East Africa Radio, hivi viongozi wa hii redio wana mpango gani?

Smart AJ

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
5,540
5,752
Hii redio ni redio ambayo mimi huwa naipenda sana,kuna muda nilikuwa naiskiza hii redio siku nzima.

Ila sasa wana sera yao ambayo huwa siielewi wana maana gani,sijui tuseme ndo wamekubali kuaga mashindano kwenye ulimwengu wa redio??

Wakati ambao wenzao kina wasafi,clouds,na Efm wana recruit,watangazaji wakali na kuwahost vizuri ila hii redio,ina vioja vifuatavyo.

Kwanza, huwa wana recruit, watangazaji mahiri kutoka mikoani, then wakishafanya vizuri na kutengeneza majina hawa jamaa huwa wanawaacha waende zao, sio kitu kibaya kuwapa vijana mwangaza,ila kwanini wawaache hasa kwenye soko kubwa hili la ushindani?

Imagine,mtu kama jr junior alitisha sana pale planet bongo,mara ghafla nikaacha kumskia bila hata sababu ya maana,ghafla ndo huyo kaibukia zake times fm,anafanya kipindi cha hio hop kinaanza saa sita nadhani.

Hapo hapo alikuwepo frida amani,pale planet bongo na the cruise,sasa ndo huyo yupo zake mawinguni anaenjoy na millard ayo pale amplifayani.

Unamkumbuka fredoo mbunji mayaga shishi,jamaa alikuwa hot sana iringa,alipokuwa anafanya kazi ebony fm,kiukweli nilifurahi sana kumskia jamaa yupo EA RADIO,heeeh!miezi kadhaa simskii tena sjui yupo kwenye online media gani sasa hivi.

Nani asiyejua uwezo wa king smash,jamaa alitokea zake tabora fm,akaja ea radio akawaka sana kwenye the cruise pale bila kusahau e news pale channel 5,huyo naye sjui yu wapi jama??

Kuna kipindi lesa sidi,aliondoka zake pale akaenda zake online radio flan flan hv,alikuwa anatangaza na bwana izzo biznes,ila naona huyu waliamua kumrejesha sjui kwanini,ila naamini kwa kuwa anajua sana.

Haya nitaftieni sam misago huko mkimuona mniite mbwa.

Kwani wameisha basi,upande wa michezo kuna jamaa wa kuitwa david kampista,huyo jamaa alikuwa anafanya kipindi cha kipenga xtra hehh sahvi yuko zake mawinguni huko ana run sport extra na kina kishamba na kina kibwana bila kusahau lwambano na kina mkazuzu.

Kun mchambuz anajua sana yupo wasafi fm,anaitwa nani sjui,anafanan sauti na ambangile,hv mnajua yule alikuwaga ea radio yule,yaani jamaa wanaweza sana kuvumbua vipaji ila hawawezi tu kuviendeleza.

Sasa pale,kuna watu nawapa siku chache watasepa tu very soon...kuna bwana anaitwa ibra kasuga(alikuwa ebony fm iringa).

Kuna mtu anaitwa Dickson Msami,naye najua very soon atasepa tu,tena yule ndo material ya clouds fm kabisa.

Kwa kuhitimisha,na hivi Dullah kaamua kuondoka sjui nani atakuwa anaskiza,na atakuwa anaskiza nini kwenye hiyo redio.
 
W soon atasepa tu,tena yule ndo material ya clouds fm kabisa.

Kwa kuhitimisha,na hivi dullah kaamua kuondoka sjui nani atakuwa anaskiza,na atakuwa anaskiza nini kwenye hiyo redio.
Lakini mbona hizo redio zote ulizozitaja hapo juu hazina watangazaji mahiri, kuna wauza sura tu.
 
Hii redio ni redio ambayo mimi huwa naipenda sana,kuna muda nilikuwa naiskiza hii redio siku nzima.

Ila sasa wana sera yao ambayo huwa siielewi wana maana gani,sijui tuseme ndo wamekubali kuaga mashindano kwenye ulika sjui nani atakuwa anaskiza,na atakuwa anaskiza nini kwenye hiyo redio.
Subiri kunisikiliza Mimi we unataka wazeekee hapo hapo km Alfred Masako na ITV
 
Hii redio ni redio ambayo mimi huwa naipenda sana,kuna muda nilikuwa naiskiza hii redio siku nzima.

ullah kaamua kuondoka sjui nani atakuwa anaskiza,na atakuwa anaskiza nini kwenye hiyo redio.

Yeah sure sera zao sio nzuri wapo primitive sana
 
Redio yenye Watangazaji wana Yanga SC, yenye Wanafiki wengi na Boss wao ( Mtoto wa Marehemu Tajiri ) aishiye Jirani na Daraja la Mlalakuwa Kawe kupenda Michezo iliyolaaniwa na Mwenyezi Mungu huwa siisikilizi Mkuu.
Duuuh! Mwenye hii michezo iliyolaaniwa ni yule wa kiume au wa kike? Maana nilisikia wa kike ni mkoboaji mashuhuri hapa town
 
Hii redio ni redio ambayo mimi huwa naipenda sana,kuna muda nilikuwa naiskiza hii redio siku nzima.

Ila sasa wana sera yao ambayo huwa siielewi wana maana gani,sijui tuseme ndo wamekubali kuaga mashindano kwenye ulimwengu wa redio??

Wakati ambao wenzao kina wasafi,clouds,na Efm wana recruit,watangazaji wakali na kuwahost vizuri ila hii redio,ina vioja vifuatavyo.

Kwanza, huwa wana recruit, watangazaji mahiri kutoka mikoani, then wakishafanya vizuri na kutengeneza majina hawa jamaa huwa wanawaacha waende zao, sio kitu kibaya kuwapa vijana mwangaza,ila kwanini wawaache hasa kwenye soko kubwa hili la ushindani?

Imagine,mtu kama jr junior alitisha sana pale planet bongo,mara ghafla nikaacha kumskia bila hata sababu ya maana,ghafla ndo huyo kaibukia zake times fm,anafanya kipindi cha hio hop kinaanza saa sita nadhani.

Hapo hapo alikuwepo frida amani,pale planet bongo na the cruise,sasa ndo huyo yupo zake mawinguni anaenjoy na millard ayo pale amplifayani.

Unamkumbuka fredoo mbunji mayaga shishi,jamaa alikuwa hot sana iringa,alipokuwa anafanya kazi ebony fm,kiukweli nilifurahi sana kumskia jamaa yupo EA RADIO,heeeh!miezi kadhaa simskii tena sjui yupo kwenye online media gani sasa hivi.

Nani asiyejua uwezo wa king smash,jamaa alitokea zake tabora fm,akaja ea radio akawaka sana kwenye the cruise pale bila kusahau e news pale channel 5,huyo naye sjui yu wapi jama??

Kuna kipindi lesa sidi,aliondoka zake pale akaenda zake online radio flan flan hv,alikuwa anatangaza na bwana izzo biznes,ila naona huyu waliamua kumrejesha sjui kwanini,ila naamini kwa kuwa anajua sana.

Haya nitaftieni sam misago huko mkimuona mniite mbwa.

Kwani wameisha basi,upande wa michezo kuna jamaa wa kuitwa david kampista,huyo jamaa alikuwa anafanya kipindi cha kipenga xtra hehh sahvi yuko zake mawinguni huko ana run sport extra na kina kishamba na kina kibwana bila kusahau lwambano na kina mkazuzu.

Kun mchambuz anajua sana yupo wasafi fm,anaitwa nani sjui,anafanan sauti na ambangile,hv mnajua yule alikuwaga ea radio yule,yaani jamaa wanaweza sana kuvumbua vipaji ila hawawezi tu kuviendeleza.

Sasa pale,kuna watu nawapa siku chache watasepa tu very soon...kuna bwana anaitwa ibra kasuga(alikuwa ebony fm iringa).

Kuna mtu anaitwa Dickson Msami,naye najua very soon atasepa tu,tena yule ndo material ya clouds fm kabisa.

Kwa kuhitimisha,na hivi Dullah kaamua kuondoka sjui nani atakuwa anaskiza,na atakuwa anaskiza nini kweny

Me nipo na DjDea na SummerTz
 
Iv dullah kaenda wap yule jamaa kabalikiwa aseeee
 
Mamy baby , Kennedy the remedy, George bantu,mussa Hussein,dj sinyorita

I think wameamua kuwa recruiters na Wanafanya kazi nzur kweli kuwatafuta huko mikoani maana kama alivyotoka frida amani kikashuka chuma kingine hata huyo fridah akasahaulika
 
kuna Omary Majani kocha wa Insta, jamaa anachambua sana naye kama nlimuoana zamaradi tv.
 
Hii redio ilishakata tamaa na biashara kitambo. Hata sijui wanaingizaje pesa! Maana hata matangazo ya kibiashara hawana zaidi ya kupromote vipindi vyao. Utasikia tunarudi after short commercial break halafu unasikia tangazo la kipenga extra. I believe hao wote wameondoka sababu ya maslahi duni. Management yao ni ya hovyo mno.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Pia ubunifu sifuri kabisa.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mamy baby , Kennedy the remedy, George bantu,mussa Hussein,dj sinyorita

I think wameamua kuwa recruiters na Wanafanya kazi nzur kweli kuwatafuta huko mikoani maana kama alivyotoka frida amani kikashuka chuma kingine hata huyo fridah akasahaulika
musa hussein
 
Hii redio ni redio ambayo mimi huwa naipenda sana,kuna muda nilikuwa naiskiza hii redio siku nzima.

Ila sasa wana sera yao ambayo huwa siielewi wana maana gani,sijui tuseme ndo wamekubali kuaga mashindano kwenye ulimwengu wa redio??

Wakati ambao wenzao kina wasafi,clouds,na Efm wana recruit,watangazaji wakali na kuwahost vizuri ila hii redio,ina vioja vifuatavyo.

Kwanza, huwa wana recruit, watangazaji mahiri kutoka mikoani, then wakishafanya vizuri na kutengeneza majina hawa jamaa huwa wanawaacha waende zao, sio kitu kibaya kuwapa vijana mwangaza,ila kwanini wawaache hasa kwenye soko kubwa hili la ushindani?

Imagine,mtu kama jr junior alitisha sana pale planet bongo,mara ghafla nikaacha kumskia bila hata sababu ya maana,ghafla ndo huyo kaibukia zake times fm,anafanya kipindi cha hio hop kinaanza saa sita nadhani.

Hapo hapo alikuwepo frida amani,pale planet bongo na the cruise,sasa ndo huyo yupo zake mawinguni anaenjoy na millard ayo pale amplifayani.

Unamkumbuka fredoo mbunji mayaga shishi,jamaa alikuwa hot sana iringa,alipokuwa anafanya kazi ebony fm,kiukweli nilifurahi sana kumskia jamaa yupo EA RADIO,heeeh!miezi kadhaa simskii tena sjui yupo kwenye online media gani sasa hivi.

Nani asiyejua uwezo wa king smash,jamaa alitokea zake tabora fm,akaja ea radio akawaka sana kwenye the cruise pale bila kusahau e news pale channel 5,huyo naye sjui yu wapi jama??

Kuna kipindi lesa sidi,aliondoka zake pale akaenda zake online radio flan flan hv,alikuwa anatangaza na bwana izzo biznes,ila naona huyu waliamua kumrejesha sjui kwanini,ila naamini kwa kuwa anajua sana.

Haya nitaftieni sam misago huko mkimuona mniite mbwa.

Kwani wameisha basi,upande wa michezo kuna jamaa wa kuitwa david kampista,huyo jamaa alikuwa anafanya kipindi cha kipenga xtra hehh sahvi yuko zake mawinguni huko ana run sport extra na kina kishamba na kina kibwana bila kusahau lwambano na kina mkazuzu.

Kun mchambuz anajua sana yupo wasafi fm,anaitwa nani sjui,anafanan sauti na ambangile,hv mnajua yule alikuwaga ea radio yule,yaani jamaa wanaweza sana kuvumbua vipaji ila hawawezi tu kuviendeleza.

Sasa pale,kuna watu nawapa siku chache watasepa tu very soon...kuna bwana anaitwa ibra kasuga(alikuwa ebony fm iringa).

Kuna mtu anaitwa Dickson Msami,naye najua very soon atasepa tu,tena yule ndo material ya clouds fm kabisa.

Kwa kuhitimisha,na hivi Dullah kaamua kuondoka sjui nani atakuwa anaskiza,na atakuwa anaskiza nini kwenye hiyo redio.
KILA jambo Lina muda....wapewe nafasi wengine waonyeshe uwezo wao
 
Back
Top Bottom