Reginald Mengi Lawyers respond (video), goes to Court; sues Rostam Aziz

Katika Uchunguzi wangu wa Kina , nimegundua kuwa Tatizo sio Vodacom Hapa, Tatizo ni UKABILA NA UKANDA ndio unatusumbua kwasasa.

Wachaga walikuwa very influencial katika siasa za Tanzania, but they lost that stutus as the time was passing on. Ukiangalia utawala wa Mkapa uliwanufaisha sana wachaga. which has lost in kikwete leadership.On other hand kwa Kuangalia political Map Rostam Aziz ni influencial kwasabu alikuwa na good ties with the lake zone which politically always is a very big decider of Tanzania politics.

Ndio maana ukianza kutaja majina yote ya watu ambao wako associated na Rostam AZiz na vodacom wote wanatoka kanda ya ziwa., mpaka unakuta hata Lipumba hawezi kuongea against RA

Rostamu aziz ni mnyamwezi, ukiangalia Tabora, Mwanza na shinyanga mpaka msoma ukweli ni kwamba kuna waarabu wengi sana ambao ni wafanyabiashara maarufu katika maeneo yao and they have helped those communities for many years.

Why Rostam Aziz anakiburi? Rostam Has legitimate business for so long and if you look back at Mirambo Holdings is one of very reputable investment company in tanzania for so long. Kilichoenda kombo ni kwamba Rostam alikuwa ni njia tu ya kujusitify uchotaji wa fedha za CCM ,

why KIKWETE YUKO KIMYA,?

Since he druged RA in this shit hawezi kumsaliti, COST ya yeye kumsaliti is equal to the lose of political map. RA anafahamika Mwanza, Shinyanga, Tabora na msoma and he is very influencial there, calculation ni kura za NEC Mzee, na kanda ya ziwa ndio imempa JK ushindi.

MENGI

Tatizo la mengi ni kwamba he have been a big fish for so long , akiangalia mwelekeo wa biashara na political influence ilivyopotea kwa wachaga anaogopa.But he has legitimate claims panapo haribika ni kwamba waarabu wengi wenye ugomvi na mengi ni kutoka kanda ya ziwa, wanajiita wasukuma. so mengi he is in bettle to retain his powership/chaga but at the same time anasidia kupambana na ufisadi

mwisho tulipofika sasa.

JK Anaangalia his political future.
Wasukuma wameshikiria justice depertment
wasukuma,wanyamwezi hawawezi kumwachia RA afe maji
JK hawezi kuwatosa wasukuma
wachaga they see it is the time for them to gain their political influence
wasukuma wanawafunga mafisadi wachaga

NGOMA NZITO MZEE MWANAKIJIJI
 
Having made serious accustaions of Grand corruption this week, with publications that amount to criminal libel within the penal code of Tanzania if not true, it is worth noting, that Mengi has yet to publish any evidence of his accusations as required under the law.:confused:

In yesterdays Guardian newspaper, speaking for Mengi his lawyers state of Rostam, that,

'......Rostam fell short of responding convincingly to the charges, only making sweeping defamatory statements against the IPP Executive Chairman. Instead of defending himself, he retaliated by referring to Mengi as to ``corruption whale``.

What is absent in this issue is an apparant understanding of the law by Mengi or his lawyers. When you accuse some one of Grand Corruption, you are, if you have no evidence of truth, defaming that person.

Under the laws of defamation, it is for the accuser to prove the allegations not for the accused to deny them. Under defamation law, the burden of proof is on the accuser.

I think all engaged in the heated debate might do well to appreciate who actually started this recent Kalali and whether or not any attempt has been made to comply with the law and publish evidence of truth!!!:rolleyes:
 
When you accuse some one of Grand Corruption, you are, if you have no evidence of truth, defaming that person.

Rightly so

Under the laws of defamation, it is for the accuser to prove the allegations not for the accused to deny them. Under defamation law, the burden of proof is on the accuser.

Right again, but then who the hell is the accuser and the accused. I had no idea somebody had been taken to court for defamation. Could you be kind enough to provide more details on the case like who is the accuser - the defamer or the defamed - thanx.
 
You're quite right. So far Mengi has done nothing to substantiate the allegations he made during his Press Conference. It worries me if Mengi had any clear vision or concrete evidence on that material day. Any further delay of submission of the evidence may deteriorate his image and credibility to the public. I still give him a benefit of doubt and hoping he may hand over the much waited evidence to the law enforcing authorities.

I think his claims against 5 businessmen carry much more weight rather than replying the Rostam Aziz's Press Conference. If he fails to validate his claims, then Mengi will be unscrupulous.
 
Respedctfully for me, the allegations weigh nothing until proven. Allegations of corruption are easy, particularly if you own your own media to make them.

There are deeper issues here however, you cannot engage in academic debate on the basis of personal preference or opinion. Has Mengi got the evidence to support his claims or not? If not, he commits criminal libel vis-a-vis the penal code and that carries a prison sentance of up to seven years.

I am not sure how good it is for Tanzania, for powerful men such as Mengi, to use their Media for personal gain and lets be honest we all know the score here.

IPP Media appears to be the Mengi appreciation society gazette and not a serious 'NEWS' paper.
 
..It worries me if Mengi had any clear vision or concrete evidence on that material day. Any further delay of submission of the evidence may deteriorate his image and credibility to the public. .

I still don't get it; where should he submit this evidence and why should he submit this evidence there?
 
Why are you people lifting your eyes to Mengi and Rostam and just watch the game as good spectators?

I thought it is for us to read between the move and see who is playing on our side.

Mengi have not at any point in time accused RA for stealing his personal belongings. He have only alleged him (RA) for stealing from all of Tanzanian. If this is the case, I thought RA was to establish a proof that he have not unlawfully or corruptibly taken any pen from our treasure.

Discussants in this forum who sees it a must to defend RA should speak outright by identifying themselves that they are slaves of RA and not divert the direction of the discussion. We want realists. If you decide for devil just go there and show yourself as devlish. And to those who decides for cleanliness and rightiousness should do it confidently.

Yaaaaaah.
 
KUKOPA THEN UKALIPA UNAKUWA MZALENDO BUT UNAKOPA THEN UNAPOTEZA USHAHIDI KUKWEPA KULIP NA KUIPA SEREKALI MZIGO WA MADENI HUO NI UZALENDO AU?NAKUSHANGAA UNASHANGILIA MISAADA YA MENGI HUONI KUWA 28bn ZA NBC TANGU ATOWE MISAADA HAZIJAFIKA HATA 10% YA FEDHA ALIZOWADHULUMU WATANZANIA?AU MZEE WEWE UKIBIWA MBUZI APEWA ZAWADI YA KIFARANGA CHA KUKU UNARIDHIKA?

Kama Mengi ameharibu ushahidi wa mkopo wake Bank, je wale waliomkopesha nao hawana ushahidi wa kuthibitisha mkopo wa Mengi?
 
waheshmiwa wote ninadhani wazima,mimi nimekua nikisoma sana Jamii Forum,lakini sasa hivi inabidi nijiunge kuchangia...
1. Watanzania hawana uzalendo kabisa compare na jirani zetu Kenya au Uganda hawezi kuacha mwafrika mwenzao achezewe hivi na watu ambao this is second home to them. Mengi hana sehemu nyingine ya kwenda, kila siku anaona watanzania enzake wanavyoteseka na ndiyo maana amekua kinara kutoa misaada kwa watanzania wenye uwezo mdogo.

2. Hawa akina Rostam Aziz lini walishatoa msaada kwa wantazania wenzao, makumbuka Miss Tanzania 2007 alikuwa mhindi kutokana nainfulence ya Tanil,this guys they dont care less about Tanzania neither wananchi wa Tanzania.

