RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai kuwa dawa hizo zina madhara na badala yake watumie vyakula vyenye madini ya Zink yakiwemo maharage aina ya Jesca yaliyofanyiwa utafiti na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kituo cha Uyole Jijini Mbeya.

View attachment 1921499
Hila nikweli 1000%, maharage yanaongeza hamu ya kusex kupita maelezo kabisa kabisa, me shaidi wa Hilo aisee, haswaa yapikwe kwa nazi
 
#HABARI RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca/https://t.co/BGxtebxtEx https://t.co/SlWySI7SgG
Mkuu kumbe kuna wakati unaweza kuleta uzi unaoweza kukuheshimisha! Biggest salute
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai kuwa dawa hizo zina madhara na badala yake watumie vyakula vyenye madini ya Zink yakiwemo maharage aina ya Jesca yaliyofanyiwa utafiti na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kituo cha Uyole Jijini Mbeya.

View attachment 1921499
Hii nchi hii !!
 
Back
Top Bottom