RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

Sheria (mkataba wa utendaji) hauwezi kwenda kinyume na katiba (mkataba wa msingi). Bibi umenielewa au nirudie?
Hakuna mkataba wa msingi, kuna makubaliano ya serikali mbili.

Mkataba wa kazi ni mwengine kabisa.

Labd kitu usichokielewa ni kuwa makubaliano aua mkataba wowote baina ya nchi mbili au uwekezaji wa aina yoyote. Ni makubaliano na mikataba inayolindwa na Umoja wa Mataifa, kuna idara nyingi tofauti za mashirikiano, uwekezaji, biashra na kadhalika, vinavyolinda maslaji ya wotewanaokubaliana.

Mfano mzuri ni ndege yetu tunayoambiwa ilishikwa Uholanzi. Lampuni iliyokua na mgogoro ni ya Kiswede, na yo ni kampuni binafsi na Serikali ya Tanzania ndizo zilikuwa na mgogoro, bila kujali mikataba yao, ndege ikazuiliwa hali itendeke na Tanzania walkapewa fursa ya kujitetea.

Usisikilize porojo za vita ya kibiasgara na wanaoeneza chuki na kujaa watu ujinga, kwa sababu tu, wamefumuliwa mirija yao bandarini.

Hili jambo wanaodanganyika ni Watanzania. Lakini kama ulienda shule kidogo, utafatilia na utanielewa nnachokuelezea na nnaweza kukupa ushahidi wa mikataba kulibwa Kimataifa na sisis Tanzania ni wanachama, hta mkataba uandikwe vibaya vipi, zipo sheria za kutulinda sisis zi[po sheria za kuwalinda wawekezaji. No matter what.
 
Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.

Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.

Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.

Kwenye kanuni hiyo ya a collective responsibility, ukiamua kutofautiana na uwajibikaji wa pamoja ni unajinyamazia kimya!. Ukijiona huwezi kunyamaza, kwanza ana resigns ndipo unapinga!.

Hivyo mleta mada umepotosha!, usimlishe maneno Adam Malima.

P
Kumbe Pascal Mayala ni mweupi hivi? Read between the lines you will understand. Anapo sema Waarabu siyo wajomba zetu unajua maana yake nini? Na anapo sema tusijadili uwezo Wa DP world Bali kilichomo kwenye mkataba maana yake ni moja tu ,mashaka yapo kwenye mkataba na siyo uwezo wao.
 
Sheria (mkataba wa utendaji) hauwezi kwenda kinyume na katiba (mkataba wa msingi). Bibi umenielewa au nirudie?
Hakuna mkataba wa Kimataifa unaoweza kwenda na sheria za uwekezaji za Kimataifa. nakshauri soma:
"Fair and Equitable Treatment Standard in International Investment Law". Bofya chini, ukishaziso,a utuambie Tanzania au Dubai itakuwa na uwezo upi wa mmoja kumuonea mwengine;

Hakuna mkataba wa msingi, kuna makubaliano ya serikali mbili.

Mkataba wa kazi ni mwengine kabisa.

Labd kitu usichokielewa ni kuwa makubaliano aua mkataba wowote baina ya nchi mbili au uwekezaji wa aina yoyote. Ni makubaliano na mikataba inayolindwa na Umoja wa Mataifa, kuna idara nyingi tofauti za mashirikiano, uwekezaji, biashra na kadhalika, vinavyolinda maslaji ya wotewanaokubaliana.

Mfano mzuri ni ndege yetu tunayoambiwa ilishikwa Uholanzi. Lampuni iliyokua na mgogoro ni ya Kiswede, na yo ni kampuni binafsi na Serikali ya Tanzania ndizo zilikuwa na mgogoro, bila kujali mikataba yao, ndege ikazuiliwa hali itendeke na Tanzania walkapewa fursa ya kujitetea.

Usisikilize porojo za vita ya kibiasgara na wanaoeneza chuki na kujaa watu ujinga, kwa sababu tu, wamefumuliwa mirija yao bandarini.

Hili jambo wanaodanganyika ni Watanzania. Lakini kama ulienda shule kidogo, utafatilia na utanielewa nnachokuelezea na nnaweza kukupa ushahidi wa mikataba kulibwa Kimataifa na sisis Tanzania ni wanachama, hta mkataba uandikwe vibaya vipi, zipo sheria za kutulinda sisis zi[po sheria za kuwalinda wawekezaji. No matter what.
Asante sana kwa maelezo yako fasaha.

Kwa kua nia ya serikali ni kuongeza ufanisi na mapato ya bandari ya Dsm,.... kwa nini serikali ili handpick DPW, badala ya kutangaza tender?

Kwa kupitia tender, serikali ingeweza kuchagua kampuni yenye kuongeza ufanisi na mapato kuliko kampuni nyingine?
 
Serikali haija "handpick" yeyote, mbona mchakato umetengazwa na kuna amashirika matatu yanagombea hii kazi. Ukiisoma historia ya madudu ya pale bandarini utaona tumechelewa sana.

Halafu usisikilize porojo za mitandaoni, kilichosainiwa ni makubaliano ya nchi kwa nchi. Hakuna kampuni iliyopewa kai ya kuendesha bandari. Mona matangazo yapo hata uki google tu , utakuta matangazo ya kampuni zinazotaka kushiriki. Jonee:

Na kampuni zilizopo bandarini mpaka sasa kwenye kinyang'anyiro hizi hapa:

Unajuwa siku hizi kila mtu anapigania maslahi yake, lakini haya unayoyaona JF ni wale walioumizwa. Ukiyaona madudu na historia ya kuumizwa Watanzania bandarini, utalia machozi na utamuona Mama Samia ni majaaliwa kwa Mungu kutuondoshea ufisadi mkubwa wa ajabu uliopo banddarini.

Usifikiri wanaoeneza fitnah na uzushi kwa kujazwa ujinga wanaelewa kinachoendelea, wanaoelewa kinachoendelea ni wachache sana na wapo kwenye spinning ya hali ya juu.
 
Msijibaraguwe, hakuna mahala Malima kapinga bandari isiendeshw na kampuni ya Dubai. Kasema tuwe makini kwenye mikataba. Ambacho ni kitu sahihi kabisa.
Kwani siku zote si ndio ushauri wetu kuwa mkataba uwe wenye maslahi?
 
Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.

Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.

Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.

Kwenye kanuni hiyo ya a collective responsibility, ukiamua kutofautiana na uwajibikaji wa pamoja ni unajinyamazia kimya!. Ukijiona huwezi kunyamaza, kwanza ana resigns ndipo unapinga!.

Hivyo mleta mada umepotosha!, usimlishe maneno Adam Malima.

P
Pamoja na serikali, bunge na CCM kusema mkataba huu uko safi, ila RC Malema kaona una kasoro na haufai. Na akaufananisha na mikataba ya madini, ambayo tulipigwa.

Ni bora RC Malema akatenguliwa kwa kusema ukweli kuliko kutokutenguliwa kwa kutokusema ukweli.
 
Kwani siku zote si ndio ushauri wetu kuwa mkataba uwe wenye maslahi?
Mkataba bado jamani, muelezwe vipi? Labda hamuelewi kuwa kuna kampuni tatu mpaka sasa zinagombania bandari ya Dar. Sasa nyinyi kuona Mkubaliano ya serikali ya Dubai na Tanzania, mkachukulia, ooh tayri. Hapana, mkataba bado una michaakato yake.

Hivi hamkusikia kuwa kuna wabunge wamepelekwa India na weengine Dubai? Sasa hiulizeni, India walienda kutazama nini?

Kama mlikuwqa hamuelwi, India walienda kutembelea bandari zinazoendeshwa na Shirika la India na lenyeewe lipo kwenye kinyang'anyiro, na hilo pia linatia fitina, lina kikundi chake cha watu kilichowanunua wafanya propaganda.

Kuana Kampuni nyingine ya AD Ports, hiyo ndiyo 100% Ya Waarabu wa Loliondo, inajuwa haina chance kwa sababu ilikuwa na TICTS iliyofukuzwa ni washirika na kampuni ya Kichina "Hutchison" wamiliki wa TICTS, na wao wana kundi lao la wahaya linatoia fitna, na hao ndiyo wenye ushawishi mkubwa kanisa katoliki kina Anna Tibaijuka.

India wao wapo na Sukuma gang.

Biashara kubwa hizi ni vita kweli kweli, na mama ndiyo maana kaa kimya kwa hataki aje kuambiwa kafanya maamuzi yeye. Mchakato upoTPA wannaumiza vichwa.

lakini ukweli ni kuwa, mpaka sasa aliyekidhi vigezo kupita wote hao ni DP World, niulize kwanini?
 
Wewe na Spika Tulia tumwamini nani?
Tulia alifunga bunge kwa kusisitixa kuwa ule ni mkataba na kazi ya bunge ni kujadili mkataba na sio makubaliano ya awali.

Nijibu
 
Tuweke rekodi dawa.
Kighoma Malima alikua waziri wa mipango wakati wa Nyerere, akaja kuwa waziri wa fedha kipindi Cha Mwinyi.
johnthebaptist Kibona alikua waziri mzuri wa fedha na nadhani alikolimbwa na Malima alikua waziri wa ovyo Sana wa fedha.
 
Wewe na Spika Tulia tumwamini nani?
Tulia alifunga bunge kwa kusisitixa kuwa ule ni mkataba na kazi ya bunge ni kujadili mkataba na sio makubaliano ya awali.

Nijibu
tatizo ni lugha tu Kiswahili hakitofautishi, agreement na contract. Unaweza kuwa ni "maktaba wa makubaliano ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Falme ya Dubai. Lakini siyo mkataba wa utendaji kazi "Oprational Contract".

Huo ulitangazwa zabuni na mashirika matatu yanangoja hatima yao. Lakini kama nilivyoandika pot ya juu hapo, sina haja ya kurudia.
 
Serikali haija "handpick" yeyote, mbona mchakato umetengazwa na kuna amashirika matatu yanagombea hii kazi. Ukiisoma historia ya madudu ya pale bandarini utaona tumechelewa sana.

Halafu usisikilize porojo za mitandaoni, kilichosainiwa ni makubaliano ya nchi kwa nchi. Hakuna kampuni iliyopewa kai ya kuendesha bandari. Mona matangazo yapo hata uki google tu , utakuta matangazo ya kampuni zinazotaka kushiriki. Jonee:

Na kampuni zilizopo bandarini mpaka sasa kwenye kinyang'anyiro hizi hapa:

Unajuwa siku hizi kila mtu anapigania maslahi yake, lakini haya unayoyaona JF ni wale walioumizwa. Ukiyaona madudu na historia ya kuumizwa Watanzania bandarini, utalia machozi na utamuona Mama Samia ni majaaliwa kwa Mungu kutuondoshea ufisadi mkubwa wa ajabu uliopo banddarini.

Usifikiri wanaoeneza fitnah na uzushi kwa kujazwa ujinga wanaelewa kinachoendelea, wanaoelewa kinachoendelea ni wachache sana na wapo kwenye spinning ya hali ya juu.

..zabuni ingekuwa imetangazwa ingeonekana ktk magazeti, au katika website ya mamlaka ya bandari.

..sasa labda utuelekeze mamlaka ya bandari imetoa tangazo hilo ktk gazeti gani la hapa nchini.
 
far fetched plan ya kupiga bandari, naona mpango umetimia na agenda imeshatekelezwa kwa sasa
 
Sasa anifunge mdomo kwa lipi? Malima kapinga nini hapo? Alichoongea ni msimamo wa serikali kwa 100%

Hivi hamuelewi mnachokisikiliza au mmezowea kufanya spinning?

Adam Malima yupo sahihi 100%.
Wewe buana sometimes unajitoa ufahamu kama mtoto
 
Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na alipokuwa waziri wa nishati miaka kumi baadae wakaikataa .

Akafafanua zaidi amesema kwamba Waarabu sio wajomba zetu na hivyo muhimu ni kuangalia vifungu vyenye shida virekebishwe kwa maslahi ya taifa na si vinginevyo.

Msikilize mwenyewe 👇

Nakumbuka vyema enzi za Kikwete, Malima alitetea kwa nguvu zote mikataba ya kipigaji ya gesi ili kusaidia upigaji wa JK, na baada ya hapo, akazawadiwa u Naibu Waziri.
Tunashukuru leo kasema ukweli.
 
Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na alipokuwa waziri wa nishati miaka kumi baadae wakaikataa .

Akafafanua zaidi amesema kwamba Waarabu sio wajomba zetu na hivyo muhimu ni kuangalia vifungu vyenye shida virekebishwe kwa maslahi ya taifa na si vinginevyo.

Msikilize mwenyewe

Ukweli mchungu ,wao wanakomaa kutupotosha ila sisi hatujamkataa mwekezaji wala uwezo wako la hasha sisi tunaogopa terms and condition
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom