REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

Status
Not open for further replies.
dah, kama ndo mimi kesho yake natoa ushuzi pale mjengoni nasepa zangu shamba kufuga nyuki. lukuvi ni KILAZA MZOEFU. Tabia yake ya kuzima hot topics bungeni huwa ni kwa minajili ya kuficha UZAIFU wake tu.
 
Kumbe ndiyo maana Tanzania hatuna viongozi bali wasanii wa bongo fleva tu. Yaani mtu kazi yako kukopi na ku paste tu then unapewa nchi utawale? Ndiyo maana hawa watu wanatumia mabavu kututawala sie kwani hawataki tuseme ukweli juu yao. JB wa Bongo movie naye anataka kuwania ubunge hivi karibuni. Sishangai kama na yeye kajiunga na hivi vyuo baada ya kuambiwa na kina Lukuvi what to do. Akipata huo ubunge atakuwa waziri wa utamaduni (kutetea ufuska nchini) au ulinzi (kutetea bongo movie si mipaka na vitu nyeti vya ulinzi). Then utaona Zanzibar inavamia Bongo na kudai Mlima Kilimanjaro ni mali yao pamoja na gesi ya Mtwara. Haya ndiyo madhara ya kuwapa watu kama hawa uongozi. Jamani tutafika kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom