JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kuna jina limekuwa likirushwa rushwa kwenye mazungumzo juu ya raia mmoja wa Kiganda ambaye anakwenda kwa kutumia initials za "JB".

Does anybody know who he is and what has he been doing in Tanzania na kama in anyway shape or form anaweza kuwa ni tatizo kwa Tanzania?
 
Namfahamu kama Mmiliki wa CHICKEN HUT (MLIMANI CITY) kuanzia mwaka 2008, katika mazungumzo yetu alikuwa akijifagilia kama yeye ana pesa na yupo karibu sana na familia ya kwanza Tanzania, akidai anajenga Beach Hotel Bagamoyo, Hotel/Restaurant nyingine pale Africana.

SIKUAMINI SANA KWANI NILIONA NI SOUND TU! Baada ya kufunguliwa kwa QUALITY CENTRE! YAMETIMIA! Ana Restaurant/Ukumbi wa Disco (Savannah) Maduka makubwa matatu achilia mbali JB BELMONT iliyopo BW. Mkapa Towers.

Ninachompendea yupo down to earth!
 
Mzee mwnakijiji siku hizi mapolisi ndio wanatoa permit na kila mwezi lazima wakachukue mishahara kwa wahusika mfano huko kwenye maviwanda kuna michina na wahindi wamejificha humo lakini cha kushangaza polisiccm wakiingia humo wanatoka wakiwa wanacheka Huku mifuko imetuna. Labda JB ni Kati ya watunisha mifuko ya polisiccm
 
Tusker Bariiiidi,

I think ndiye huyu tulikuwa tunampigia story; unafahamu JB inasimama badala ya nini?
 
Last edited by a moderator:

Mzee Mwanakijiji,

Mr Justus Baguma, a Ugandan entrepreneur in Tanzania, owns the JB Belmont, Savannah and some shops at Quality Centre and has also been elected the chairman of the Ugandan Community in Tanzania.

He is a self-proclaimed self made man and attributes his success to hard work... Whether "hard work" means "trouble for Tanzania" I don't know....
 
Last edited by a moderator:
Mzee mwnakijiji siku hizi mapolisi ndio wanatoa permit na kila mwezi lazima wakachukue mishahara kwa wahusika mfano huko kwenye maviwanda kuna michina na wahindi wamejificha humo lakini cha kushangaza polisiccm wakiingia humo wanatoka wakiwa wanacheka Huku mifuko imetuna. Labda JB ni Kati ya watunisha mifuko ya polisiccm

Naomba nitofautiane na wewe, huyu ni MWEKEZAJI!

Ametoa ajira lukuki kwa wa~Tanzania tofauti na hao Wafanyakazi wa kigeni WACHINA/WAHINDI/WAPAKISTAN etc. zaidi ya 10,000
wanaokaa na kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Wa-Tanzania!
 
Mr Justus Baguma, a Ugandan entrepreneur in Tanzania, owns the JB Belmont, Savannah and some shops at Quality Centre and has also been elected the chairman of the Ugandan Community in Tanzania.

He is a self-proclaimed self made man and attributes his success to hard work... Whether "hard work" means "trouble for Tanzania" I don't know....
CottonEyeJoe,

Kampala International University mmiliki ni nani? kuna Mdau aliniambia kuwa kuna Mkono wa Khadafi?
 
Last edited by a moderator:
Naomba nitofautiane na wewe, huyu ni MWEKEZAJI!

Ametoa ajira lukuki kwa wa~Tanzania tofauti na hao Wafanyakazi wa kigeni WACHINA/WAHINDI/WAPAKISTAN etc. zaidi ya 10,000 wanaokaa na kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Wa-Tanzania!

Tusker Bariiiidi kwahiyo unataka kutuhakikishia kwamba Justus Baguma anaishi na kufanya biashara nchini kihalali? Hafanyi magumashi kama wanavyofanya wengine?
 
Mkuu ndio maana nikasema labda kwasababu nilikuwa simjui kabisa mmiliki wa hiyo hotel na maduka ya JB
 
Tusker Bariiiidi kwahiyo unataka kutuhakikishia kwamba Justus Baguma anaishi na kufanya biashara nchini kihalali? Hafanyi magumashi kama wanavyofanya wengine?

Hapa nilikuwa namtofautisha JB na wale Wafanyakazi lukuki waliopo nchini kinyume cha sheria!

Kuhusu Magumashi sina uhakika ila ukiangalia kasi ya kumiliki Chain stores na ile hotel iliyokuwa Paradise... lazima kutakuwa na namna!
 
Last edited by a moderator:
Hapa nilikuwa namtofautisha JB na wale Wafanyakazi lukuki waliopo nchini kinyume cha sheria!

Kuhusu Magumashi sina uhakika ila ukiangalia kasi ya kumiliki Chain stores na ile hotel iliyokuwa Paradise... lazima kutakuwa na namna!
Tusker Bariiiidi,

Mfumuko wa biashara zake hapa mjini unakufanya umfikirie mara mbili tatu.

Huyu JB mimi ninamtazama kwa jicho la tahadhari.
 
Last edited by a moderator:
KIU is owned by Hassan Basajja Balaba a succesuful enterprenur in Uganda.

Hicho chuo kimejaa watumishi hasa wahadhiri waganda ambao professional qualification zao ni questionable.
Sielewi TCU waliwezaje kuwapa ithibati ya kufanya kazi ya kutoa elimu kwa kiwango cha degree bila kuangalia viwango vya elimu vya wahadhiri.

Pia kuna taarifa za wafanyakazi wazawa kubaguliwa na kunyanyaswa na hao waganda wa KIU.
 
Back
Top Bottom