Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
this world is not our home...
Simba hafi bali hupumzika, Reggia amepumzika
 
Poleni kwa familia ya marehemu, poleni sana Chadema, poleni sana wana JF wenzangu na pole iende kwa taifa letu kwa kumpoteza mpiganaji.

Inasikitisha sana kwa kweli. Tumekupoteza wakati ndio kwanza mpambano umeanza na mchango wako utakumbukwa daima.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peoni.
 
Habari ya kusikitisha hii!!

Hebu fuatilia uje na habari yenye uhakika plse!!

wanajamii mimi hapo ndiyo natoka kuongea na nyumbani kwao kabisa habari hizi ni za kweli kabisa yaani ni pigo kubwa kwa kweli...tumwombee na kumsamehe kwa wale wnye imani kama yangu
 
Tunapaswa kushukuru. Kazi ya mungu haina makosa. Nilimwona mara moja katika mdahalo uliondaliwa na star tv. Rip regia
Hapana, siwezi kushukuru mwenzetu kafa!

Kazi ya Mungu ina makosa!

Imani imani za jadi hizi za kijinga jinga za "Mungu kamuua" ndio zinafanya tunaendelea kufa mabarabarani kama wadudu.

We don't shukuru no body, we condemn the government's corrupt and decrepit administration of passenger transportation on the roads of Tanzania. We curse the system! Tunapaswa kushukuru my foot!
 
Uchuro ulianza mapema wiki pale ambapo tumeshudia thredi zaidi ya mbili zikizungumzia vifo vya wana-JF waliotangulia mbele ya haki, bila kujua walikua wakimtabiria dada ytu mpendwa. RIP Regia.
 
wanajamii mimi hapo ndiyo natoka kuongea na nyumbani kwao kabisa habari hizi ni za kweli kabisa yaani ni pigo kubwa kwa kweli...tumwombee na kumsamehe kwa wale wnye imani kama yangu

tupe mkasa wa hiyo ajali ilikuaje kuaje
 
It is really shocking. Lakini, Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe!
 
Aghrrrrrr which is which? Hata kama ni kweli? Zinatumika saa za wapi hapa?! Post hii imewekwa 1250, ikinukuu(?) edition ya Maxence Melo ya 1336... Inazidi kutuchanganya wengine.

Inategemea uko wapi, kumbuka tofauti za masaa... Kama uko Suomi kumbuka kuna tofauti ya saa moja na Bongo kwa wakati huu wa 'talvi' (baridi).
 
Aisee kifo hiki kimenigusa sana,....sina cha kusema lkn mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi,...!!!!!
 
Dah.
Bado nafsi yangu inakataa kuamini ila najua kwamba kifo hakina huruma wala hakichagui. RIP Regia...

Poleni wanaJF wote mliogoswa na kuondokewa na member mwenzetu, pole kwa viongozi wenzake, wananchi waliokua wanamtegemea na zaidi ndugu na marafiki zake.

Mungu amlaze mahali pema peponi.
Amen
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom