Mhe Regia alikuwa na dada ambae alimsaidia kazi zake ndogondogo,ambae walikuwa wote nae amefariki mida hii,yeye alihamishiwa Muhimbili,idadi ya watu waliopoteza maisha kwenye ajali imefikia wawili sasa.baada ya taarifa hiyo hapa nyumbani palipo na msiba watuwote walijawa na simanzi.
posti zigine utadhani ni mwehu kaandika
sorry si ewewe namkosoa unaemkosoa
huyo anayesema mkono mmjoja unapost jf
km mwendawazm vile
mtu kama huna la kusema soma sepa
Mkuu nimeshindwa kuipata ile ya mgeni inayosema kwa taarifa nenda makao makuu ya chadema. Nadhani kuna watu wako mbali japo wapo dar kwa hiyo kufika huko makao makuu ya chadema ili kupata habari itakuwa vigumu. wengine pia hawajui makao makuu ya CDM yako wapi. Hivyo ni muhimu watu wa karibu wakatupatia habari kupitia njia hizi za.mawasiliano ili isiwe lazima kwenda physically makao makuu ya CDM. Pia sisi wana JF ni vema tukaambiana ni jinsi gani ya kushiriki kwenye msiba wa mwanaJF mwenzetu. Uongozi wa JF utusaidie muongozo hasa juu ya rambirambi kama ilivyo kawaida ya Watanzania mwenzenu akiwatoka mnatoa rambirambi. Kwa kuwa huyu ni mwenzetu basi wenye nafasi wajitokeze kushiriki kwenye msiba na JF ipate uwakilishi maalumu msibani.
Nawasilisha
Kiitos!! Japo sijaona tofauti hiyo ikitokeza hapa JF!! Pia kwa upande wangu ilikuwa zaidi 'jitihada' ya kutokukubaliana na reality!Inategemea uko wapi, kumbuka tofauti za masaa... Kama uko Suomi kumbuka kuna tofauti ya saa moja na Bongo kwa wakati huu wa 'talvi' (baridi).