Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
..very sad.

..WEMA HAWANA MAISHA.

..pole kwa familia yake, ndugu, jamaa, na marafiki.

..JF imempoteza mwanachama mahiri wa kupigiwa mfano.

..maisha yake yalikuwa mafupi, lakini yenye mchango mkubwa kwa wanajamii wenzake.

..CDM imempoteza mbunge kijana na mfano wa kuigwa.

..REST IN PEACE REGIA MTEMA.
 
This is just so sad........ Sister Regia your future was so bright and the nation would have been better for it.

Through JF, it was as if I knew U personally. It is God's will and I thank You for all U did for Tanzania.

May God Give Courage to Ur family and Rest Your Soul In Eternal Peace.
 
Hii ni habari ya kusikitisha kupita zote tangu mwaka huu mpya umeanza. May she rest in peace. Let's carry on the torch and continue the noble struggle she had pursued. She will surely be missed in our social and political arena.
 
R.I.P kamanda wetu, all of us we shall test death it is the matter of time and wishes of GOD
 
pole wana cdm familiya na watanzania wote tunepoteza mpambanaji mungu kakupenda zaidi
 
msiba utakuwa Tabata kwa baba yake Mzazi,Taarifa kamili Nenda makao makuu ya CDM kinondoni

inawezekana ikawa hivyo cause nimepita maeneo ya kwake(mbezi makabe) mida ya saa mbili usiku geti limefungwa,na pako kimya sana hapana dalili ya msiba kuwa hapa.
 
posti zigine utadhani ni mwehu kaandika
sorry si ewewe namkosoa unaemkosoa
huyo anayesema mkono mmjoja unapost jf
km mwendawazm vile
mtu kama huna la kusema soma sepa

nani aliyekuambia mkono mmoja ulikuwa unapost JF?
 
Hakika leo ni siku ya masikitiko sana kwa kuondokewa na mpendwa wet, Mungu atupe faraja ya kweli watanzania wote, wanafamilia pamoja na JF members. "kazi ameimaliza na vita amevipiga" apumzike kwa amani!
 
Ni kweli sisi sote ni members, na tuna michango yetu ndani ya JF.

Lakini mchango wa RegiA umetuzidi sana sisi wote kutokana na sababu zifuatazo!

1.Aliweza kufanya majukumu ya kibunge, lakini hapohapo kutumia vyema muda wake kutuhabarisha yanayojiri, akishawishi na kuleta mrejesho wa anachofanya katika eneo-Bunge lake.

2.Jina lake la awali (GenderSensitive), pamoja na kuwa lilikuwa ni anonymous, lilikuwa linampa hadhi fulani, na mimi nilipolisoma kwa mara ya kwanza nilihisi kuwa ni mtu makini!..Lakini hata niliposoma michango yake niligundua kuwa ni mwanaharakati wa juu sana wa ukombozi wa gender ya kike na binadamu kwa ujumla!

3. Kuna wakati alitoa nafasi kwa wasichana hapa JF kuungana naye katika safari za mikoani, huenda alikuwa akizunguka kufanya research fulani(sikuwahi kufahamu alikuwa ana mission gani) lakini hilo tu lilidhihirisha kuwa alikuwa ni mtu aliyejaa fursa kwa wanawake, wasichana na binadamu wenzake wanaomzunguka.

4. Kitendo cha kutushirikisha sisi Jamiiforums kwenye kutoa kero zinazoigusa jamii ya Watanzania(alichokifanya juzi tu hapa jamvini) kilikuwa nicha heshima sana kwetu..ni wazi wa kumponda hawawezi kukosekana, japo alifurajia sana challenges!
Amini usiamini kwa ufahamu wangu hakuna Mbunge ambaye amefanya kitendo cha ujasiri kiasi hicho..inagharimu usafi fulani kuwaconfront Great Thinkers wa JF kuwataka ushauri, ukiwa fisadi utapata majibu In No Time!

KWA HAYA MACHACHE NASHAURI ADMINISTRATION YA JAMIIFORUMS IANGALIE UWEZEKANOWA KUPRINT TSHIRT ZENYE BAADHI YA MANENO NA KAULI ZAKE ALIZOZITOA MAJUKWAANI NA KUZIUZA KWA MEMBERS...NAAMINI HAKUNA ATAKAYEPENDA KUKOSA MEMENTO YA AINA HII.

NAWASILISHA.
 
inawezekana ikawa hivyo cause nimepita maeneo ya kwake(mbezi makabe) mida ya saa mbili usiku geti limefungwa,na pako kimya sana hapana dalili ya msiba kuwa hapa.
Mkuu nimeshindwa kuipata ile ya mgeni inayosema kwa taarifa nenda makao makuu ya chadema. Nadhani kuna watu wako mbali japo wapo dar kwa hiyo kufika huko makao makuu ya chadema ili kupata habari itakuwa vigumu. wengine pia hawajui makao makuu ya CDM yako wapi. Hivyo ni muhimu watu wa karibu wakatupatia habari kupitia njia hizi za.mawasiliano ili isiwe lazima kwenda physically makao makuu ya CDM. Pia sisi wana JF ni vema tukaambiana ni jinsi gani ya kushiriki kwenye msiba wa mwanaJF mwenzetu. Uongozi wa JF utusaidie muongozo hasa juu ya rambirambi kama ilivyo kawaida ya Watanzania mwenzenu akiwatoka mnatoa rambirambi. Kwa kuwa huyu ni mwenzetu basi wenye nafasi wajitokeze kushiriki kwenye msiba na JF ipate uwakilishi maalumu msibani.

Nawasilisha
 
Nilikuwa kwenye gari naelekea kwenye msiba wa baba mkwe wangu ghafla nikapokea taarifa kutoka kwa mwana JF ukinijulisha kuwa mdogo wetu mpendwa. Dada Rejia Mtema hatupo nae tena..

Kwa kweli sikuweza kuamini maneno niliyo sikia toka kwa mwana JF mwenzetu ilinibidi kuingia humu ndipo nilipokutana na thread hii. Na kuishiwa nguvu kabisa.

Juzi tu kwenye facebook alituambia anatamani kuwa na familia akimaanisha anataka kuolewa na kupata watoto, maskini alikuwa na mipango mingi na Mungu naye alikuwa na mipango yake juu yake..
Jambo la kutia moyo ni kwamba mwenzetu ameifanya kazi yake. Aliyo pangiwa na Mungu wake na ndio. Maana leo hii tuko hapa tukiomboleza na kumlili mpendwa wetu, je mimi na wewe tumetimiza wajibu wetu hapa duniani?

Pumzika kwa amani Rejia Mtema, Mungu mwaandalie pumziko la milele dada Rejia.
 
Nimesikia na msaidizi wake aliyekua hosp amefariki pia. RIP
 
Ni kweli sisi sote ni members, na tuna michango yetu ndani ya JF.

Lakini mchango wa RegiA umetuzidi sana sisi wote kutokana na sababu zifuatazo!

1.Aliweza kufanya majukumu ya kibunge, lakini hapohapo kutumia vyema muda wake kutuhabarisha yanayojiri, akishawishi na kuleta mrejesho wa anachofanya katika eneo-Bunge lake.

2.Jina lake la awali (GenderSensitive), pamoja na kuwa lilikuwa ni anonymous, lilikuwa linampa hadhi fulani, na mimi nilipolisoma kwa mara ya kwanza nilihisi kuwa ni mtu makini!..Lakini hata niliposoma michango yake niligundua kuwa ni mwanaharakati wa juu sana wa ukombozi wa gender ya kike na binadamu kwa ujumla!

3. Kuna wakati alitoa nafasi kwa wasichana hapa JF kuungana naye katika safari za mikoani, huenda alikuwa akizunguka kufanya research fulani(sikuwahi kufahamu alikuwa ana mission gani) lakini hilo tu lilidhihirisha kuwa alikuwa ni mtu aliyejaa fursa kwa wanawake, wasichana na binadamu wenzake wanaomzunguka.

4. Kitendo cha kutushirikisha sisi Jamiiforums kwenye kutoa kero zinazoigusa jamii ya Watanzania(alichokifanya juzi tu hapa jamvini) kilikuwa nicha heshima sana kwetu..ni wazi wa kumponda hawawezi kukosekana, japo alifurajia sana challenges!
Amini usiamini kwa ufahamu wangu hakuna Mbunge ambaye amefanya kitendo cha ujasiri kiasi hicho..inagharimu usafi fulani kuwaconfront Great Thinkers wa JF kuwataka ushauri, ukiwa fisadi utapata majibu In No Time!

KWA HAYA MACHACHE NASHAURI ADMINISTRATION YA JAMIIFORUMS IANGALIE UWEZEKANOWA KUPRINT TSHIRT ZENYE BAADHI YA MANENO NA KAULI ZAKE ALIZOZITOA MAJUKWAANI NA KUZIUZA KWA MEMBERS...NAAMINI HAKUNA ATAKAYEPENDA KUKOSA MEMENTO YA AINA HII.

NAWASILISHA.
Mkuu utadhani tuko sehemu moja manake nilikuwa na mawazo sawa na ya kwako. Naunga mkono asilimia mia juu ya kuchapisha t shirt kwa ajili ya msiba huu na ziuzwe kwa wanaJF kwa ajili ya kumuenzi huyu kamanda. Uongozi ujitahidi kutoa miongozo ili tujue uelekeo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom