RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Hii hapa .
Vile vile nae anasema alikufa lakini madaktari hawataki kumaambia
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Chalamila Dish limeyumba.
 
Huyu jamaa full comedian lakini anaongea ukweli
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.

Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.

My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?

Ukinizingua Nitakuzingua
Chalamila, you are a fool, read the constitution. The President remains President until another is sworn IN. He even still made appointments. I highly respected JPM, but some of his decisions like appointing some morons/imbeciles like this one, I didn’t agree with him hapo. We have RCs, RAS etc, what do they do. Chalamila can you tell me your description? What are you actually supposed to do on a daily basis?
 
Hawa ndo Viongozi ambao uchu wa madaraka kwao ni mkubwa kuliko uchu wa maendeleo..!

Anawaza kushinda tu
 
Mnasema sasa, kafa eheee..!
Tuliwambia Gari la mkaaa tripu shamba tripu gereji, spana mkononi litawazikimikia.
Mkatuona hatumpendi Mtupoli.

Sisi kwetu raha tu,Mwizi, Tapeli, Muuaji na Mtesaji kafa kabisa kabisa .... Kwioooo..
🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏾‍♂️
Hatari sn
 
Na anasema aliposikia Magu kafariki alijua yeye ndie kafariki Ila hawataki kukwambia ukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom