Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,545
Whaat?!!!Mimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina ðŸ˜ðŸ˜..
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira , lakini leo Mungu amempenda zaidi.
😥
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.