Rehema Mwakangale hayupo nasi

Rehema Mwakangale hayupo nasi

R.I.P dada Rehema nakukumbuka sana kwa ucheshi na tabasamu lako ukiwa kwenye majukumu yako ya kazi hadi mtaani
 
Duh nlikutanaga na rehema kwenye msiba wa baba yke mkubwa mzee mwakangale hpo mikocheni opp na jkt mlalakuwa

Ova
 
Duh nlikutanaga na rehema kwenye msiba wa baba yke mkubwa mzee mwakangale hpo mikocheni opp na jkt mlalakuwa

Ova
Wakati huo rehema kafariki ndio nilikuwa nashughulikia visa yangu yangu ya kuja Denmark bado teenager 19 years old.
 
Back
Top Bottom