Reincarnation...nazidi kupata uhakika binadamu hatufi

Reincarnation...nazidi kupata uhakika binadamu hatufi

"Sema; Atakufisheni malaika wa mauti aliyewakilishwa kwenu, kisha kwa mola wenu mtarejeshwa."

Qu'ran 32:11
Hivi vidini vimetokea hata miaka 2000 haifiki, leo mnataka kufanya way of life kwa binadamu wote, kuna civilization thousands of years before Islam nazo zilikuja na vidini vyao ambavyo vimeshajifia vimebaki historia tuu, na dunia ipo billions of years tumekuja tunaiacha and nobody knows what’s next, tuishi tuu tunapita
 
Ukifa cha kwanza ni kuvuliwa nguo na kila ulichonacho kinatolewa iwe pete, mkufu, saa n.k so jiandae kwasababu unaenda bila chochote mkuu.
Sasa najiandaaje na kifo, mi sikuelewi
Najiaandaa nini, huu utaratibu wa kujiandaa na kifo ukoje. Yani sijui nakufa lini halafu unaniambia nijiandae. How? Napaswa kufanya nini kujiandaa na kifo?
 
Nikijaribu kumuuliza yeye asili yake ni wapi anasema ni Afganistan na hana ndugu wala jamaa Afrika.
Huyo rafiki yako alikuwa mwarabu? Kama si mwarabu alifanana naye vipi na mwarabu kutoka Afghanistan? Ulikuwa unaongea naye lugha gani kiasi cha kusema wamefanana hata Kwa kuongea?

Naomba majawabu mkuu.
 
Hivi vidini vimetokea hata miaka 2000 haifiki, leo mnataka kufanya way of life kwa binadamu wote, kuna civilization thousands of years before Islam nazo zilikuja na vidini vyao ambavyo vimeshajifia vimebaki historia tuu, na dunia ipo billions of years tumekuja tunaiacha and nobody knows what’s next, tuishi tuu tunapita
Dini ni utaratibu uliobuniwa kupunguza au kuharibu kabisa uwezo wa binadamu katika kufikiri.

Fikiria, kuna mtu ameaminishwa kuua asiyeamini sawa na yeye ni sawa na ni jambo la kupongezwa kwa imani yake.

Fikiria, kuna mtu yupo sehemu anauziwa maji yenye chumvi na udongo akiamini ndio vitakomboa maisha yake.
 
Sawa vipi kwenye contact ya matter na anti matter kila kitu kinakuwa destroyed na inachobaki ni photons tu
Nafikiri unaongelea annihilation, ile idea ya E = mc² , matter change to energy, sielewi sana deep physics 😁,lakini hata kwenye annihilation hakipotei kitu, kimsingi atom or particle inageuka kuwa energy, na energy haipotei inaendelea kuwepo in universe
 
Dini ni utaratibu uliobuniwa kupunguza au kuharibu kabisa uwezo wa binadamu katika kufikiri.

Fikiria, kuna mtu ameaminishwa kuua asiyeamini sawa na yeye ni sawa na ni jambo la kupongezwa kwa imani yake.

Fikiria, kuna mtu yupo sehemu anauziwa maji yenye chumvi na udongo akiamini ndio vitakomboa maisha yake.
Unaweza kuwa sahihi mkuu, mi sipo against na mambo ya imani nahisi hakuna kitu kilicho na nguvu kubwa kama imani, ila imani na dini zilipaswa kuleta upendo, umoja na mshikamano ila unapoona dini ndio inakuwa chanzo kikubwa cha vita, chuki na utengano unaanza kuwaza ni nini hasa faida ya dini na imani kwa sasa
 
Naam hili jambo nilikuwa nalichukulia poa...lakini baada ya kuamua kufuatilia kidogo naanza kupata uthibitisho pasi kuwa na shaka juu ya mzunguko wa maisha ya viumbe sisi bin adamu.

Kwa kifupi sana tafiti ni nyingi lakini......nilipata kuishi nyanda za juu kusini mwa Tanzania nikiwa kijana mdogo miaka mingi sana iliyopita.

Nilikuwa nina rafiki yangu Mbulushi...rafiki yangu huyu kwa bahati mbaya alifariki.

Siku ya siku sina hili wala lile nikiwa katika nchi ya mbali sana nikakutana na kijana mmoja amefanana na yule rafiki yangu kwa zaidi ya asilimia 90%...nikabaki namshangaa...kitu cha ajabu na yeye kama alikuwa ananishangaa...nikamuuliza ulishawahi kuishi.

Tanzania...akasema hapana hata Neno Tanzania ndio leo analisikia.
Ajabu zaidi anasisitiza kwamba ananifahamu lakini hakumbuki ni wapi tulisha wahi kuonana
Mahali ambapo nilipata mshituko niliona alama katika mkono wake wa kulia sawasawa na yule rafiki yangu,,,(alama hii naikumbuka kwa sababu alianguka na baiskeli akachanika na kushonwa katika hospitali ya Aga khan)....sasa huyu jamaa anasema hiyo alama amezaliwa nayo hivyohivyo.

Nikijaribu kumuuliza yeye asili yake ni wapi anasema ni Afganistan na hana ndugu wala jamaa Afrika.

Kwa kifupi sana 1.Sauti yake 2.Ongea yake 3.Namna anavyotembea ni yule marehemu kabisa kabisa.

Yule Marehemu leo angekuwa na miaka kama 70 hivi na huyu niliyekutana nae yuko kwenye miaka ya 30 katikati.
Kweli ndgu
 
Katika reincarnation je

Kuna mambo Kama old soul and young soul .

Hapa endapo umerudi dunia at the second time unakuwa old soul na ikiwa ni the first time unakuwa young soul .

Hii IPO hivi hasa pale unapoona MTU ana miaka mingi Ila uwezo wake wakufanya wa kudadaua🍂kwenye maisha ni mdogo .

Huyo anakuwa ni young soul.
 
Sasa najiandaaje na kifo, mi sikuelewi
Najiaandaa nini, huu utaratibu wa kujiandaa na kifo ukoje. Yani sijui nakufa lini halafu unaniambia nijiandae. How? Napaswa kufanya nini kujiandaa na kifo?
1st ujue kuwa umeletwa duniani kwa malengo gani, ukishayajua basi hayo ndio maandalizi yenyewe, ni rahisi tu Google tumeumbwa kwaajili gani?! utapata majibu, kila la kheri.
 
Back
Top Bottom