Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Alas, kazi ya Mungu haina makosa, ninaamini kabisa dada yetu, mpambanaji, Regia amemaliza kazi yake, sasa tulijaliwa kubaki tuendeleze yale mazuri aliyoanzisha na kuamini ili tumuenzi
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.Amen..RIP mpendwa wetu Regia Mtema
 
may the heavens welcome you with open arms,meanwhile we the JF family promise to continue fighting for you ideals
 
Kabla ya kuona thread hii nilikuwa nafuatilia thread yake aliyosema, AMEANGUKA KWENYE DIMBWI LA MAPENZI KWA MTU ASIYEMFAHAMU, LAKINI YUKO NJE YA NCHI. Naamini leo dada Regia atakutana na mpenzi wake (Mungu). R.I.P Regia
 
R.I.P
kamanda,mapambano
tutayaendeleza
natutashinda,umefariki
ukiwa
shujaa
alieshinda
vita.amen
 
Inna Lillahir, wa Inna Ilaihir Rajiuun. R.I.P RM, binafsi nlikupenda sana, but mungu amekupenda zaidi.
 
bado nashindwa kuamin jamani,roho inaniuma sana,polen wanajf kwa msiba huu ambao nina uhakika umetugusa kila mmoja wetu.
R.I.P dada Regia.
 
MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU REGIA MTEMA MAHALI PEMA PEPONI. Amen.
 
2 hours now ndiyo naanza kuamini!! Mungu ailaze roho ya kamanda wangu Regia peponi! Why her????
 
Regia pumzika salama ila ingekuwa ni kwa matakwa yetu tungesema NOOOOOO ila aliyekuumba ameamua upumzike ila sisi hatuna la kufanya zaidi ya kubaki na huzuni kwa kukupoteza tunajua kimwili hatutakuona tena ila fikra zako zitabaki mioyoni mwetu daima.

Umeondoka ukiwa mdogo mno tena kipindi ambacho harakati za vijana za kuleta mapinduzi ya kisiasa zilikuwa zinakuhitaji sana dada. Pumzika salama mpendwa wetu
 
Ulale kwa amani madam Regia Mtema
 
TUNAOMBA MUONGOZO WA INVISIBLE ..INAPOTOKEA MEMBER KAMA HUYU KATUTOKA HASA WALE AMBAO WAMEAMUA KUWA MSTARI WA MBELE KWA KUWEKA MAJINA YAO DHAHIRI.....BASI KWENYE HOME PAGE TUKIFUNGUA TUONE PICHA YAKE KWA SIKU ZITAKAZOKUBALIKA...NA BENDERA YA JF..ambayo ina nembo ya JF ..IONESHWE IKIPEPEA NUSU MLINGOTI..

NAOMBA KUTOA HOJA!!!
[/QU NAUNGA MKONO HOJA
 
Kiukweli hii habari imeharibu kabisa equilbrum ya siku ya leo. Ni afadhali kama ingekuwa ni ndoto au maigizo. Kufa tutakufa lakini kuna vifo vya watu wengine huwa ni pigo sana. Tutakumiss sana dada Regia. Utuombee sana sisi watanzania huko uliko.
 
RIP
REGIA
MTEMA!!!
Nembo ya mashujaa wasioogopa mafisadi.

... Sad to say that hautatokea tena jf !
Inaumiza sana hasa kwa sisi ambao tulipenda kukufatilia tukiwa nje ya jf... Ukawa mmoja kati ya waliotupa hamasa kubwa kuingia humu !

OOH MY LORD !
ITS HARD TO BELIEVE THAT WE WILL NEVER READ YOU ANY MORE !

Pumzika mkuu ! Pumzika dada ! Pumzika mama !
PUMZIKA MPENDWA
WETU REGIA!
 
Mungu wangu! I could not believe when I read it on ITV, presented as Breaking News, that our dear Regia is no more. Oh God, it's so bitter to swallow.
Regia, I always dreamt that you would rise to be a very bright shining star. You had just started to shine when God decided to take you away from us. To me, you are still shining and always will.
Regia, tutakulilia daima. RIP.
Pole kwa wana-familia, wana-Kilombero, wana-Chadema, vijana wote, wanawake wote na Watanzania kwa ujumla. Mungu atutie nguvu ya kustahimili msiba huu mkubwa ulioleta simanzi kwa jamii ya watanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom