Hawa wote wako back office kwa Sasa,wao ndio huandaa vipindi kwaajili ya presenters,Bila kumsahau Orest Kawau naye simsikii akisema.
hii pia safi. Kama vile ncha kali wa cloudsHawa wote wako back office kwa Sasa,wao ndio huandaa vipindi kwaajili ya presenters,
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Sekioni David piaBila kumsahau Orest Kawau naye simsikii akisema.
Na kid bwoy wa showtime enzi hizo RFA.hii pia safi. Kama vile ncha kali wa clouds
Yes. Kid yupo clouds pia nadhaniNa kid bwoy wa showtime enzi hizo RFA.