RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

Wajinga hawa daladala. Sasa wamesusa bajaji wanajipigia hela tu kiulaini. Ngoja wafe na njaa ndiyo watatia akili.
 
Ila ni kweli maana dhumuni la vyombo vya usafiri ni kuwasafirisha abiria wafike wanapotaka kufika kwa wakati na bajaji pia ni chombo cha usafirishaji wa abiria.
Usalama barabarani uzzingatiwe, kama Sheria ya nchi ni pita kushoto (RHD)
Halafu moja wetu kwa sababu za kisiasa anampita mwenzake kupitia upande wa kushoto mbele ya "traffic police" ( Left hand side overtaking)
Hatujengi Tanzania ,bali tunaibomoa tz.
Mbeya kuna udereva mpya kabisa, na hasa wa bajaji.
Taa 🚦 nyekundu inawaka , Bajaj inakatisha mbele ya traffic police na hakuna kesi wala booking.
SIYO BURE .
 
Back
Top Bottom