RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

Yaani yule jamaa huwa akianza kubwabwaja huwa hadi yale mashavu yanavimba...
 
Sio kwamba afadhali asingekufa kabisa mpaka amalize mitano, kumi ishirini au yoyote ile aliyotaka ?

Au kabla hajawa kabisa Rais hapo tungekuwa hatuna msiba wa kitaifa....

Anyway tukianza na hizi afadhali tuna-open a can of worms
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Jamaa anashukuru rais kafariki. Hii nchi hii!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Mkuu wewe ndiyo muanzilishi wa kile chuo cha mtakatifu yohana ambacho makada wa uvccm hupita hapo kwa masomo ya jion
 
Shida siku hizi watu wanakata maneno yanayofeed malengo yao pengine RC kaongea vyema tu ila hayo maneno 10 ndiyo yanawekwa hapa.
 
Mnasema sasa, kafa eheee..!
Tuliwambia Gari la mkaaa tripu shamba tripu gereji, spana mkononi litawazikimikia.
Mkatuona hatumpendi Mtupoli.

Sisi kwetu raha tu,Mwizi, Tapeli, Muuaji na Mtesaji kafa kabisa kabisa .... Kwioooo..
🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏾‍♂️
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Mwambie Chalamila hivi; Mungu amechukizwa na matendo ya Magufuli hasa uwizi wa kura za Oktoba 25, 2021 ndiyo maana katika siku zote za 120 za kujitangaza mshindi hajawahi kuishi kwa amani, ilikuwa ni kwenye ma Oxygen concentrator na madripu. Hatimaye roho yake ikachukliwa kwenda JEHANAM.
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Huyu mjinga sana,huwa wapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom