Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,247
- 26,146
Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.
Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu
Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.
Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.