Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,059
- 51,634
Watangaze mara ngapihabari za palestina hawatangazi...wakwende zao!!
Watangaze mara ngapihabari za palestina hawatangazi...wakwende zao!!
Kama mtuhumiwa tayari anahesabiwa kuwa muhaini, basi kuna tatizo ndani ya mfumo wetu wa sheria.Haitasaidia muhaini ataendelea kubaki palepale mahabusu
za palestina tangaza wewehabari za palestina hawatangazi...wakwende zao!!
Sheria inambebabeba ashukuru sana Tz inafata sheria vinginevyo muhaini yule ilitakiwa auwawe kwa firing squadKama mtuhumiwa tayari anahesabiwa kuwa muhaini, basi kuna tatizo ndani ya mfumo wetu wa sheria.
Ya palestina yanakuhusu nini jajai ya nchi yakohabari za palestina hawatangazi...wakwende zao!!
Udini tu unamsumbua wakati huku ma CCM yamemuua mzee KibaoYa palestina yanakuhusu nini jajai ya nchi yako
Ndiyo uwe unajua dizaini ya viumbe unaobadilishana nao habari wapoje!Nani kakwambia? Unafikiri Bloomberg ni Mwananchi au Nipashe?
We mbona umezitangaza hapa?habari za palestina hawatangazi...wakwende zao!!
Ataongea naye lugha gani ,,?Wapi Burembo, Wassira, nk ambao walikuwa wakipongeza ziara za Mama kwenda kututafutia misaada...
Nitafurahi siku Kizimkazi akikutana na huyu, hata kama Msigwa atampa madesa!
View attachment 3379882
Amuonge nani 20m Kwa America ni Hela ya nyanyaHivi zile bahasha zake za khaki huko hazifiki?
Kwani hapa zinazungumziwa "habari za wapalestina", au waTanzania?habari za palestina hawatangazi...wakwende zao!!
Kwa kesi zenu za kubambikia. Shahidi mwenyewe wa mchongo.Sheria inambebabeba ashukuru sana Tz inafata sheria vinginevyo muhaini yule ilitakiwa auwawe kwa firing squad
Tutimize wajibu wetu sisi wenyewe hapa hapa. Uwezo huo tunao sana.kusema hakusaidii, dictators do not heed to words! akiona hiki kitu kinatayarishwa kuja, she will heed to lawful demands 😀😀😀😀😀😀😀🙄🙄
View attachment 3379873
Bloomberg ni ya watanzania??Kwani hapa zinazungumziwa "habari za wapalestina", au waTanzania?
Nini maana yako, kwamba habari za wapalestina ni muhimu zaidi ya habari za waTanzania?
Umeandika Nini?? Hebu soma mwenyewe mkuuYa palestina yanakuhusu nini jajai ya nchi yako
Mpiga pambio hii habari imekushtua sanaWaliosa Cha kuripoti.
Ina maana huelewi?Bloomberg ni ya watanzania??