Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,844
Huyu shetani anajua nini?
Huyu shetani anajua nini?
Nini kinaendelea?Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.View attachment 3379850
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
Tanzanian police have arrested two local YouTubers as President Samia Suluhu Hassan’s government steps up a crackdown on dissent ahead of elections.Nini kinaendelea?
Anajishauri mwenyewe af anasingizia kwani ye hana upeo wa kuona haya mambo sioMaza ana washauri wabaya sn
Ana washauri wabovu snAnajishauri mwenyewe af anasingizia kwani ye hana upeo wa kuona haya mambo sio
Kuna watu akili zao hazitofautiani na mifugo.Waliosa Cha kuripoti.
Ukiona hivyo anachapa kazi mpk ameonekana na umaarufu wake umeongezekaBaada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.View attachment 3379850
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
Umaarufu wa kuteka, k*fira, k*ua....Kutaifisha mali za umma, ufisadi, rushwa, uchawa, kufungia makanisa, kupigwa kwa mapadre, kuminya uhuru wa vyombo vya habari, kuchezea na kutapanya pesa za walipa kodi, kusimama kwa miradi mikubwa ya kitaifa huku wakandarasi wakiondoka site sababu ya kutolipwa malimbikizo ya madeni yao, mfumuko wa bei, kukosekana kwa huduma za kijamii, kupanda kwa deni la Taifa Tril. 107.7 na kuporomoka kwa maadili ya utendaji kazi kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikalini kwa ujumla. "Kusoma haujui hata picha huoni ndugu yangu".Ukiona hivyo anachapa kazi mpk ameonekana na umaarufu wake umeongezeka
OkayTanzanian police have arrested two local YouTubers as President Samia Suluhu Hassan’s government steps up a crackdown on dissent ahead of elections.
Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, were arrested in the northern town of Arusha on Friday for “improper use of social media,” police said in a statement.
The two have posted political talk shows on their Wachokonozi channel, featuring discussions about topics including the national debt, accountability, democracy and governance.
The arrests were condemned by Boniface Mwabukusi, president of the Tanganyika Law Society.
“Art is not a crime,” Mwabukusi said in a statement. “Criticizing a leader, disliking them, or pointing out the shortcomings of a leader or government is not an offense — it is a constitutional right.”
While Hassan lifted a ban on political rallies and some newspapers after succeeding the autocratic John Magufuli in 2021, opposition leaders have accused her of rowing back on promised democratic reforms.
Her government has blocked the main opposition Chadema party from contesting presidential and parliamentary elections in October and has charged its leader, Tundu Lissu, with the unbailable offense of treason, which carries a maximum punishment of death.
Read more: Tanzania Opposition Says Democracy at Risk as Leader Faces Trial
Mungu Wabariki WazunguBaada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.View attachment 3379850
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
Hivi zile bahasha zake za khaki huko hazifiki?Samia amechafukwa aswaa, uku America tunamsubiri kwa hamu Kwa zomea zomea, huwezi kuteka,kuua, kufira afu upendwe
Wapi Burembo, Wassira, nk ambao walikuwa wakipongeza ziara za Mama kwenda kututafutia misaada...
Nitafurahi siku Kizimkazi akikutana na huyu, hata kama Msigwa atampa madesa!
View attachment 3379882
Kuna anachoelewa zaidi ya praise songs? 😀
I wish she is abducted and get "mafwelled"Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni iliyochapishwa kupitia mtandao wa (X) zamani Twitter, Bloomberg imeeleza kuhusu kukamatwa kwa baadhi ya YouTubers nchini Tanzania ambao ni Jackson Kabalo, 32, and Joseph Mrindoko, 37, alimaarufu kama (WACHOKONOZI), kupitia post hiyo inaandika kama mfululizo wa uminyaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini Tanzania.View attachment 3379850
Kazi kwenu washauri wa Raisi, CCM, na UVCCM. Mimi na wasilisha tu, mtaamua wenyewe kuzika ama kusifirisha, hiyo ni juu yenu.
Na bado.Waliosa Cha kuripoti.