REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

Status
Not open for further replies.
hamna lolote.. hamjui wasomi wengi hapa tanzania ndo wezi wa nchi hii.... balali, costa mahalu, mramba, yona, mgonja, kapuya, mahanga, mkapa, rostam, lowasa, ridhiwani kikwete.. sasa hata kama degree za ni halali mbona hawaitumikii nchi ipasavyo.. wanachotaka ni kujineemesha tu matumbo
 
Mkuu pamoja na kuwa TISS pia wanamadudu yao, lakini so far ni moja kati ya taasisi ambazo hapa TZ at least naweza kusema zina unafuu. Jamaa wanajua uozo ulipo lakini wanashndwa ku-deal kwa kuwa maamuzi yako mikononi mwa wanasiasa, sasa kwenye wanaofanya maamuzi wakiingiza element ya siasa tu, basi mambo yote nayaenda kiswahili. Kweli ni vizuri jamaa wakiwa na madaraka kiasi fulani.

Unafuu gani? Wa kuongozwa na Rashid Omar ? TISS yenyewe haiongozwi kwa meritocracy bali kwa loyalty to JK. Mtu aliyekuwa kuwadi wa kumtafutia mabibi JK ndiye kapewa kuwa director wa TISS, unategemeaje kwamba TISS itakuwa ina value meritocracy na kutaka ku vet hawa watu ?
 
I am speechless!!!
 
hamna lolote.. hamjui wasomi wengi hapa tanzania ndo wezi wa nchi hii.... balali, costa mahalu, mramba, yona, mgonja, kapuya, mahanga, mkapa, rostam, lowasa, ridhiwani kikwete.. sasa hata kama degree za ni halali mbona hawaitumikii nchi ipasavyo.. wanachotaka ni kujineemesha tu matumbo

Kwa hiyo Tanzania haina wasomi wasio kashfa ?

Kama nilivyosema mwanzo hapo, wengine tatizo letu si usomi/ kutokusoma, after all nilishawahi kusema degree ni paper qualification tu, by a person's track record you will know his/her true education. Kwa hiyo kama na sisi tunao ma Harry Truman wetu, au ma John Major wetu, mimi sina matatizo nao.

Tatizo linakuja mtu anapotumia hadaa kujiuza kama msomi. Anapata kazi akiji misrepresent kwa wananchi. Mtu wa aina hii hafai kabisa. Kwa sababu trust me, ukimchimba huyu unaweza kukuta hata jina analotumia si lake, katumia jina la mtu kufanya mtihani. Ukimchimba utakuta ufisadi mwingi sana kazini, yeye hajali principles, anataka personal advancement tu.

There is no reason why we should not get rid of dubious people, be they educated or not.

There is no reason why we should not use industrious people, be they educated or not.

And by "educated" I mean only formal education, real education is broader than formal education. If a Lukuvi or a Mkullo does not understand this, and seeks legitimacy through paper qualification, then they surely do not qualify by merit to hold their positions.
 
I am speechless!!!

Mkuu ulikuwa hulijui hili? Mbona ni common knowledge? Uliza madem wa viwanja wa London UK hapo.

Faili la Kikwete chafu sana, ndiyo maana nashangaa watu wanavyotegemea "meritocracy" kutoka kwake.
 
Washauri wa Kikwete wanajua Kikwete anachotaka, madodoki yanayoweza kuchukua amri yoyote ya Kikwete. Hii ndiyo top qualification ya kufanya kazi na Kikwete.
 
Hivi nyie watu, does it real matter mtu kuwa na degree ili awe kiongozi? Mbona tuna maprofessor kibao wamepewa nafasi wakafanya madudu kabisa? Si bora hata huyo Lukuvi ameonyesha kwa vitendo kwamba anao uwezo wa uongozi hata kama hana kisomo kikubwa?
Ndugu zangu kula sana kitabu hakuna uhusiano wowote na karama ya mtu katika uongozi. Tumpe nafasi, tupime ufanisi wake, then tulinganishe na shule yake.

Swala siyo uwezo wa kuongoza, kuna swala la kudanganya kuwa una kiwango hicho cha elimu wakati siyo kweli. Na ninaamini huyu mkwere aliwapa nafasi hizo akiamini walisoma kweli. Shame on them.
 
Wamebaka Elimu, wafunguliwe kesi za ubakaji na ikibainika ni kweli wapigwe mvua 30 sawa na wabakaji wa watoto.
 
ndugu zangu kama unaushahidi wa kutosha tumia jina lako kamili fungulia mashtaka kiongozi huyo - kulalamika hivi mara kwa mara haijengi zaidi ya kuonekana hamnazo

Hivi ile kesi ya bwana msemakweli imefikia wapi vile?
 
Swala siyo uwezo wa kuongoza, kuna swala la kudanganya kuwa una kiwango hicho cha elimu wakati siyo kweli. Na ninaamini huyu mkwere aliwapa nafasi hizo akiamini walisoma kweli. Shame on them.

Hii habari ya kuamini kwamba Kikwete aliwapa kazi kwa kuamini walisoma ni hogwash.

Kikwete anajua kuhusu hili saga siku nyingi. Elimu za hawa viongozi si siri, kuna mtu kachapisha mpaka kijitabu chenye listi ya viongozi wote wenye vyeti vya ajabu ajabu. Lukuvi hakuishia darasa la saba huyu?

Kikwete anajua, ila anajua bongo ni top down, na rais akishamchagua mtu hakuna kitakachotokea, JF watasema wiki moja, wiki ya pili litaibuka lingine kwisha kazi.

Na by now Kikwete anajiamini kuwa thickskinned kama mamba, na hivyo hana re-election wala nini mtamkoma term hii. Kama mlifikiri Mkapa kiburi subirini mumuone Mkwere kagangamala.
 
Kwanini tusifungue kesi ya
Wananchi VS Vihiyo Mafisadi wa Elimu wanaodanya elimu
Am sure with a good lawyer and a bit of evidence kesi itashinda
 
jamani naomba tueleweshane vizuri kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la 25/11/2010 ukurasa wa 3 limeandika kuwa LUKUVI alisomea urusi sasa hapa naona panaongelewa USA nani aaminiwe???
Tujenge hoja zenye manufaa kwa Taifa letu na wala si kubomoa Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Ni kweli kaka wengi wa mawaziri wetu 2010-2015 ni madodoki tu hawana jipya. Jambo la kujivunia kwa baraza hili la mawaziri ni kwamba litatoa nguvu wa watu kuleta mabadiliko 2015. "Ukila na Kipofu Usimguse Mkono"
 
nyie wote mazuzu.. kaeni na hayohayo.... kutosoma na kusoma yote sawa tu. masomi menyewe majizi tu
 
Duuh, ndiyo maana Mkulo ana uwezo mdogo sana wa kazi. Kila kitu alikuwa anamtegemea Gray Mgonja. Hata kwenye mikutano na donors Mgonja ndiyo alikuwa msemaji mkuu badala ya waziri. Hivi Kikwete ana akili kweli kumuweka waziri kihiyo kama huyu kwenye wizara nyeti namna hii? It's just a matter of time bomu litalipuka tu

Mmh mmh ndo mana uchumi wetu umepiga mark time kwa miaka 5 yote iliopita tupo tu tunazunguka palepale kwa watendaj vihiyo.. Haya mambo ya kubebana aibu jamanii
 
The society has to stop the tradition of judging competence of candidates by paper qualifications only!
Misrepresentation is a crime, and criminals don't deserve to hold government offices.
 
Jk naona ni bora aweke hadharani elimu ya askari wake ili tujue wamepata wapi, utafiti ufanyike kama ni za halali au la, ni aibu kuchagua wasomi feki, kama alikua hajui basi achukue hatua haraka kwakua sasa amejua
 
bora ignorant anayesema hajui kuliko waongo kama hawa. Sasa sishangai mikataba bomu inayotiwa sahihi na hawa vihiyo
 
Jk naona ni bora aweke hadharani elimu ya askari wake ili tujue wamepata wapi, utafiti ufanyike kama ni za halali au la, ni aibu kuchagua wasomi feki, kama alikua hajui basi achukue hatua haraka kwakua sasa amejua

Naona website ya bunge ambayo zamani ilikuwa na resume za wabunge sasa haina. Sijui ndiyo wanasubiri wabunge wazi submit na ku resubmit, nilifikiri wabunge waliopo kwa muda kama kina Lukuvi zao zingekuwapo.

Au ndiyo wanawapa muda kubadilisha walipochakachua ?

Parliament of Tanzania
 
jamani naomba tueleweshane vizuri kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la 25/11/2010 ukurasa wa 3 limeandika kuwa LUKUVI alisomea urusi sasa hapa naona panaongelewa USA nani aaminiwe???
Tujenge hoja zenye manufaa kwa Taifa letu na wala si kubomoa Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Angalia website hii hapa chini ya Bunge utaona official CV ya Lukuvi na elimu yake ya mashaka:

Parliament of Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom