Mkuu hapo penye kuhusu ajali, ni kweli hizi barabara zetu unahitaji uangalifu wa hali ya juu especially on long trips, na madereva wa big tucks, mabasi na semi trailers...
Nimeendesha hizo bara bara na unatakiwa kuwa makini all the time...Huo ni upande mmoja.
Upande wa pili, ni kwamba sintoweza kusema mengi kwasababu bado tuko msibani, lakini otherwise ningekuwa na maswali mawili matatu ie je hilo gari lilikuwa well equiped for a person with disability to personally drive? Tatizo hilo linaweza kuwa kubwa zaidi kama ni a long trip.
Pili uamuzi wa kuendesha mwenyewe ulikwa mzuri? Je angekodi dereva kama wa kwake alikuwa na matatizo?
So unaweza kuona kuwa inaweza kuwa a combination of factors, tegemea na aina ya ajali, lakini mojawapo ya factors ni barabara na madereva wengine waendesha hovyo, pia sometimes maamuzi yetu sisi wenyewe.