RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Dakika zake zinahesabika huyu. Ni wa kwanza kupewa jembe akashiriki kilimo cha mpunga mbozi.

Eti hakuna Rais wala Makamu wa Rais..... Du kumbe uchaguzi una mambo kwa CCM - Ni kufa na kupona. Kasema ya moyoni mwake na kamaliza kama RC. Wana CCM hawa ndio ma-RC tulioachiwana Hayati M.
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Achana na huyo RC poyoyo Bw. Chalamila.
Huyu ni mmoja wa ma- RC wapuuzi kabisa akiungana na Makonda aliyekuwa RC Dar na Happy RC Iringa. Nina hakika huyu ni wale STD VII akina Kibajaj na Msukuma au F4 FAILURES!!!
 
Hukumu ziko wazi kwenye vitabu vyote vitakatifu eg.amri10...ziko wazi kuwa usiue,usiibe,usiseme uongo n.k.

Ivyo km kiongozi alikuwa mwizi,muongo na muuaji huyo sio wa Mungu ni wa shetani...hukumu iko wazi tu
Kwani akitubu kabla ya kifo bado atahukumiwa pia?!
 
Kwani akitubu kabla ya kifo bado atahukumiwa pia?!
Kutubu lazima uombe msamaha kwa kinywa kwa uliowakosea.

Pia lazima upitishwe kwenye jaribu la kupimwa km kweli umeacha maana kutubu ni kuacha.

Ivyo toba ya dakika chache kabla ya kifo ni kujidanganya tu,na ingekuwa ivyo watu wangekuwa waovu tu muda wote na hakuna haja ya kutenda mema maana nikikaribia kufa tu natubu,toba ni mchakato mrefu,sio masaa au siku kadhaa...Mungu ana akili sana zaidi yetu
 
Hakuna lolote,mimi nilishangilia sana na hakuna wa kunifanya kitu maana Magu alikuwa ni mtoto wa shetani mwenye laana ya Mungu
Charles mbowe yuko wapi?
Bei ya vitu vipi?
Shangazi yako machinga vipi?
Vipi nyumba yako iliyo vichakani inahitaji nguzo 3 ndiyo umeme ufipi utalipia shs ngapi?
 
Kutubu lazima uombe msamaha kwa kinywa kwa uliowakosea.

Pia lazima upitishwe kwenye jaribu la kupimwa km kweli umeacha maana kutubu ni kuacha.

Ivyo toba ya dakika chache kabla ya kifo ni kujidanganya tu,na ingekuwa ivyo watu wangekuwa waovu tu muda wote na hakuna haja ya kutenda mema maana nikikaribia kufa tu natubu,toba ni mchakato mrefu,sio masaa au siku kadhaa...Mungu ana akili sana zaidi yetu
Unaona Sasa shida inapokuja, hilo ni suala la imani na kila mtu ana Imani yake, so mwenye uwezo wa kuhukumu kwa haki kabisa ni Mungu peke yake. Binadamu tunashindwa mtihani mdogo tu wa kusamehe waliotukosea sembuse kutoa hukumu dhidi ya madhambi ya wenzetu?!
 
Naona una shida ya uelewa,sio suala la imani...kila kitu kimeelezwa kwenye vitabu vitakatifu plain and clear,hukumu na taratibu zote ziko wazi ivyo HATUHUKUMU SISI ILA VITABU,SISI TUNATAMKA TU KILICHOPO KTK VITABU VYA MUNGU...ELEWA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom