Jambo?
Sijalala usiku wa kuamkia leo, pia usiku wa kuamkia jana. Huyu Smaki yupo wapi?
Aje tafadhali, nampenda na nimetuma kitu kikubwa kwenye ulimwengu wake waroho ila hajakiona bado. Kina hang na zimebaki siku 2 tu.
Naona kimya, ajue nampenda sana. Si upendo wa mapenzi ila nampenda tu.
Am so hurt.