Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

na tabasamu lake lile

Natamani kuona picha ya huyu mama kwenye ujana wake. Najiuliza kama yuko hivi kwa umri wake, je ujanani alikuwaje?..sipati picha. Miss chagga nadhani unaweza kuwa nayo kwenye archive yako uturushie tufaidishe macho.
 
Mm alinifundisha form 2 mwaka 1985 ilboru sec.alikuwa anafundisha chemistry. .si unajua mautundu ya form..alikuwa ni bomba mbaya acha kabisa..tulikuwa tukimwona anakuja kuingia class. .hiyo miguno..ilikuwa ni hatari...EL alikuwa anamleta na gari asbh anamrudia jioni..ilikuwa noma mkuu!
 
Nililitegemea hili..kumbe mkemia! Halafu huyu mama hana makuu kama akina Salma. Huwa ana keep low profile tofauti na wanawake wengine wengi inapotokea waume zao wako vizuri kiuchumi.
 
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.

Ndoa ina mambo yake!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kuna mengine mengi zaidi ya kujifunza kutoka kwake zaidi ya hayo na nitajaribu kuongelea machache.

Regina anatufundisha kuolewa na watu watakaosikiliza maamuzi yetu na watakaotujali. Mimi sidhani kama kwa kujua hali ya mumewe anaweza akamruhusu kufanya maamuzi aliyoyafanya, kwa hiyo itakuwa alimshauri lakini kwa kuwa lowassa ni kichwa ngumu akagoma kufuata ushauri.

Lingine ni kuwa washauri wazuri wa familia; hii ikiwa lowassa kama anamsikiliza mke wake. Mwanamke bora ni yule anayefanya maamuzi ambayo yatamnufaisha yeye na familia yake lakini akiangalia pia mazingira aliyopo. Kwenye maisha tunapita na sio kila tunachokitaka tutakipata ila katika yote inabidi tumshukuru Mungu coz yeye ndio anayejua kesho yetu. Sasa huyu mama kama kweli alimshauri mume wake kutoka ccm kwenda ukawa ili tu apate uraisi ilihali anajua fika kuwa mume wake hajiwezi basi hapo amekosea.

Jambo lingine ni kuwa waombaji na kumtegemea Mungu kwa kila kitu kwani yeye ndio anayejua atupe lipi kwa wakati unaofaa na atuepushe na lipi. Kwa sababu wakati mwingine vile tunavyovitaka si sahihi kwetu lakini kama mtu anamtegemea Mungu atajua lipi aliache na lipi aliendeleze.
 
Natamani kuona picha ya huyu mama kwenye ujana wake. Najiuliza kama yuko hivi kwa umri wake, je ujanani alikuwaje?..sipati picha. Miss chagga nadhani unaweza kuwa nayo kwenye archive yako uturushie tufaidishe macho.
naitafuta nikiipata nitaweka
 
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.

Huna haki ya kuzungumza mpaka uwe na uhakika, ulichokiandika kunadhihirisha ujinga ulioelezea nao. Nani kakwambia first lady wetu ni masai.
 
Mama kwanza pole kwa majukumu,

Nimeona nitumie njia hii kukushauri,Mimi ninampenda sana mumeo waziri wangu mkuu aliyestaafu,mtu aliyekuwa mchapakazi na mwenye maamuzi magumu.Mama ninakushauri ufungue moyo wako uone ukweli huu na kwa kuwa ninaamini unampenda mumeo utachukua hatua ya kutafakari na kufanya maamuzi magumu.

Mzee wetu anaumwa Mama hakuna haja ya kumfedhehesha mbele za watu,msitiri mumeo ,wanasiasa wanalazimisha kumtumia si kwamba wanampenda kama umpendavyo wewe ila wanapenda pesa zake tu.

Kama ni kujisafisha tayari walimtukana fisadi wameshamsafisha wenyewe,usisubiri yampate ya aibu zaidi,unajua yaliyompata akiwa Chato,kuna siku yatamtokea akiwa amechomekea na waandishi wataweka hadharani.

Mwacheni mzee apunzike amelifanyia taifa hili kazi njema sana,wewe waambie anaenda kucheki Afya then potelea huko urudi siku 3 kabla ya Uchaguzi, lakini wambie wanao pesa alizo nazo Baba yao alitafuta akiwa timamu ni wajibu wao kuzitunza na kuziendeleza na kumshauri wakijua hawana Baba mwingine na hao wapambe baada ya uchaguzi hawatawaona.

Ni ushauri Mama
 
Back
Top Bottom