3. Mzee wetu Mengi kakopa benki, mafisadi papa wameiba hela zetu lazima tutofautishe jamani,hawa jamaa wasibadilishe agenda.. kama wanataka tuongelee mikopo ya benki watanzania watawachoma moto... lets stick to main topic sababu kukopa ni haki na ndiyo endelevu for successfull businessman

RACISM!!!...... disappointing!...

now color, wats next? umetokea wapi Tanzania?? disappointing!!! sumu ilioje!!!
 
ah haya
usijesema hukuambiwa. unajua ukimkosa huyo penalt yake unakuwa banned mwaka mzima hivyo jaribu bahati yako shekhe ila usiseme oooh sikuambiwa.

haya turudi kwenye ishu mkuu maana naona tunachepuka nje ya mstari wa dhumuni la thread hii now
 
Having made serious accustaions of Grand corruption this week, with publications that amount to criminal libel within the penal code of Tanzania if not true, it is worth noting, that Mengi has yet to publish any evidence of his accusations as required under the law.:confused:

In yesterdays Guardian newspaper, speaking for Mengi his lawyers state of Rostam, that,

'......Rostam fell short of responding convincingly to the charges, only making sweeping defamatory statements against the IPP Executive Chairman. Instead of defending himself, he retaliated by referring to Mengi as to ``corruption whale``.

What is absent in this issue is an apparant understanding of the law by Mengi or his lawyers. When you accuse some one of Grand Corruption, you are, if you have no evidence of truth, defaming that person.

Under the laws of defamation, it is for the accuser to prove the allegations not for the accused to deny them. Under defamation law, the burden of proof is on the accuser.

I think all engaged in the heated debate might do well to appreciate who actually started this recent Kalali and whether or not any attempt has been made to comply with the law and publish evidence of truth!!!:rolleyes:

Welcome Ragamaffin!!!!!

Soooooorry dady/mom/brother/sister. Awali ya yote umejiandikisha May 2009 after RA and RM saga!!!! !!!!! Here we talk openly, yes, but to what extent JF will accept hatred threads???? Kama ni ushahidi wa miaka ya 47 RA had submitted them to TAKUKURU yesterday!!!! And it is obvious that RA anatapatapa sasa na ni lazima atume watu wake hapa JF ili kuja kuharibu hali ya hewa!!!!! Asure us that you not among them (the vibarakas)????!!!! At any level RM remains our hero!!!!! RM ana uchungu na nchi hiii, ni mzalendo!!!!! RM hana uraia wa nchi tatu, RA anao!!!! Je RA ni mzalendo????? Angekuwa mzalendo angekuwa na huruma na mali asili na rasilimali zetu. RA hana uzalendo na mzalendo wa TZ hasa maskini, angetamani tufe wote ili afaidi, hiyo ni phylosophy ya Mafia people!!!!! Kwanza ana damu ya babu zake waliokuwa wanatuuza utumwani, he need to be cleansed!!!!!! In short ukianza kumchambua RA with facts ni mchafu na ingekuwa nchi nyingine angeshafukuzwa tena kwa kusindikizwa na vyombo vya usalama kabisa na atangazwe duniani kote kuwa yeye na kizazi chake cha kwanza hadi cha nne kisiguse Tanzania.

Again, Welcome!!!!
 
kesho....

Watu wameshindwa kuona kwa haraka kuwa Rostam kwa kuzungumza kwake amethibitisha ufisadi wake.

Hivi mmejiuliza aliposimama kuhoji bilioni 28 za kusaidia "maskini wa Tanzania".. hamkujiuliza yeye kama Mbunge lini alisimama Bungeni (jukwaa lake halali) kuhoji matumizi ya serikali, wizi wa fedha za umma, au upotevu wa mabilioni kwa kutumia Kagoda?. Yaani leo, watu wanakubali kuwa RA anatetea maskini wa Tanzania wakati hata mara moja akiwa Bungeni au nje ya hapo hajawahi kuhoji upotevu wa mabilioni ya fedha za Watanzania.. ?

Hivi kweli watu wanaamini bilioni 28 (mkopo plus riba) ndiyo vinamuuma sana kwamba vingeweza kujenga madarasa 100!!!

Kha! aidha tumepigwa ganzi au tumelishwa limbwata la ufisadi!

Hapa, Mkuu uliyepigwa ganzi ni wewe. Hivi katika hilo bunge ni Rostam peke yake ambaye anakuwa kimya wakati hayo maswala yanazungumziwa? Hivi kweli hauoni uzito wa mtu kutokulipa bilioni 28 ambazo anadaiwa? Hauamini kweli kuwa hizi pesa zingelipwa na mdaiwa zingeweza kuwasaidia wananchi wa kawaida kama zingetumiwa ipasavyo? Au, Mkuu, hauoni yote hayo kwa vile ni Rostam aliyeuliza?

Unakuwa kipofu kwa shutuma za Rostam kuwa Mengi alipewa kiwanja (wakati hakuna sera ya kugawa viwanja), akakiuza kwa hao hao ambao leo tunawashutumu kuwa mafisadi! Huu, kama ni kweli, si unafik wa hali ya juu! Lakini, hapana, kwa vile kazungumza msiyempenda na shutuma zinaelekezwa kwa mnaempenda, basi, mnazidharau.

Unadai kuwa kwa kuzungumza kwake amedhiirisha ufisadi wake. How? Kwa sababu amedai kuwa hayo madeni ambayo Mengi alikuwa hajalipa kwa muda mrefu yangemsaidia masikini wa kitanzania?

Mengi mpaka sasa hivi hajamuunganisha Rostam na chochote kile kinachoweza kuitwa ufisadi. Hajasema, Rostam wewe ni mkurugenzi/ mwenye Kagoda na ulichukua kiasi kadha wa kadha kutoka EPA na kuweka kwenye akaunti yako iliyoko mahali fulani.Angefanya hivyo, hata mimi ningemuona shujaa. Badala yake, anamtumia wakili wa kampuni yake, kuuliza maswali ya kitoto! Na sisi kwa vile tumepigwa hiyo ganzi tunapiga makofi!

Hapana, Mkuu. Kwenye hili uliyepigwa ganzi ni wewe.

Amandla.........
 
Hata hivyo Mengi kupitia mwanasheria wake aitwaye Nguma alimtaka Rostam kujibu maswali manne, la kwanza, likiwa la kutaka kujua anafanya biashara gani nchini na ataje biashara hizo anazoziendesha na pia kama kampuni zake zimesajiliwa BRELA kwa kutumia jina lake.

Pia alimtaka aeleze kama zinalipa kodi, na kuhusu kuwa hana uhusiano na Kagoda aeleze alikuwa akienda benki kujadiliana juu ya akaunti ya Kagoda alikuwa akifanya hivyo kama nani.

Kuhusu Dowans aeleze mipango ya benki kuipatia Dowans fedha za mkopo aliokuwa na aliushughulikia kama nani, na uhusiano na Richmond anawafahamu vipi wahusika wake.

a)Ndugu Mengi badala ya kusimama na kujibu hizo shutuma mwenyewe ametumia surrogates. Mtu unaweza kuhisi kuwa amefanya hivi ili aweze kuji-distance baadae kutokana na hayo yatakayosemwa. Kwa nini hakufanya kama alivyofanya aliyemshutumu ili kama kuna fall out yeyote kutokana na haya imkute yeye na si hao aliowatuma?

b) Ndugu Mengi anauliza maswali ya kitoto.

i)Badala ya kusema, tarehe fulani fulani Mheshimiwa Rostam ulikutana na afisa fulani wa benki mahali fulani ambapo mkakubaliana kuhusu mkopo kwa kampuni ya Dowans ambao ulithibitishwa na barua ref: namba fulani fulani na ulilipwa kwa mafungu kdha wa kadha kwenye akaunti kadha wa kadha. Badala yake anauliza generalities.

ii) Badala ya kutuambia kuwa hiyo kampuni ya Caspian unayojivunia, mbona fulani na fulani ndio walioorodheshwa kama wakurugenzi na wewe haumo? Mbona hiyo kampuni inadaiwa na TRA kiasi cha shilingi kadhaa kama malimbikizo ya kodi? Yeye anataka Rostam ndiyo ataje makampuni hayo? Ili iwaje? Kama anayajua, si angeyataja tu ili tuone kama Rostam atakuwa na jibu?

iii) Kama Mengi anajua kuwa Rostam alikuwa anaenda benki kujadili kuhusu Kagoda, kwa nini asiseme tu kuwa tarehe fulani na fulani ulienda benki ukakutana na fulani mkajadili masuala ya Kagoda! Anaogopa nini?

iv) Kama Mengi anajua kuhusu uhusiano wa Rostam na wamiliki wa Richmonds kwa nini asiuweke wazi? Hayo maswali ya polisi ya nini?

Rostam angalau aliweka shutuma zake wazi badala ya kuzunguka zunguka. Nyingine Mengi ameweza kuzijibu na nyingine amekaa kimya. Nyingine, majibu yake yamezua maswali zaidi. Lakini hivi ndivyo ilivyotakiwa. Sio huku kuja na platitudes.

Amandla.........
 
1.
Fundi Mchundo;

Hapa, Mkuu uliyepigwa ganzi ni wewe. Hivi katika hilo bunge ni Rostam peke yake ambaye anakuwa kimya wakati hayo maswala yanazungumziwa?

- Sio viongozi wote wanaoshutumiwa kwa ufisadi, kwa hiyo huwezi changanya viongozi wote na kunyamaza kimyaa hii ni ishu ya Rostam.

2.
Hivi kweli hauoni uzito wa mtu kutokulipa bilioni 28 ambazo anadaiwa? Hauamini kweli kuwa hizi pesa zingelipwa na mdaiwa zingeweza kuwasaidia wananchi wa kawaida kama zingetumiwa ipasavyo? Au, Mkuu, hauoni yote hayo kwa vile ni Rostam aliyeuliza?
- Kudaiwa deni sio ufisadi, Tanzania tunadaiwa madeni mangapi sasa ina maana taifa letu ni la kifisadi? Hapa laumu system yetu mbovu isiyokuwa na Insurance cover kwa mtu kukopeshwa hela zote hizo, that is Banana Republic, na kama Mengi kwa kudaiwa hela zote hizo amevunja sheria, kwa nini msiende kumshitaki, huwi fisadi kwa kudaiwa otherwise wote tunaodaiwa popote pale tunakuwa mafisadi, is that so?

3.
Unakuwa kipofu kwa shutuma za Rostam kuwa Mengi alipewa kiwanja (wakati hakuna sera ya kugawa viwanja), akakiuza kwa hao hao ambao leo tunawashutumu kuwa mafisadi! Huu, kama ni kweli, si unafik wa hali ya juu! Lakini, hapana, kwa vile kazungumza msiyempenda na shutuma zinaelekezwa kwa mnaempenda, basi, mnazidharau.
- Tujifunze kutenganisha ishus, unafiki sio ufisadi na kama ni ufisadi basi hili ni taifa la mafisadi maana sisi wabongo wote ni wanafiki, siwezi kujenga nyumba Uhindini sasa hiyo inanifanya niwe fisadi?

4.
Unadai kuwa kwa kuzungumza kwake amedhiirisha ufisadi wake. How? Kwa sababu amedai kuwa hayo madeni ambayo Mengi alikuwa hajalipa kwa muda mrefu yangemsaidia masikini wa kitanzania?
- Amedhihirisha ufisadi wake kwa kushindwa kutaja angalau jina la kampuni moja tu inayomilikiwa na familia yake, ambako anaajiri wananchi 6000, halafu alipokwenda Takukuru amedai wasimamishe malumbano yote mpaka uchunguzi utakapoisha, akidai sheria ya Section 37 PCCB Act itumike kumnyamazisha Mengi, Rostma anaogopa nini na yeye sio fisadi?

5.
Mengi mpaka sasa hivi hajamuunganisha Rostam na chochote kile kinachoweza kuitwa ufisadi. Hajasema, Rostam wewe ni mkurugenzi/ mwenye Kagoda na ulichukua kiasi kadha wa kadha kutoka EPA na kuweka kwenye akaunti yako iliyoko mahali fulani.Angefanya hivyo, hata mimi ningemuona shujaa. Badala yake, anamtumia wakili wa kampuni yake, kuuliza maswali ya kitoto! Na sisi kwa vile tumepigwa hiyo ganzi tunapiga makofi!

Hapana, Mkuu. Kwenye hili uliyepigwa ganzi ni wewe.

Amandla.........

- Huu ni mtizamo wako tu mkuu, Kamati ya Mwakyembe ilitoa ukweli kwamba Rostam alikwepa kwenda kule kujibu maswali ya Dowans na Kagoda, na EPA sasa Mengi hana sababu ya kurudia haya ambayo tayari yapo kisheria inasubiriwa siku tu ya kesi.

- Wale mawakili wa Mengi, walikuwa ndio kwanza wametoka kufungua kesi dhidi ya Rostam, kwa hiyo kumsemea kwao Mengi ina maana moja tu kwamba sasa hii ishu iko mikononi mwa sheria sio majukwaa tena, kuelewa haya kwangu sio kupigwa ganzi mkuu ila sheria haiwezi kuchaganywa na majukwaa.

Mungu Aibariki Tanzania.

FMES!

Armed with a loaded briefcase of documentary evidence, Nguma and private advocate Michael Ngalo also sought to dismiss various allegations made by Rostam against the IPP Ltd chief over the weekend. Dealing with the allegations made by the Igunga MP blow-by-blow,

1. Ngalo produced documents to show that Independent Television Limited, Body-Care Limited, Bonite Bottlers Limited, and Anche Mwendu Limited had all repaid their Commodity Import Support (CIS) debts by last year.

2. ''Neither Reginald Mengi nor any of the companies which he owns have an outstanding CIS debt. All CIS debts have been repaid,'' Ngalo declared.

3. According to the documentary evidence availed by the legal counsel, Bonite Bottlers was allocated a 160m/- CIS loan in 1991/92, but utilized only 159.7m/- and repaid over 396.5m/- between October 16, 1992 and April 15, 1994. Several cheques were paid in between the two.

4. As for ITV and Body-Care, documentary evidence shows that the two companies had an outstanding CIS debt of 852,554,975/- by February last year, which was settled through cheque number 166599202400 issued by IPP Limited from its Standard Chartered Bank account.

5. A letter to the Ministry of Finance, dated February 6 last year and signed by Nguma on behalf of Mengi, reads in its final paragraph: ''Please confirm in writing that there is no liability outstanding in respect of CIS for Body-Care Limited and ITV - Independent Television Limited.''

6. And a reply letter dated February 14 last year and signed by finance ministry senior official Ms M.N. Ngingite, with reference number TYC/E/450/11/05, states: ''We would like to take this opportunity to acknowledge with thanks receipt of bank pay-in slip amounting to 852,554,972/45 with NMB Bank House branch, dated February 6, 2008.''

7 ''We hereby confirm to you that you have been cleared of all your outstanding balances emanating from utilization of Commodity Import Support facility by your two companies,'' the ministry's letter continued.

8. Responding to Rostam's allegations that Anche Mwendu defaulted on a 5bn/- debt obtained from National Bank of Commerce Limited, Ngalo said the bank only provided a letter of guarantee facility to enable the company to import a flask manufacturing plant from an Indian firm, JG Vaccum Flasks Limited.

'9. 'The Indian company supplied Anche Mwendu with a different plant - not that used for manufacturing flasks as required. NBC demanded repayment of the debt, but no cash was ever paid, so we went to court where a judge dismissed the case,'' Ngalo said.

10. He said High Court judge Thomas Mihayo's 1993 verdict dismissing NBC's loan demand to Anche Mwendu for failing to prove that the money was actually paid out, had never been overturned and thus remains valid.

11. Ngalo was also dismissive of allegations that, as one of the major shareholders of National Investment Company (NICO), Mengi unduly influenced the board of directors to invest in a non-viable company, Interchem Pharma Limited, which is owned by his brother.

- The advocate said Mengi, who was chairman of NICO's investment committee, was never involved in this decision taken by the board of directors, and that when he later became aware of it, he resigned from his position.

- A letter dated August 7, 2007, signed by Mengi himself and addressed to NICO Board chairman Felix Mosha, states point-blank his reasons for resigning as being the fact that NICO had decided to invest in Interchem Pharma Limited.

- ''This investment was not recommended by the investment committee, because the proposal thereof was not submitted to the committee as it was required. In other words, it was approved by the board without the recommendation of the investment committee, of which I am the chairman,'' Mengi wrote in the letter, also produced at yesterday's news conference.

a)Ndugu Mengi badala ya kusimama na kujibu hizo shutuma mwenyewe ametumia surrogates. Mtu unaweza kuhisi kuwa amefanya hivi ili aweze kuji-distance baadae kutokana na hayo yatakayosemwa. Kwa nini hakufanya kama alivyofanya aliyemshutumu ili kama kuna fall out yeyote kutokana na haya imkute yeye na si hao aliowatuma?

b) Ndugu Mengi anauliza maswali ya kitoto.

i)Badala ya kusema, tarehe fulani fulani Mheshimiwa Rostam ulikutana na afisa fulani wa benki mahali fulani ambapo mkakubaliana kuhusu mkopo kwa kampuni ya Dowans ambao ulithibitishwa na barua ref: namba fulani fulani na ulilipwa kwa mafungu kdha wa kadha kwenye akaunti kadha wa kadha. Badala yake anauliza generalities.

ii) Badala ya kutuambia kuwa hiyo kampuni ya Caspian unayojivunia, mbona fulani na fulani ndio walioorodheshwa kama wakurugenzi na wewe haumo? Mbona hiyo kampuni inadaiwa na TRA kiasi cha shilingi kadhaa kama malimbikizo ya kodi? Yeye anataka Rostam ndiyo ataje makampuni hayo? Ili iwaje? Kama anayajua, si angeyataja tu ili tuone kama Rostam atakuwa na jibu?

iii) Kama Mengi anajua kuwa Rostam alikuwa anaenda benki kujadili kuhusu Kagoda, kwa nini asiseme tu kuwa tarehe fulani na fulani ulienda benki ukakutana na fulani mkajadili masuala ya Kagoda! Anaogopa nini?

iv) Kama Mengi anajua kuhusu uhusiano wa Rostam na wamiliki wa Richmonds kwa nini asiuweke wazi? Hayo maswali ya polisi ya nini?

Rostam angalau aliweka shutuma zake wazi badala ya kuzunguka zunguka. Nyingine Mengi ameweza kuzijibu na nyingine amekaa kimya. Nyingine, majibu yake yamezua maswali zaidi. Lakini hivi ndivyo ilivyotakiwa. Sio huku kuja na platitudes.

Amandla.........

- JF kwa ma-professor, bwana eti ushahidi wa Mengi kule juu ni wa kitoto, that is wasup!

FMES!
 
Mkuu Fundi Mchundo angalia hapa hawa wanasheria wa Mengi mi binafsi waliacha hoi wanapo jibu hoja kwa swali badala ya hoja kujibiwa kwa hoja.
Angalia hapa...
View attachment 4504
 
Sio viongozi wote wanaoshutumiwa kwa ufisadi, kwa hiyo huwezi changanya viongozi wote na kunyamaza kimyaa hii ni ishu ya Rostam.

Ala. Kumbe ni wale tu ambao wameshutumiwa kwa ufisadi ndiyo tunategemea wazungumze kukemea ufisadi! Kama sivyo, basi kwa nini mumpige mawe Rostam peke yake kwa kukaa kimya ambapo hata hao viongozi safi nao wanaka kimya?

- Kudaiwa deni sio ufisadi, Tanzania tunadaiwa madeni mangapi sasa ina maana taifa letu ni la kifisadi? Hapa laumu system yetu mbovu isiyokuwa na Insurance cover kwa mtu kukopeshwa hela zote hizo, that is Banana Republic, na kama Mengi kwa kudaiwa hela zote hizo amevunja sheria, kwa nini msiende kumshitaki, huwi fisadi kwa kudaiwa otherwise wote tunaodaiwa popote pale tunakuwa mafisadi, is that so?

Hapa ndipo mnapochanganya mambo. Hakuna mtu anayedai kuwa kudaiwa deni ni ufisadi. Ufisadi ni kukaa bila kulipa deni katika wakati muafaka. Kwa kufanya hivyo unapunguza mzunguko wa pesa. Swala si kuwa Mengi amelipa deni. Swala ni alipaswa kulipa lini na amelipa lini! Kama unadaiwa, haulipi unachotakiwa kulipa na anaekudai anapata kigugumizi kukuchukulia hatua ( wakati kila kukicha walala hoi wanauziwa vibanda vyao walivyoweka kama collateral), basi tutakutia katika kundi la mafisadi!

- Tujifunze kutenganisha ishus, unafiki sio ufisadi na kama ni ufisadi basi hili ni taifa la mafisadi maana sisi wabongo wote ni wanafiki, siwezi kujenga nyumba Uhindini sasa hiyo inanifanya niwe fisadi?

Unafik ni ufisadi. Wabongo wengi ni wanafik kwa sababu leo tunawalaumu wahindi kwa kukaa mjini wakati ni sisi wenyewe tuliowauzia nyumba ambazo tulipewa baada ya wao kunyang'anywa! Kwenye hii ishu ya Mengi ni kuwa alipewa kwa upendeleo hicho kiwanja. Hatujui bei aliyopewa. Lakini badala ya yeye kutimiza kile alichodai kuwa kinamtia uchungu ( upungufu wa watu weusi katikati ya mji na kuwalaumu wahindi kwa hilo) akageuka akawauzia wahindi wale wale. Kama kweli alitaka watu weusi wawepo pale kwa nini hakumuuzia mtu mweusi mwenzake? Au aliposhindwa kukiendeleza, kwa nini hakukirudisha serikalini ili apewe mtu mweusi mwingine?

- Amedhihirisha ufisadi wake kwa kushindwa kutaja angalau jina la kampuni moja tu inayomilikiwa na familia yake, ambako anaajiri wananchi 6000, halafu alipokwenda Takukuru amedai wasimamishe malumbano yote mpaka uchunguzi utakapoisha, akidai sheria ya Section 37 PCCB Act itumike kumnyamazisha Mengi, Rostma anaogopa nini na yeye sio fisadi?

Ufisadi sasa umekuwa kutokutaja kampuni anayomiliki? Au ufisadi umekuwa ni kutoajiri watu 6000? Kila mtu anajua kuwa kampuni ya Caspian ni ya wakina Rostam. Badala ya kumsubiri yeye ataje kwa nini nyie mnaembishia msionyeshe uongo wa maneno yake kwa aidha, kuonyesha kuwa Caspian hahusiki nayo, b) haajiri watu 6000. Na je akija akikuonyesha mashamba yake ambayo ameinvest yanayoajiri takriban watu hao?

Haya sasa. Haya ya Takukuru yanahusika nini na ufisadi wake? Shutuma zipo tayari kwenye public arena, hao Takukuru watazuia nini? Ila kama sheria inazuia kuzungumzia jambo lililo chini ya uchunguzi, ni haki yake kudai itumike. Wa kulaumiwa hapa ni walioitunga sheria na si Rostam. Ni haki ya Rostam kuogopa kuwa kuzungumzia hayo masuala aliyoomba yachunguzwe kunaweza ku-prejudice wale wanaotakiwa kutoa hukumu. Na ni haki ya Takukuru kumkatalia kama wanaona maombi yake hayana msingi. Lakini kote huku hakumfanyi Rostam kuwa fisadi.

- Huu ni mtizamo wako tu mkuu, Kamati ya Mwakyembe ilitoa ukweli kwamba Rostam alikwepa kwenda kule kujibu maswali ya Dowans na Kagoda, na EPA sasa Mengi hana sababu ya kurudia haya ambayo tayari yapo kisheria inasubiriwa siku tu ya kesi.

- Wale mawakili wa Mengi, walikuwa ndio kwanza wametoka kufungua kesi dhidi ya Rostam, kwa hiyo kumsemea kwao Mengi ina maana moja tu kwamba sasa hii ishu iko mikononi mwa sheria sio majukwaa tena, kuelewa haya kwangu sio kupigwa ganzi mkuu ila sheria haiwezi kuchaganywa na majukwaa.

Mungu Aibariki Tanzania.

FMES!

Naam. Ni mtazamo wangu. Kamati ya Mwakyembe haikusema kuwa Rostam alikwepa bali alitoa udhuru kwa siku aliyotakiwa kwenda. hakuna kilichowazuia kumuita siku nyingine.

Hapa ndipo unaponikatisha tamaa. Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa sababu tu iliyomzuia Mengi kusema ni kwa sababu ameshafungua kesi dhidi ya Rostam kuhusu ufisadi wake! Kesi gani hiyo?

Hapana, Mkuu. bado mmepigwa ganzi.

Amandla........

Back
Top Bottom