Ni kumwonyesha mleta taarifa kuwa alichofanya ni kizuri kuuhabarisha umma. Haijalishi ni taarifa ya aina gani lakini taarifa sahihi na si uzushi.kuLIKE taarifa ya msiba kunamaanisha nn?
wezi na mafisadi hawafi, wema na watiifu wanafariki! Ooh God
Mwana Jf Mwenzetu Regia Mtema amefariki katika ajali ya Gari Ruvu.