Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Hivi ni rangi yake asilia, au ndio kujichubua kwenyewe ili afanane na mwarabu! Maana waarabu tunapishananao wengi sana mtaani, uso Mirinda, miguu Pepsi, shingo Vimto


πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Niliwahi kuambiwa na mwanamke mwenzangu ni mzuri sana kama nimejiumba.

Astaghfirullah
🀣🀣🀣🀣 Ni nadra Sana kuona mwanamke anamsifia mwanamke mwenzake naona huyo alijitoa ufahamu.Ukiona hivyo ujue we ni kisu ile mbaya
 
Uwezo alikuwa nao ila hakujenga mpaka anakufa. Wala sina dharau kwa mtu maarufu bali kwa nchi yetu uwa wanajisahau sana. Mwisho wa Ruge haukuwa mzuri hata kidogo nakumbuka mpaka tulipitishiwa bakuli la michango siku za mwisho.

Mimi binafsi sina wivu na mtu yoyote ila nachukia watu wanaopata nafasi lakini wanazichezea kwa kuendekeza anasa kama hawa wasanii wa sasa. Mbona kuna wanaofanya vizuri na kuwekeza kama kina Sugu, H. Baba, P. Funky, Master Jay, n.k

Ukweli usemwe ili wajifunze pia kupata hela umri mdogo ni tatizo inabidi uwe na adabu sana ya maisha ndio utoboe. Wasanii na watu maarufu upande wa burudani majority wana mwisho mbovu sana
Mkuu nilianza kuielewa michango yako juu ya hii maada,ila uliposema H.Baba kawekezaa daaah
 
Back
Top Bottom