Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
poleni sana wafiwa

Chadema kwa nini ajali za magari namkumbuka Wangwe
 
Very ssad news.
Lakini, iwe fundisho kwa wabunge wote, wanaolipwa hela za proffession drivers, wanaamua kuzila na kuwanyima qualified drivers ajira.
 
Very ssad news.
Lakini, iwe fundisho kwa wabunge wote, wanaolipwa hela za proffession drivers, wanaamua kuzila na kuwanyima qualified drivers ajira.

Nimezipokea kwa maskitiko taarifa za msiba wa mwanaharakati, mwanasiasa na mpignia maendeleo huyu. Umauti umemkumba akiwa ndio yuko kwenye kilele cha kutimiza malengo yake. Hakika ni pigo kubwa kwa wapenda maendeleo woote na chama chake kwa ujumla.

Niipe pole familia ya mzee Mtemawa Tabata Chang'ombe. Kwa dhati kabisa, nawatakia subira katika hiki kipindi kikubwa mno cha majonzi.

Mwenyekiti Mbowe ninakupa pole kwa niaba ya chama na kumbuka Aluta Kontinua.

Mdau hapo juu... Marehemu alikuwa ni dereva na alifuzu mafunzo ya udereva na kutunukiwa leseni. Ajali hizi ni mipango ya mungu inaweza kumtokea yeyote.

Kikwebo.
 
you are not serious wwe kwani akiwa na dereva ndio
ajali haitatokea????????????mbele ya kifo Hakuna cha proffession
wala professo,r ukisema tu rip yatosha haya mengine
keep it for ur self

Very ssad news.
Lakini, iwe fundisho kwa wabunge wote, wanaolipwa hela za proffession drivers, wanaamua kuzila na kuwanyima qualified drivers ajira.
 
ajali haina kinga iwe chadema, ccm,
odm na hata ambasadors of christ wa rwanda wale
walikufa ajalini only!!!!!! god anajua nini kinakuja mbele yetu,
keep in touch with god
ANY TIME ANY DAY ANYTHING CAN HAPPEN

poleni sana wafiwa

Chadema kwa nini ajali za magari namkumbuka Wangwe
 
Ninawapa pole ndugu na jamaa wa mpiganaji Regia pamoja na viongozi wa ngazi zote wa chadema. Hakika watanzania tumepoteza lulu. Ninaomba Mungu awafariji ndugu zake wa karibu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe!
 
Jamani, kwa nini Mungu unaruhusu mambo haya!!!!!! Taarifa hiii imeumiza sana moyo wangu. Poleni sana ndugu wa karibu wa marehemu, viongozi wa chadema na watanzania kwa ujumla. Hakika tumempoteza mpiganaji mahiri ambaye pamoja na upungufu wa kimaumbile, alijipambanua kuwa rasilimali kubwa kwa mustakabali wa nchi yetu. Hakika sasa nimeamini kuwa WEMA HAWADUMU. Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe.
 
Mkuu sentensi yako ya mwanzo ilinishtua nikadhani unamshutumu Mungu lakini ya mwisho imenifariji. Tulimpenda Regia lakini kazi ya mungu siku zote haina makosa.
 
Very ssad news.
Lakini, iwe fundisho kwa wabunge wote, wanaolipwa hela za proffession drivers, wanaamua kuzila na kuwanyima qualified drivers ajira.
Ntamaholo kama neno la nchi jirani! Ni vizuri tukaomboleza kwanza msiba huu na kama kuna issue nyingine tutaziongea baadaye. Hatuna utamaduni wa kumlaunu marehemu.
 
Umetangulia tu, Dada.... Sote twaja huko huko.
... R.I.P. Regia.
 
habari zilizothibitishwa na jf ni kuwa regia mtema (mb) amepata ajali na kufariki dunia eneo la ruvu darajani. Ndugu wa karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua kiwanja alichopewa na wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa chadema huko kibaha. Habari hizi zimethibitishwa. Maneno ya regia ya kufunga mwaka 2011 (disemba 31, 2011)
47f3b105-f9e1-4bc5-ab78-3b0fe19d6f97.jpg
marehemu regia estelatus mtema,
regia-mtema-car.jpg
gari.jpg
gari lililochukua uhai wake (baada ya ajali)​

r.i.p pengo lako halitozibika.
 
What an untimely loss to this country!! Moto wa mshumaa umezimika; REST IN PEACE our HEROINE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom