Rehema Mwakangale hayupo nasi

Poleni wafiwa hasa hasa familia yake, nawapa dedication ya Nyimbo ya Ma Dee- KAZI YAKE MOLA............
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape faraja na uvumilivu ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu kwao~AMEN
 
RIP Rehema.
Mungu awajalie uvumilivu katika kipindi hiki cha majonzi ndugu na marafiki wa Rehema.
Safari yetu sote ni moja.
 
RIP Rehema.Ulipendeza na kuwa rafiki wa wengi. Lakini Mungu amekupenda zaidi.
 
RIP.
This is the right way to everyone. She was still needed but who knows, her services required somewhere else.
Tuombe sala ya kwenda na kufika huko mapema.
 
Mwenyezi Mungu Mwingi wa Huruma, ampokee dada yetu na kumweka mahali pema ili apumzike kwa Amani. Amina.
 
Ali gwa mbombo! (alikuwa mtu wa kazi).
Mungu amlaze mahali pema.
 
RIP REHEMA. it is hard to believe
sisi tulimpenda lakini MUNGU anampenda zaidi jina lake litukuzwe
 
Sote tu njiani,tunasafiri.
Mungu ailaze ROHO YA MAREHEMU REHEMA MAHALI PEMA PEPONI
 
Pole wafiwa wote. Ni huzuni kukupoteza Rehema. Na siamini kama sintakuona tena katika luninga yangu!:(
 
Mwenyezi mungu akumrehemu. I extend my condolences to her family & friends
 
Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen
 
Back
Top Bottom