RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam

 
kama maendeleo wameyafanya kwanini wanalazimisha watu kuyaona badala ya watu kuona wenyewe?
 
Tutayaona mengi kwenye utawala huu wa awamu ya tano.......

Kumbe kuna ma-RC wameigeuza mikoa wanayoiongoza kuwa their own property?

Hivi utawezaje wewe kama raia wa kawaida kabisa wa Jiji hili la Dar, kuweza kuwapiga marufuku raia wengine wasiweze kuongelea suala lolote la kitaifa mkoani kwako, kwa kile unachokiita kuwa umempiga marufuku kuongea jambo lolote katika mkoa unaoouita wa kwako?
 
Kwani mtu ukikosa vyeti vya shule unapata madhara gani kiakili?
 
Huyo hajawahi kutamka neno likawa na matokeo chanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…