Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.
Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa CHADEMA huko Kibaha.
Habari hizi zimethibitishwa.
Ooh my God,nimemwona kwa macho yangu asubuhi ya leo akitoka kwenye geti la nyumba yake akiwa anaendesha gari lake kumbe ndio nilikuwa namuona kwa mara ya mwisho,dah RIP REGIA,so sadd!!