Reginald Mengi Lawyers respond (video), goes to Court; sues Rostam Aziz

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Wakuu,

Natambua kuna mjadala unaendelea, ningependa kuwafikishia ujumbe kwa njia ya video wa majibu ya Mhe. Mengi kwa Mhe. Rostam.




Videos hizo zinapatikana hapa:





Na ni hizi zifuatazo:








Nawatakia mjadala mwema.

Baadae hzi zitaunganishwa...
 
Na ili kuweza kusikiliza maswali ya waandishi na majibu ya Mhe. Rostam, nashauri angalia video namba 3 moja kwa moja.

Ahsanteni
 
wajua nilishtuka nilidhani Mengi amerespond tena yeye mwenyewe!!!....

kumbe ni wale wanasheria wake waliokuwa extremely nervous jana as if hawana experience!... although mmoja alijifanya jabbari!!!
 
wajua nilishtuka nilidhani Mengi amerespond tena yeye mwenyewe!!!....

kumbe ni wale wanasheria wake waliokuwa extremely nervous jana as if hawana experience!... although mmoja alijifanya jabbari!!!

Swala hapa ni majibu sawia, siyo kasa alilo lishwa Fisadi Papa Rostamu Azizi anakuja na document za mwaka 47 eti Mengi anadaiwa what a shame?,

Ila wabongo bwana, hawaja mkawiza kumuingiza town, waliona jamaa anakuja na mihera ya wizi eti anasaka tuhuma za Mengi kummaliza, wakazilamba na kummaliza mwenyewe Kiaina!
 
halafu hizi video nilidhani zimetoka kwenye source nyengine, kumbe zile zile za ITV!!!
biased videos!!!.... not showing the audience reaction much!.... you know those facial reactions??? i like them and they are missing!...
 
Ila wabongo bwana, hawaja mkawiza kumuingiza town, waliona jamaa anakuja na mihera ya wizi eti anasaka tuhuma za Mengi kummaliza, wakazilamba na kummaliza mwenyewe Kiaina!

Huu ni ushabiki au UNAZI kiana.
 
The court of public opinion...i soo wish we had this back in 2000, 2005... lets thank the internet and the age of information.
 
unajua ukitazama response ya bwana mengi pamoja na wale wanasheria kuwa nervous, amejibu tuhuma zote very clear akiwa na ushahidi...sasa rostam alichofanya badala ya kujibu hoja alianza kumshtumu mengi, not very clever...kitu ambacho amejiharibia nazani, yeye kila kitu anapinga tu bila ushahidi...hata yule mwanasheria aliyemtumia kwenye kagoda kamkana hata kumjua na kumsikia...shame Rostam....
 
Nadhani tunakoelekea kama Taifa ni kuzuri, wasidhani ni ile miaka ya nyuma wanaiba na hawapati misukosuko. Sasa watakuwa na kauoga fulani hata kama watataka kuihujumu nchi. Acha waumbuane na watajane tutawajua wengi wanaotuharibia mustakabali wa nchi yetu na wayafanyayo gizani.
 
The court of public opinion...i soo wish we had this back in 2000, 2005... lets thank the internet and the age of information.

"Drumming the Scandal" is a very old form of hearing....huenda ikawa more effective kuliko kuwapeleka watuhumiwa mahakamani...
Jamii itaamua...
 
Huu ni ushabiki au UNAZI kiana.

Vyovyote vile, ukweli ni kwamba watoto wa mjini wamemlisha kasa Fisadi Papa Rostam Aziz baada ya kuchukua chao!

Sasa sijui itabidi aibukeje? kwamba samahani nilichukua nyaraka za zamani ama? Uso ulisha mporomoka ghafla
 
Invisible nakufagilia sana, nipo Oslo Norway nahangaika na shule.

Nimepata majibu ya Mengi.

Basi mimi nawasihi achaneni na wezi hao, wote ni wezi
 
Na ili kuweza kusikiliza maswali ya waandishi na majibu ya Mhe. Rostam, nashauri angalia video namba 4 moja kwa moja.

Ahsanteni

Mkuu thanks sana, sasa kweli hii vita imeshika kasi na huku ndiko kumuanika mwali. Ila maswali mengi yapo video namba 3.
 
Rostam Aziz wants some cash

SECTION: POLITICS & POWER

LENGTH: 270 words

The MP for Igunga and former treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz, has become something of a headache for some of the government party's heavyweights. The latter are concerned that he may be selling off some of his stakes in certain major companies in order to find the ready cash that he could use to fund the campaigns of his own political clique in the general election at the end of 2010. Rostam Aziz had initially intended to obtain a $20 million loan from a foreign bank in Tanzania, jointly with Peter Noni, the former director of banking supervision of the Bank of Tanzania. They would have used their stakes in Vodacom Tanzania Ltd as security - Aziz owns 19% via Caspian Construction Ltd and Noni 16% via Planetel Communications Ltd. But this would not have met with the approval of the Tanzanian authorities, as it could have led to a foreign bank owning over 35% of a company listed on the Dar es Salaam Stock Exchange, which is prohibited in Tanzanian law. In the meantime, another of Aziz's companies, Mirambo Ltd, snapped up Caspian's 19% and Planetel's 16% and so owns 35% of Vodacom. The upshot is that some CCM members now take a distinctly suspicious view of Aziz.

In February 2008, a report by an investigating committee suspected him of being involved in the firm Dowans Holdings which has a controversial gas-fired 35 MW power station project. This is the same committee that had pushed Prime Minister Edward Lowassa to resign. Aziz did not explain himself before Parliament, but the committee did reveal that certain executives of the firm Caspian Construction also worked for Dowans.
 
Invisible nakufagilia sana, nipo Oslo Norway nahangaika na shule.

Nimepata majibu ya Mengi.

Basi mimi nawasihi achaneni na wezi hao, wote ni wezi

Nani kakuuliza uko wapi na unafanya nini?
Yawezekana uko barabara ya nyerere!
 
Back
Top Bottom