mbalimbali. Wamekuwa wakifanya hivyo kwa watu wa kawaida na kuwapa taarifa waajiri (pale wanapoombwa). Lakini hata wanapojua kuwa wanasisa wanajitangazia kuwa na shahada (feki) wao wako kimya tu ili hali wanajua kuwa hizo shahada zinatumika kupandishia chat hao wanasiasa. Ndio sababu tuna watu wanafanya maamuzi ya kijinga kila kukicha huku wananchi wakiamini kuwa maamuzi hayo yanafanywa na wasomi! Jamani hizo degree za wanasiasa zinaudhi kweli! Hivi kwa nini mtu usibaki tu kuwa kama prof. maji marefu kuliko kujijazia mashahada ya vyuo vya mtandaoni?
 
Kwa mujibu wa official CV ya Waziri mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, yeye alipata degree ya BA (International Studies & Diplomacy) kutoka chuo cha Washington International University - USA.

CV ya Lukuvi inapatikana kwenye website ya Bunge hii hapa:

Parliament of Tanzania

Ukienda kwenye google na ku-search chuo hicho cha Washington International University unakumbana na taarifa zifuatazo za kushtusha:

1. Chuo hicho hakiko accredited popote duniani, hivyo degree zake ni feki
2. Chuo kinatoa degree fasta kwa mwaka mmoja tu!
3. Wanafunzi wake hawatakiwi kusoma vitabu, kufuata mitaala yoyote au kufanya mtihani wowote.
4. Chuo hakina campus wala professors, kina washauri tu wa elimu
5. Chuo kinamilikiwa na kuendeshwa na mtu na mke wake
6. Mmiliki wa chuo anasema: "Sisi ni wajasiriamali, si watoa elimu."
7. Marekani inasema degree za chuo hiki ni "substandard." Hazitambuliwi popote.

From Wikipedia, the free encyclopedia

Washington International University is an unaccredited institution of higher education founded in 1994 and currently incorporated in the British Virgin Islands. It describes itself as a "university without borders," serving clients from around the world via distance education. The university website states that WIU's graduates have come from 112 countries.

The name "Washington International University" is used in promotional materials for other unaccredited distance learning institutions. There are no known accredited institutions by this name, but at least four accredited Washington universities exist: the University of Washington, Washington State University, Washington University in St. Louis and George Washington University (see "Similarity of names" section, below).

Academic programs

The school offers bachelor's, master's and doctoral degrees in business, liberal arts and engineering.

The school offers "traditional" and "accelerated" degree programs. The traditional programs require students to complete just ten courses for a bachelor's degree and eight for a master's, along with a senior research project. The accelerated degree program allows completion of any degree within one year. For the accelerated program, according to the university's website, "There are no textbooks to read, curriculum to follow or formal exams to take." For either a bachelor's or a master's degree, a student must submit three book reports on books selected by the student's advisor and a research paper on a topic related to the student's field of study. For the doctorate, students must complete a thesis under the guidance of an instructor.

The university points out on its Web site that its course materials "use simple language so that an average person can understand what is written."

The school's website lists seven faculty members, including two with doctorates, one with Ed.D, three with master's degrees and one with a J.D. degree. According to a newspaper report in 2002, Karademir (the school's owner) called the faculty "advisers", not "professors."

Accreditation status and recognition of degrees

The university has not sought educational accreditation and does not have a campus. As of March 2010, the Oregon Office of Degree Authorization states on its website that WIU is located in the British Virgin Islands and that its degrees are not recognized.

Lack of accreditation has consequences for WIU degree holders in some circumstances. For instance, the Michigan Civil Service Commission lists WIU among unaccredited institutions "from which degrees will not be accepted [...] to satisfy educational requirements indicated on job specifications."

The Texas Higher Education Coordinating Board (THECB) lists degrees awarded from WIU as "substandard," meaning according to the THECB in this case, "a degree... conferred outside the United States by an institution that the Coordinating Board determines is not the equivalent of an accredited or authorized degree." The THECB describes WIU as having "[n]o accreditation from a CB (Coordinating Board) recognized accreditor. British Virgin Islands does not have postsecondary oversight capability."

History and locations

The school was founded in the mid-1990s and, as of 1998, was incorporated in Hawaii and the British Virgin Islands, although it was based in Pennsylvania and owned by Yil Karademir, of Lower Merion, Pennsylvania, who ran the university with his wife. According to The Philadelphia Inquirer, the Hawaii location was meant for forwarding mail and telephone calls to the school's location on the mainland. As of 1998 a building pictured on WIU's website was "where the head of Washington University receives mail and messages", but a two-story house on a residential street in Bryn Mawr was the school's registrar's office where a staff of four took calls from students. Karademir explained to the Inquirer that we "We are entrepreneurs, we are not educators."

Before 1998, the institution now called "Washington International University" used the name "Washington University," but Karademir added "International" to the name in June 1998 as part of the settlement of a lawsuit filed by Washington University in St. Louis. Lawyers from the latter institution had accused Washington International of being "nothing more than a diploma mill", but Mr. Karademir of Washington International University disputed this characterization.

The institution's incorporation in Hawaii was dissolved March 1, 2000. Earlier, the state of Hawaii had brought legal action against the school, alleging that it had deceived consumers by failing to disclose its lack of accreditation. The parties settled the case in 1999; one of the requirements of the settlement was that Washington International dissolve its Hawaii corporation and not promote itself as being incorporated in or registered by the state of Hawaii.

According to Bears' Guide to Earning Degrees by Distance Learning, Washington International started listing a South Dakota mailing address in mid-2000. In 2002 the Argus Leader in Sioux Falls, South Dakota reported that the school had a "small, broom closet-sized office" in that city but no employees. The school used a local secretarial service to answer the telephone and forward mail, and a local lawyer as an agent. For some period thereafter, completed applications to the institution were requested to be forwarded the Student Communication Center in Pennsylvania. Similarly, as of February 2008, the university asks prospective students to forward completed application forms to the Washington Educational Organization in Wilmington, Delaware, and the form states that it is incorporated in British Virgin Islands.

Prominent graduates

* Joseph Kabila, President of the Democratic Republic of the Congo

* Linda West, private health-care activist and political candidate in Manitoba, Canada

Tunajua umetumwa.
 
Wewe ni nani kuanza kuwashutumu wengine juu ya uhalali wa vyeti vyao. Wewe mwenye cheti original una(me)lisaidiaje taifa ili

Isije na wewe ukawa na degree ya kweli,ila Masters na PhD yako umenunua pale Nkrumah..
 
Mrema alipata degree iyo kwa wiki moja na akafanya tafrija kubwa. Kikwete washauri wako vipovu

Vipi kuwa na degree ni deal hapa Tanzania? Kama hivyo kwanini wasisome Open University? Ifike wakati vyombo husika vifute aibu za aina hii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom