trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Tunajua umetumwa.
weweje!!!!
Tunajua umetumwa.
mm sio mpanbe wa LUKUVI ila hii ndo info iliyo kwenye Mwananchi ya leo
Elimu: Stashahada ya Sayansi ya siasa, Urusi (Diploma in Political Science -USSR 1982 -1983 ), Cheti cha Ualimu, Cha Ualimu Tabora (1979) Chati cha Masuala ya Usalama, (Iringa Training in Defence and Security 1980)
sasa hii ya Washington International University - USA haikuonyeshwa
Kwani ile DR ya kiranja mkuu vipi?ni halali au feki,watu tunaumia vyuoni wengine wanapewa tu.