Re: Ujinga

Yaani JF haaishi kuburudisha. Mie niliisikia hii toka kwa rafiki yangu "Ujinga ni Wazazi kuitana "baby" halafu watoto wao wanawaita "mummy'' / "daddy"

ha ha ha!lol!jf imenifanya nakua mjinga sasa!ful kucheka mwenyewe!
 
ni ujinga kujamba njiani halafu ukageuka nyuma kuangalia km kuna mtu kakuskia

Nimeipenda hiyooooooooooooooooo............... Yan unapiga Twwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............. af unageuka ukiana hamna mtu unapiga MMBraaaaaaaaaaaaaaa...................
 
Ujinga ni kumdanganya boss kwenye simu upo benki halafu anasikia sauti ya jogoo kawika!

Tehetehetehetehteheteheeeeeeeeeeeeeeeee.............................. Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa.................................
 
Ujinga ni ku2mia arrow kwny computer kumfukuza mdudu alie kwenye screen ya computer
Hahahahaaaaa kweli hata mimi nishaifanya sana na hadi leo najiuliza inakuwaje mdudu haoni cursor ikitembea????
dah hapa umewaza sana mkuu
 
Ni ujinga kucheka mwenyewe unapokua unasoma comments kwenye hii thread!
 
ni ujinga kucheka mwenyewe unapokua unasoma comments kwenye hii thread!

ujinga ni kutocheka ukiwa peke yako baada ya kusoma comment ilokufurahisha coz uko peke yako?
 
Ni ujinga kuwa na uwezo wa kumfukuza Katibu wa wizara ya Afya halafu Katibu wa wizara ya Nishati na Madini unasema rais ndo anaweza kumfukuza!
 
Ujinga ni kupigia kura CHADEMA halafu unataka CCM ilete maendeleo!
 
Ni ujinga kumwambia konda asimamishe daladala wakati upo siti ya mbele karibu na dereva.
 
ni ujinga kusema R.I.P wakati huna uhakika kuwa huyo mtu anaenda ku-rest au ku-rostiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…