Nachagua amani na utulivu,maandamano ni ujinga.

Nachagua amani na utulivu,maandamano ni ujinga.

nkoge

Member
Joined
Jun 7, 2018
Posts
53
Reaction score
90
Wakuu...! Tusemezane ukweli....!
Maandamano Kwa ajili ya nini? ili iweje? Kwa nini mpaka tuhamasishwe kuandamana kama kweli tunahitaji maandamano yaliyobeba ajenda?

Binafsi nimechagua amani na utulivu kuliko ujinga huo,na ninakushauri na wewe uchague njia hiyo.

Tuachaneni kutumika kwenye ajenda binafsi za watu,tuliyoyashuhudia mwezi ule na tarehe zile yanatosha,hatutaki yajirudie.
 
"Kwa nini mpaka tuhamasishwe kuandamana kama kweli tunahitaji maandamano yaliyobeba ajenda?"



Kwa nini mpaka utuhamasishe tusiandamane kama kweli hatuhitaji maandamano? Au wewe ndio umebeba agenda?
 
Back
Top Bottom