Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,475
- 5,900
Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.