Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,601
- 15,524
Mbona unakataa halafu unakubaliDhana ya Ukifa hauendi popote ni uongo kwasababu hakuta kuwa na 'wewe' wa kwenda popote. Kama ambavyo hakukuwa na 'wewe' kabla hujazaliwa..ndivo itakavokuwa utakapokufa.
Na hii ni kwasababu hakuna kitu kinaitwa 'wewe'
Kila kitu unachomaanisha usemapo 'mimi' hakipo.
Unasema kuwa dhana ya ukifa hauendi popote ni uongo, halafu tena maelezo yako yanaonesha unakubali kuwa ukifa hauendi popote, maana yake unapotea mazima