Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Hizi barabara zetu zinatisha mno!!!! ukiwa na safari kwa kutumia barabara saa zote roho mkononi kwa wasiwasi wa kutokea ajali na kuchukua uhai wako au kupata ulema mkubwa sana. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
I'm very shocked about this information. Tumempoteza kamanda angali bado mdogo. Jembe lilikuwa na msimamo kwa kile ambacho alikuwa anakiamini. Ni vigumu kumsahau Regia Mtema kwa michango yake mizuri. MAY HER SOUL REST IN PEACE. Nasisi tupo njiani tunakuja
 
"Kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi"

R.I.P Regia Mtema
 
Nimewasiliana na familia yake kule Kilombero na kupewa uhakika kwamba Regia ametutoka. Nilifahamiana na Regia kwa zaidi ya miaka minane iliyopita, tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara haswa kipindi cha kampeni 2010 jinsi ya kulichukua jimbo la Kilombero. Ninalijua fika jimbo hilo (Kilombero), kero zinazowasumbua wana kilombero, jinsi ya kuongea na wananchi hao, tabia na mila zao. Na sikuona hiyana kumpa Regia undani huo wakati wa kampeni. Tokana na msiba nimempoteza rafiki, mbunge na mtetezi wangu wa karibu sana. Poleni sana wazazi na ndugu wengine wa marehemu, poleni wana JF na wana Chadema kwa msiba huu, poleni sana wana Kilombero wenzangu hasa maeneo ya Lihegama, Mkamba, Mang'ula, Msolwa station na Ifakara ambako Regia aliweza kufungua matawi muhimu na imara ya Chadema.

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.

Asanteni,

Kidatu
 
Daaaah RIP dada yangu Rejea, ni kama siamini lakini ndiyo kweli.
 
Mwana Jf Mwenzetu Regia Mtema amefariki katika ajali ya Gari Ruvu.
 
Habari hizi ni za kweli nimeongea sasa hivi na pacha mwenzake, inauma na kusikitisha sana ameondoka bado kijana. Kazi ya Mungu haina makosa pole kwa familia, bunge, chadema na taifa kwa jumla. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE AMINA....!
 
Pole kwa wafiwa na wana JF wote kwa kuondokewa na mmoja wa wanachama wa hapa JF pia akiwa mbunge wa Viti maluum,kweli kifo hakina huruma !
 
Ni pigo kwa Chadema...Mungu ailaze roho yake mahali pema..Amina

Wana CHADEMA sasa kazi iliyopo mbele yetu ni kumlilia Mwenyenzi Mungu ili atupatie Mpambanaji atakayesimama badala ya Regia. R.I.P. Regia, Dah! Machozi yananitoka mwanaume mzima.
 
Aisee habari hii nimeipokea kwa majonzi makubwa sana, eeeeeh Muumba naomba ipokee roho ya dada yetu Regia Mtema.
Nimewasiliana na familia yake kule Kilombero na kupewa uhakika kwamba Regia ametutoka. Nilifahamiana na Regia kwa zaidi ya miaka minane iliyopita, tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara haswa kipindi cha kampeni 2010 jinsi ya kulichukua jimbo la Kilombero. Ninalijua fika jimbo hilo (Kilombero), kero zinazowasumbua wana kilombero, jinsi ya kuongea na wananchi hao, tabia na mila zao. Na sikuona hiyana kumpa Regia undani huo wakati wa kampeni. Tokana na msiba nimempoteza rafiki, mbunge na mtetezi wangu wa karibu sana. Poleni sana wazazi na ndugu wengine wa marehemu, poleni wana JF na wana Chadema kwa msiba huu, poleni sana wana Kilombero wenzangu hasa maeneo ya Lihegama, Mkamba, Mang'ula, Msolwa station na Ifakara ambako Regia aliweza kufungua matawi muhimu na imara ya Chadema.

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.

Asanteni,

Kidatu
 
dah ni kwa mshangao ninapokea hizi habari but pole kwa watz, na familia ya mheshimiwa wetu huyu. Mungu atufariji sote
 
Nimewasiliana na familia yake kule Kilombero na kupewa uhakika kwamba Regia ametutoka. Nilifahamiana na Regia kwa zaidi ya miaka minane iliyopita, tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara haswa kipindi cha kampeni 2010 jinsi ya kulichukua jimbo la Kilombero. Ninalijua fika jimbo hilo (Kilombero), kero zinazowasumbua wana kilombero, jinsi ya kuongea na wananchi hao, tabia na mila zao. Na sikuona hiyana kumpa Regia undani huo wakati wa kampeni. Tokana na msiba nimempoteza rafiki, mbunge na mtetezi wangu wa karibu sana. Poleni sana wazazi na ndugu wengine wa marehemu, poleni wana JF na wana Chadema kwa msiba huu, poleni sana wana Kilombero wenzangu hasa maeneo ya Lihegama, Mkamba, Mang'ula, Msolwa station na Ifakara ambako Regia aliweza kufungua matawi muhimu na imara ya Chadema.

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.

Asanteni,

Kidatu

....Mimi nilikuwa nawasiliana na Regia kupitia PM na alinipa mpaka namba yake ya simu. Tulikuwa tunaongelea mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu na baadhi ya wanachama hapa jamvini ambao mimi niliwaona wanaweza kabisa kuchukua nafasi mbali mbali za uongozi ndani ya CHADEMA na pia kugombea hata nafasi za Ubunge nilipendekeza kwa Regia ajaribu kuwasiliana nao ili wajiunge na CHADEMA....RIP my friend.
 
Mungi we acha tu, hali ni ngumu watu mioyoni tumefadhaika sana ila kwa kuwa ni maamuzi ya Mungu hayana appeal!!!!
Wana CHADEMA sasa kazi iliyopo mbele yetu ni kumlilia Mwenyenzi Mungu ili atupatie Mpambanaji atakayesimama badala ya Regia. R.I.P. Regia, Dah! Machozi yananitoka mwanaume mzima.
 
Ni vigumu kuamini!Sina mengi maneno yameniishia!
 
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.

Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa CHADEMA huko Kibaha.

Habari hizi zimethibitishwa.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom