Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Mimi nimepokea habari hizi kwa mshtuko mkubwa maana wiki iliyopita nilichat naye kwenye facebook... Vipi na hali ya dereva wake?
 
Sad News indeed! kweli maisha yetu ni kama maua! I feel speechless Pumzika kwa amani dada yetu na mpiganaji
 
Rest in Peace dada Mtema, nakumbuka updates zako ulizokuwa unazitoa live kutoka viwanja vya ustawi wa jamii siku ya show ya anti virus
 
Tutayakumbuka Matendo yake MEMA yasiyoelezeka aliyoyatenda hapa Duniani, pia tutamkumbuka alivyoishi Vizuri kwa muda aliokua nasi. Hatutamsahau Daima, Pumzika kwa Amani Regia Mtema
 
nilipoingia ndani ya jukwaa na kuzikuta habari za msiba huu wa kamanda, nilitamani sana iwe naota na sii kitu halisi, lakini hata hivyo kumbe ni kweli. Kwa hakika nilikuwa sijawahi kukutana na Regia phisically, lakini kupitia michango yake katika kupigania ukombozi wa mtanzania, ilikuwa kama ni mtu nilie nae kila wakati na popote niendapo. Bwana Mungu na akupumzishe pema kwa kuwa matendo yako mema ya kupigania haki kwa wote, yamekutangulia huko uendako. Aaamen!!
.
 
AAh!! kama nilie vile! hataa siamini! RIP Regia!! Yaani!
 
Eeh bwana mrehemu marehemu regia mtema ipumzishe roho yake pema peponi bwana alitoa bwana atatwaa jina la bwana lihimidiwe milele amin
 
---- bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe, amen --- ww kifo ww --- ww ngoja kila siku unatutishia maisha yetu, na hasira na ww, mmanina zako kifo ww --
 
nikikumbuka sredi yako ya mwisho, sisiti kusema umekufa katika hali ya usafi. May Jesus Christ rest you in eternal peace my lovely sister Regia. Amen.
 
Ohoo dear!! RIP dada yangu Regia Mtema/Gender Sensitive it is hard to believe.
 
Regia, Upumzike kwa Amani!

Mungu awajaalie ustahimilivu wote walioguswa na msiba huu mkubwa.
 
This is very painful indeed...hard to take.RIP our beloved!
 
Ndugu zangu napenda kuwapa pole katika kipindi hiki kigumu cha
ni taarifa yenye mshituko mkubwa sana,ya mbunge regia Mtema ambayo tayari imethibitishwa na bunge la Tanzania.
 
Mimi nimepokea habari hizi kwa mshtuko mkubwa maana wiki iliyopita nilichat naye kwenye facebook... Vipi na hali ya dereva wake?

Nimemsikia Kamanda wa Polisi akisema kuwa alikuwa anaendesha mwenyewe. Sijui kama hizi habari ni uhakika, kwamba alikuwa anaendeshea mguu wa kushoto au alikuwa na gari maalum? Binafsi namfahamu but, sikuwahi kumuona anaendesha. Otherwise, taarifa zinasema kuna majeruhi saba wako hospitali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom